mwenyezi mungu

  1. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Chuma, happy birthday John Pombe Magufuli

    Ni Oktoba 29, 1959 siku ambayo Mwenyezi Mungu alitupa Watanzania zawadi ya Mtoto John Pombe Magufuli ambaye Leo hii tunamkumbuka kama Mkombozi, Shujaa, Mtetezi, Mlezi, Mjenzi wa Watanzania,leo hii kwa Afrika ukilitaja jina la John Pombe Magufuli ni nembo ya uongozi wa mfano Afrika na Duniani...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania Tufanye Maombi ya Kitaifa kumwomba Mwenyezi Mungu atupatie Mvua zenye Baraka na Neema

    Ndugu zangu Nikiwa Kama mkulima naona Hali ya hewa imekuwa siyo nzuri, inatutisha wakulima, inatupa wasiwasi, mashaka na hofu. Mpaka Leo tunapoelekea kuumaliza mwezi huu bado hatujaona mvua, bado ardhi Haijapata mvua, bado tunaendelea kuangalia angani kila kukicha kuona Hali ya mawingu, Bado...
  3. Mr mdandavuzi

    JamiiForums Tanzania Iwapo itampendeza Mwenyezi Mungu, nahitaji Mke

    Mimi ni kijana mwenyewe umri wa miaka 34, muislam, natokea familia ya kawaida sana, elimu yangu ya kawaida sana, ninafanya kazi halali ya kumpendeza Allah. Nahitaji rafiki mwenye hitaji la kuwa mama wa familia. Sichagui dini, umri kuanzia 20 mpaka 32, awe mkweli mwenye hofu na Mungu. Mengine...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ifahamu SIRI hii kubwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwa faida yako maishani

    Ukiona popote pale (Mitandaoni pia Kunahusika) Unachukiwa na Wanaokujua, Wasiokujua hadi wale ambao kamwe hawajawahi Kuishi nawe ila Wanaamini mabaya yako ya Uwongo na Kufitinishwa na Maadui zako jua haya yafuatayo: 1. Umebarikiwa mno na Mwenyezi Mungu kuliko Walivyobarikiwa Wao na Shetani. 2...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ewe Mwenyezi Mungu naomba atakayetangazwa na Simba SC Saa 9 hii awe ni Ceaser Lobi Manzoki na siyo Mzungu Mserbia

    Haya wale Team Manzoki Wenzangu baneni sasa 'P' zenu Ili huyo Mchezaji atakayetangazwa na Simba SC dakika Moja tu kutoka sasa ( yaani Saa 9 Alasiri ) hii awe ni Manzoki. Kila la Kheri.
  6. Zacht

    JamiiForums Tanzania Akili gani anayoipenda Mwenyezi Mungu?

    ▪ Ni Nani Ulul Albab? ▪ Aliyejaaliwa Hikima, amepewa kheri nyingi Mwenyezi Mungu anawapenda watumiao akili, au wenye kutia mambo akilini (Ulul Albab) . Hii ni kauli Yake katika Kitabu Kitukufu, Qur’an: "Na wale wanaojiepusha kufanya ibada ya masanamu, na wakanyenyekea kwa Mwenyezi Mungu...
  7. ESPRESSO COFFEE

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Mwenyezi Mungu ameamua ugomvi

    Picha: Nape Nnauye Habarini JF GT! Jana wakati Membe akirudishiwa kadi ya CCM, Mbunge wa Mtama na Wazari wa Habari nchini aliongea kauli mbaya Sana Na Yenye kufedhehesha kwa Marehemu. Kwa tamaduni za kitanzia Sio sawa kumsema Marehemu, na hata Ukitaka kumsema Marehemu utamsema kwa Mazuri...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwenyezi Mungu hupenda sana Kuwazawadia Wakristo Mvua Siku za Pasaka na Krismas huku wengine akiwakaanga na Jua Kali tu?

    Sikumbuki ni lini Siku za Sikukuu za Pasaka na Krismasi huwa Mvua hainyeshi karibia maeneo mengi ya nchi ya Tanzania. Natamani na tarehe 2, 3 na 4 Mwezi May, 2022 pia Mvua zinyeshe ili nione na niamini pia kuwa kumbe hata Mwenyezi Mungu nae huwa anabalansi katika Utoaji wake wa Zawadi na Neema...
  9. Desire mobutu seseseko

    JamiiForums Tanzania Happy birthday to Me (09 March)

    Habari yenu wana MMU Ningependa kuchukua walau nafasi hii Kumshukuru sana mwenyezi Mungu pamoja na wazazi wangu kwa siku ya leo, siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu. Kama unalolote la kuniambia..ushauri na mambo mengine kwa wema karibu! Ahsante! Desire Mobutu sesseseko Kuku Ngweno wa zabango
  10. S

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Serikali ya CCM hawapati thawabu wala Baraka kutoka kwa Mwenyezi Mungu

    Ni lazima wajitokeze watubu na kuwaomba radhi waTanzania walio wengi kutokana na kadhia ya Uchaguzi mkuu uliopita,hakuna asiejua kilichotokea. Watafanya mengi mazuri ya kufurahisha lakini yatakuwa hayana baraka ,hivi hela ya wizi inatenda Jema mbele ya Mwenyezi Mungu? Wanatia huruma sana...
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo maisha kwa kudra za Mwenyezi Mungu

