udiwani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    CCM yashinda Udiwani Kata ya Kasingirima, ACT Wazalendo wadai kulikuwa na Kura Feki

    Msimamizi wa uchaguzi mdogo wa Kata ya Kasingirima, Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji, Mwantumu Mgonja amemtangaza Mlekwa Kigeni wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa mshindi katika uchaguzi huo kwa kupata kura 437 dhidi ya mshindani wake wa ACT-Wazalendo, Alumbula Khalidi aliyepata kura 233...
  2. zitto junior

    Mpanda: Aliyeporwa udiwani amwaga machozi mbele ya Mbowe

    Katika ziara ya Chadema (Operation +255) huko mpanda, Kuna tukio limeniacha na majonzi sana. Mgombea udiwani wa Chadema 2020, mwanamama shupavu alimwaga chozi akikumbuka ukatili wa JPM. Mgombea huyu aliwekewa pingamizi so hakufanya kampeni muda mrefu, kama haitoshi aliposhinda udiwani (Fomu za...
  3. Nguruka

    TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yateua watatu viti maalum vya udiwani

    TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imefanya uteuzi wa Madiwani watatu (3) Wanawake wa viti maalum kuziba nafasi zilizoachwa wazi katika Halmashauri tatu za Tanzania bara. Uteuzi huo umefanyika kwa mujibu wa kifungu cha 86A (1) cha Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, Sura ya 292 kikisomwa...
  4. F

    Atakaekiri 2025 awe kutoka CCM au Upinzani kutenda kama Hayati Magufuli atajihakikishia ushindi kwenye udiwani na Ubunge lakini kwenye Urais ni Samia

    Kuna kijisauti nakisikia na kinaniambia niwafikishie sauti hiyo wote wenye kutamani Udiwani na Ubunge wawe ni kutoka CCM au Upinzani. Sauti inaniambia na imenihakikishia mambo makubwa matatu: Jambo la kwanza, Mwaka 2025 Rais ni Samia na ushindi wake utaonekana 2024 kuelekea 2025 na kuna mambo...
  5. Idugunde

    CHADEMA kama mna ushirikiano na huyo Mkenya anayehimiza ulimaji na matumizi ya bangi ndio mnadhania 2025 mtapata hata udiwani?

    Yaani mnataka nani mwenye akili timamu awaamini nyie kuwa mnaweza kuwa na nia njema na taifa hili?. Juu ya kulinda rasilimali za taifa kama madini mlishakiri wazi kuwa mtawapa wazungu wafanywe watakavyo. Leo hii mnashauriwa na wanaotaka vijana wa taifa hili waharibike kwa bangi. Nani...
  6. Lycaon pictus

    Nafasi zote za kuchaguliwa kama Ubunge na Udiwani ziwe na ukomo

    Kama ulivyo Urais, nafasi hizi nazo ziwe na ukomo. Hakuna sababu ya msingi mtu mmoja kuwa mbunge miaka 20. Na jambo hili wasipewe bunge kuamua. kuna wabunge wamechosha kabisa. Mtu amekaa bungeni miaka 20. mawazo yake ni ya enzi za Mkapa huko. yupo tu, "Tunafanyaga hivi."
  7. Erythrocyte

    Mutta Rwakatare avuliwe Udiwani

    Tatizo kubwa sana la CCM ni kuwapa vyeo watoto wa viongozi kama bakhshish , ili kuendeleza na kulinda hujuma walizofanya Wazazi wao za kuitafuna Nchi . Huyu Diwani wa Kawe anayeitwa Mutta ambaye ni mtoto wa Mfadhili wa CCM Marehemu Getrude Lwakatare , hana kipawa cha uongozi , amelazimishwa tu...
Back
Top Bottom