Wapi huko mvua inasumbua??YANI likizo hii ya 2023 Dec imekuwa mbaya hatutoki nje pameoza mamvua ni waaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa muda wote.
Acha kulialia na visingizio vya mvua. Niue wewe kama ulivyoahidi humu jamvini kwa kuwaibia tv chogo black and white home kwenu 1988.Kwakweli mvua imegeuka kero kama Tanesco.