  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tusiougua Mafua, Homa na Vifua Kipindi hiki ni Sisi tu 'tuliobarikiwa' Damu ya Group O+, hivyo tujuane ili 'tumshukuru' Mwenyezi Mungu

    Pamoja na huu Unyonge ( Umasikini ) wangu mkubwa na wa Kutukuka nilionao GENTAMYCINE kitu pekee ambacho namshukuru Mwenyezi Mungu ( Allah ) ni Kwanza Kunilinda Kiafya kwa Kutougua hovyo na Kubwa zaidi 'Kunibariki' na Damu ya Group O+ ambayo ni Kinga tosha Kwangu ( Kwetu ) katika kupata...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali naomba kujua ni Maombi gani hapa Mwenyezi Mungu anayependa na Kuyabariki upesi?

    Je, 1. Yule anayesali kwa muda mfupi tu lakini akimaanisha huku akifupisha ( summarize ) matakwa yake kwa Mungu? 2. Yule anayesali Siku nzima na kwa Makelele mengi na akirudia rudia matakwa yake kwa Mungu? 3. Yule anayesali pale akijisikia tu ila Matendo yake kwa Wanadamu ni mema siku zote.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Watoto na Familia za Freeman Mbowe na washtakiwa wenzake Mwenyezi Mungu awatie nguvu sana!

    Kila siku huwa nianatafakari hali mnayoipitia. Hakika Mwenyezi Mungu awalinde, awaongoze na awatie nguvu sana ili msije jaa roho mbaya na zisizo na hofu ya Mungu kama za watesi wenu! Yote hii kwa sababu tu ya madaraka! Khaaaa!
  15. N

    JamiiForums Tanzania Eti "Siye tunaingia Mpaka Ndani Kukagua Mahabusu/Magereza" - Mwenyezi Mungu anawaona Mawakili wa Serikali

    Yaani Mawakili wa Serikali ni kujitutumua kama vile nchi hii ni ya kwao. Leo huyo Chakula sijui Chavula kawaambia Mawakili wa Utetezi baada ya kuonesha kuwa huwa wanaruhusiwa kwenda kuonana na wateja wao Magerezani kuwa eti wao wanaingia ndani na hata kukagua mahabusu lakini sio mawakili...
  16. Gibeath-Elohimu

    JamiiForums Tanzania Eee Mwenyezi Mungu utusamehe na kuturehemu

    Wasalamu Wana bodi natumai nyote mu wazima wa afya. Naomba kutanguliza hayo maombo hapo juu Kwa unyenyekevu kabisa mbele za MUNGU Mwenyezi Kwa taifa letu na watu wake. Maombi haya nayawasilisha mbele za MUNGU Kwa uchungu mkuu na toba,hii yote ni baada ya kufanya tathmini na kugundua kuwa...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Kibatala and Team, Mwenyezi Mungu anawasimamia -- msikate tamaa kamwe!

    Mpaka sasa mmeshafanya kazi kubwa sana! Kesi za jinai huangalia Kanuni ya "Beyond reasonable doubt" na mpaka sasa meshatengeneza "doubts" kibao na hata Mh. Jaji anajua fika. Mtafikiri Jaji hayupo na ninyi lakini ukweli ninamwona kabisa yupo na ninyi na mnafanya kazi kubwa sana. Mwisho wa siku...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ewe Mwenyezi Mungu nakuomba usipokee Maombi ya Watanzania ulete Mvua, bali acha Kwanza tufe ili Akili zitukae sawa na tuache kuwa Mazuzu

    Yaani tunaharibu wenyewe Mazingira kwa Uzuzu wetu huku wengine tukikataa Kupanda Miti mingi au hata Kuitunza tu ili ije itusaidie kwa Kivuli, Upepo na hata Mvua leo tunataka Kumhangaisha Mwenyezi Mungu mwenye Majukumu Mamilioni kidogo dhidi ya Watu na Mataifa mbalimbali atusamehe na atushushie...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Mashahidi wa uwongo walitungiwa hadi Amri na Mwenyezi Mungu, lakini wanasiasa wanajitoa ufahamu

    Ninawaonea huruma sana wale Waendesha Mashataka wa Serikali! Wanastrugle sana sana kuonesha kuwa akina Mbowe walikuwa na makosa ya ugaidi. Yule shahidi wa jana aliposema tu yale maneno "Mpo chini ya ulinzi kwa sababu mnajihusisha na vitendo vya ugaidi" yakawa yametofautiana na maelezo yake...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Mwenyezi Mungu tujaalie tupate Magufuli Mwingine

    Yaani we wacha tu,tumerudi kulekule tulikotoka, rushwa imeanza kuota tena mizizi, tuseme ukweli sasa huduma zimekuwa ghali na kama huna kitu mkononi hakuna atakuita na kukuuliza shida yako, utaangaliwa tu pengine uambiwe nenda kule na huku. Na ukitaka kujua angalia kwenye mambo ya passport hapa...
Back
Top Bottom