Rutashubanyuma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN
Rutashubanyuma
Last Activity:
Nov 23, 2017 at 10:12 AM
Joined:
Sep 24, 2010
Messages:
141,770
Likes Received:
358,191
Trophy Points:
280
Liked:
121,631

Share This Page

Facebook Twitter

Rutashubanyuma

JF-Expert Member, Male, from Arusha

Rutashubanyuma was last seen:
Nov 23, 2017 at 10:12 AM
  1. Rutashubanyuma
   Rutashubanyuma
   In Christ Jesus My Redeemer I am saved!
  2. M
   Mwadada
   haloo bro Ruta, keep it up bro. goodmorning.
  3. Rutashubanyuma
   Rutashubanyuma
   Mbona kipo!

   Fuatilia hatua zifuatazo.

   1) Nenda Friends kwenye profile yako hapo juu.

   2) Bofya "Edit your friends' list" ipo juu ya huo ukurasa uliofungua wa Edit your friends' list

   3) Nenda chini ya huo ukurasa chini kabisa utaona:-

   Username na chagua kati ya add contact au add name.

   4) Bandika jina la huyo ambaye unataka urafiki naye katika kijisanduku cha Add name

   5) Bofya kukubali

   6) utajulishwa matokeo ake pao kwa hapo

   7) Wishing you all the best
  4. Mamndenyi
   Mamndenyi
   Nilikuwa natafuta kidoti cha friend request, why umekiondoa lakini?
  5. Kaunga
   Kaunga
   Thanks Rutashubanyuma, na nafurahi kuona ukinitembelea. Nachukua nafasi hii kukutakia Valentine njema; let your love for God overflows and reach many of us people!

   Have a blessed day.
  6. E
   Elizabeth Dominic
   Not at all Ruta...............nafurahia "your regular visits"..........its an honor
  7. wahida
   wahida
   he he ,sijambo khofu kwako tu ,sijui waendeleaje? thanks
  8. E
   Elizabeth Dominic
   Thank you Rutashubanyuma.............karibu home
  9. Rutashubanyuma
   Rutashubanyuma
   Ninawatakieni mema matupu kwa huu mwaka wa 2013.............
  10. Meritta
   Meritta
   hi kaka yangu wa ukweli.. habar ya uzima wako nimekumis sana.. happy new year na mungu akuvushe salama.
  11. AshaDii
   AshaDii
   Hi Ruta..

   Notifications zinachanganya kweli siku hizi,
   sikuona message yako ndio naiona sasa. Sorry.

   Za masiku nzuri, I hope you are well and good Ruta.
  12. Rutashubanyuma
   Rutashubanyuma
   Meritta uko wapi siku hizi...................umejificha sana hata husikiki kama vile umesusa.......
  13. Meritta
   Meritta
   hi brada vp huu mzima ww
  14. Rutashubanyuma
   Rutashubanyuma
   wahida..................mie nipo jamvini kila siku baby..........
  15. wahida
   wahida
   ruta miss u alot.. where are u?
  16. kalipeters
   kalipeters
   hi pal tc been long
  17. Kyaiyembe
   Kyaiyembe
   Hi Rutashubanyuma I just pass by, Thanx for your topic today. Hope to more of your topics.
  18. wahida
   wahida
   thanks ruta mambo vip shuari lakin? poa nitaweka avatar usijali
  19. wahida
   wahida
   ruta u ar amazing man ,this is the place t forget ur stress for the short time keep challenging us ,we like yr idea keep it upppppppp..,we work hard sometime we looks for somethin to forgets our stress and bein happy ,, thanks ,tunakukubali sana
  20. Rutashubanyuma
   Rutashubanyuma
   wale wote ambao ninawa-tag na wasingependa hivyo wajiondoe kwenye orodha ya marafiki zangu na watakuwa wametimiliza matakwa yao. I tag all my friends in one press of a button......kwa hiyo acheni usumbufu. muungwana kama hutaki basi usisome zile nyuzi na hakuna atakayekulazimisha
 • About

  Gender:
  Male
  Birthday:
  December 1
  Location:
  Arusha
  Occupation:
  Entrepreneur

  Signature

  John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

  John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."
Loading...