Mwenyezi Mungu pekee ndiye anayeamua riziki

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
9,543
14,456
images.jpeg
Wakuu , Usiku huu nimetoka zangu nje kununua Chakula na nimefika pale nikaagiza zangu Chipsi, Mishikaki mitatu na Soda take way.

Sasa wakati nasubiri Chakula imekuja gari Kali ni V8 au Z8 sijaiangalia vizuri sana. Akashuka Jamaa yupo Smart sana na Vito vya thamani mkononi na shingoni ananukia marashi ya bei mbaya. Kafika kwa muuza Chipsi anaonekana ni mnyonge sana akaagiza ndizi mbili za kukaangaa na Soda za MO yaani ni Mo Passion ya sh 600 na ndizi thamani yake ni buku tu akaja mpaka niliposimama na akaniona nimazungumza kwa ucheshi nikimzingua Jamaa anayekaanga viazi huku tunapiga story zinazohusu timu zetu pendwa na tunazinguana sana.

Yeye kaagiza ule msosi wake mpaka watu wanamshangaa inakuwaje Jamaa anaonekana anazo lakini anakula msosi kama ule ? Mimi nikachukua zangu msosi na Pepsi take away nikavuta kiti nikakaa na Yeye akaja kukaa pale nilipokaa Mimi Kinyonge sana mpaka akaropoka Yeye Mwenyewe yaani Kaka una furaha sana nikamwambia "The beauty of life grows through your personality'' Kwanini nikose furaha na niwe mnyonge? Nikamwangalia usoni yupo na Huzuni sana , nikamuuliza kwani vipi Mkuu mbona unasema nina furaha sana ? Akajibu basi nimekuona unacheka na Jamaa hapa na unakula vizuri Chakula. Nikwambia ni Mwenyezi Mungu ndio kaamua nile hivi .

"Not my brain not my blood it's is Almighty grant's. Jamaa Huzuni nikaona inazidi nikamuuliza vipi Mkuu ? Ikabidi aseme yaani Wewe una raha Mimi nakula mara moja kwa siku na lazima owe saa sita Usiku. Dah hapo hapo maswali mengi yamenijia kichwani nikazikumbuka na simulizi za UMUGHAKA Utajiri wa masharti. Nikamwambia Kwanini ule mara moja halafu Chakula chenyewe hakima hadhi yako?

Akasema acha tu mkataba na makubaliano na Mimi nikawa nimeshaelewa huyu Mwamba ana hela ya shortcut lakini sikusema chochote nikamtazama na nikamwambia Maisha yako Wewe ndio unapanga yawe vipi Mkuu. Nimemaliza zangu kula nikataka niipige ile ndinga picha nikaona itakuwa jau ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ nimepotezea tu.

Yaani Jamaa anasukuma ndiga ya dollar 200,000 halafu anakula mara moja kwa siku halafu Chakula chenyewe ni Cha kama cha mtoto wa Nursery?

Nikajisemea kumbe Bora Sisi tunaoishi haya maisha ya kupanda bodaboda na daladala kuliko haya maisha ya kusukuma ndinga za mamilion ya shilingi halafu hata furaha ya kile kimachoonekana mbele za watu kinakukosesha furaha ya moyo?

Halafu nimemshangaa sana Kwanini amekuwa muwazi kwa namna ile kwangu ? Au alikuwa ananifikishia ujumbe tu kuwa hizi hela kama zake sio nzuri? Amekula zake hizo ndizi mbili za kukaangaa na MO passion yake katoa 10,000 karudishiwa zake chenji na Mimi nikajifanya naongea na simu huku naondoka nikaachana naye.
Mimi ni mjumbe tu nimewafikishia Habari ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Utajiri una Siri nyingi
 
Mkuu kuna jamaa ilimtokea hiyo kama yako, hakumaliza siku 3 tukampost R I P.
Mkuu kifo ni asili ya Kila kilicho hai nishawahi kupoteza network siku 10 nimekuja kuzinduka nipo sehemu nyingine kabisa tena hospital. Title ikabadirika ndio hivyo thamani yangu ya kuendelea kuishi hapa duniani nayo itakuwa imeshaisha nayo
 
Pole sana mkuu
 
Back
Top Bottom