mwenyezi mungu

  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Mwenyezi Mungu awaangamize wote wanaotaka kuitia nchi yetu kwenye majanga, tumalize uchaguzi kwa amani kabisa

    Wakuu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akifunga mkutano mkuu wa chama hicho leo Mei 30, 2025 amesema "Mwenyezi Mungu ailinde nchi yetu, tumalize uchaguzi kwa amani kabisa na awaangamize wote wanaotaka kuitia nchi yetu kwenye majanga"
  2. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Mwenyezi Mungu, twaomba uyafungue macho ya rais wetu

    Kwa wasomaji wa historia ya uprotestant watakuwa wanakumbuka dua maarufu; "Lord, open the King of England's eyes" ya William Tyndale, aliyoiomba akiwa anachomwa moto October 1536 kwa kosa la kutafsiri Biblia kwa lugha ya kingereza. Kwa faida ya wasiofahamu, mpaka karne ya 16, dini pekee katika...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mwenyezi Mungu ni wa milele

    Mwenyezi mungu ni mungu wa majeshi Haijaandikwa kwenye biblia Mungu wa wanasiasa Niyapongeze majeshi kwa kazi zao nzuri . Kwa vile mwenyezi mungu ni mungu wa majeshi naomba niyaombe majeshi yetu Tuendelee kumtumainia mwenyezi mungu Akitokea mwanasiasa atushurutishe Mambo yaliyo kinyume na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tunakuomba Mwenyezi Mungu Ijalie Ushindi Mnono Simba Sports Club Vs Stellenbosch hapa Zanzibar

    Ewe Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema na mwenye kurehemu, ulisema niombeni na mm nitawapa, tunakuomba mwenyezi mungu, muumba mbingu na ardhi, sisi waja wako hatuna lolote isipokuwa ni kukuomba wewe tu, tujalie ushindi leo hapa visiwani Zanzibar mda mfupi tu tutakapocheza na Stellenbosch...
  5. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kuna Msanii mmoja amefariki ila Watu wanadai amerogwa hii ni Imani ya kijinga , tujifunze kuamini katika Qadari za Mwenyezi Mungu

    Kuna Msanii mmoja amefariki ila Watu wanadai amerogwa hii ni Imani ya kijinga , tujifunze kuamini katika Qadari za Mwenyezi Mungu. Pia nyie wanawake mnaosema mtaendelea kuwakomesha Michopuko yetu kwa ulozi acheni Mara moja. Maana sio rahisi Mwanaume amuone Mwanamke Mrembo na amuache hivi hivi.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tunakuomba Mwenyezi Mungu Utujaalie Ushindi Mechi ya Leo dhidi ya Al Masry, Inshaallah

    Ewe Mwenyezi Mungu, Muumba Mbingu na Ardhi, ulisema ombeni mtapewa, nami nasimama mbele yako hapa uwanjani kwa Mkapa mvua ikiwa inanyesha, nakuomba allah jalali, mungu wa viumbe wote duniani, utujaalie ushindi wa kishindo leo uwanja wa Taifa ili roho zetu zipate kutulia. Mwenyezi Mungu, wewe...
  7. Tman900

    JamiiForums Tanzania Nilivyo Jariwa na Mwenyezi Mungu

    Mimi ninaa amini ktk Ukuu wa Mungu, ila siwezi to ufafanuzi mpana ktk hilo. Ila katika Maisha yangu binafsi Huwa namshukuru Mungu kwa Kunijaria Bahati Hii Bahati ninayo toka kuzaliwa. 1. Biashara Nikifanya Biashara huwa inafanikiwa, na popote, Jambo lolote ni ninalolifanya kwa Nia ya Biashara...
  8. Morning Glory1

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Mkristu ila nimeamua kukiri kwa ridhaa yangu kua Uislamu ndio dini ya haki ya mwenyezi Mungu

    Nimezaliwa kwenye Ukristu na nimekulia kwenye imani ya kikristu ila baada ya kupata akili nimegundua kua Uislamu ndio dini ya haki Ukristu umekua kama kichwa cha mwendawazimu kila kanjanja anaingiza maigizo yake ukristu umekua dini ya ajabu mpk inafikia hatua mtu unaona aibu kujiita mkristu ni...
  9. Dhul Qarnainn

    JamiiForums Tanzania Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

    Katika historia, kumekuwa na mijadala kuhusu kama maandiko ya zamani yalitabiri ujio wa nabii wa mwisho. Watu wengi wamechunguza vitabu vya kale wakitafuta dalili zinazoelezea mtu atakayekuja na mwongozo wa kiroho kwa mataifa yote. Katika makala hii, tutaangalia aya mbalimbali kutoka Injili...
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mufti Mkuu wa Saudi Arabia: Tulichokiona leo huko Gaza ni fedheha kwa Uislamu, kitendo cha kumkufuru Mwenyezi Mungu

    Ila wanywa gahawa wa bongo wanawa brand kama mashujaa. SHAME ON YOU!!
  11. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Kama unapenda mwenyezi Mungu usipite hapa bila kulike hii thread na kucomment

    Kama unapenda mwenyezi Mungu usipite hapa bila kulike hii thread na kucomment "Asante Mungu"
  12. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Mwenyezi Mungu si unijalie tu haka hii gorofa, eeh baba

  13. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mwenyezi Mungu angeongeza siku za kuishi walau miaka 100,hii 60-70 haitoshi kutimiza malengo yetu

    Hebu nenda kwenye makaburi ya umma ya wakristo utarudi nyumbani na kusema asante Mungu. Kumbe watanzania wengi hatutoboi 70,Yaani narehemu wengi ni miaka 50 kushuka chini, Kwa mujibu wa sensa iliyopita idadi ya wazee kuanzia miaka 60 hawazidi 10 percent, Serikali inashindwa nini kuwapa bima ya...
  14. PROFOUND NOTION

    JamiiForums Tanzania Mwenyezi Mungu, nifanye lipi ili ujibu ombi langu, niwe vipi ili unitue mzigo huu? Mbona ni kama umenifumbia macho hunioni

    Mimi sio bora kuliko wengine ila napambana kwa namna ilio haki, kwa namna ilio ya juhudi huku namtanguliza alioiumba dunia hii. Kila nachogusa ni kama kiko allergic na mikono yangu, hakiwi ridhiki, hakikaii, watoto watakula nini, nimtamtunza vp huyu mrembo ambae Mungu alinijalia. Mimi ni...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Watu wengi hawafanikiwi Kimaombi kwa Mwenyezi Mungu kutokana na kukosea hii sehemu ndogo sana ila muhimu mno

    Unajua kabisa hadi sasa (2024) idadi ya Watu wote tuliopo Duniani ni Bilioni 8 na Milioni 200 halafu bado ukiwa Unasali ama Chumbani Kwako au Kanisani au Msikitini unamuorodheshea Mwenyezi Mungu lundo la mahitaji ukidhani atakuwa na muda wa Kukujibu yote. Kuanzia sasa GENTAMYCINE nakufundisha...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wakubwa wanaosimamia chaguzi wajue waliapa kwa Qur'an na Biblia- Mwenyezi Mungu hataniwi

    Umezuka mchezo nchini wa watawala kutoheshimu haki za raia, kutoheshimu viapo vyao. Na hii yote ni kwa sababu ya Kibri cha madaraka. Kibri cha kujiona "wakubwa" na kwamba ni untouchable. Kwa kiburi hicho, hawa wenye dhamana huvunja viapo vyao walivyoapa kwa kushika Qur'an na Biblia halafu...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Ushahidi Mungu alimbariki Yakubu na kizazi chake kuwa miongoni mwa watu wema , waliokakabidhiwa ukuhani, kitabu , uongozi na neema kubwa

    Wadau hamjamboni nyote? Nimeweka nukuu za aya mbili kwa lugha ya kiswahili na kiingereza kwa ajili ya rejea yenu. ✓Tulimbariki kwa Isaka kama mwana na Yakobo kama mjukuu, kama fadhila ya ziada, tukiwafanya wote kuwa waadilifu. Na tukawafanya viongozi kwa kuongoa kwa amri yetu, na tukawapa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyezi Mungu huleta nusura yake kimaajabu- Huenda Ukombozi wa Wapalestina utapitia Iran

    Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema halali usingizi, na anaona kila kitu kinachoendelea katika matendo ya wanadamu. Katika nyakati mbalmbali katika historia ya mwanadamu Mwenyezi Mungu ametoa msaada na kunusuru wanaodhulumiwa pale ambapo usingetegemea. Binafsi naanza kufikiri kuwa Mapinduzi ya...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Maandamano ya CHADEMA yamefanikiwa kwa 100%

    Lengo Kuu la Maandamano haya lilikuwa ni kuijulisha Dunia yote na Taasisi zote za Kimataifa kwamba Serikali ya Tanzania ndio inayoteka na kuua Wakosoaji wake kwa kutumia vyombo vya Dola, Hili limethibitika Rasmi, kwa Ushahidi Mwanana, Kauli ya Rais ya Juzi na mnachokiona mitaani ni uthibitisho...
  20. Mjomba side

    JamiiForums Tanzania Ewee mwenyezi mungu tusaidie sisi wapanda bodaboda

Back
Top Bottom