mfahamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Poppy Hatonn

    Mfahamu Babaji

    Babaji ni Himalayan yogi ambaye ameishi kwa muda mrefu sana. Kila mtu anapaswa kumfahamu Babaji ni nani. Inasemekana Babaji amezaliwa Madras, India, AD 200. Mpaka leo yuko hai. Nilitamani kuweka picha moja ya Babaji hapa, lakini hii simu ina matatizo gani sijui mbili hizi. Nilitamani kuweka...
  2. Manyanza

    Mfahamu ndege Flamingo

    1) Flamingo wanauwezo wa kuhisi mvua ikiwa umbali wa km 500.. Sio flamingo wote wana uwezo huo isipokuwa ni Flamingo kutoka bara la afrika hasa wanaopatikana nchini Namibia 2) Neno flamingo ni neno la kihispania flamenco lenye maana ya moto... Na sababu ya kuitwa hivyo ni kutokana...
  3. Damaso

    Mfahamu Mika: Mwimbaji wa wimbo wa Relax

    Ni Alhamisi Magaidi watatu walijitoa mhanga kwa kujilipua mabomu matatu ya kujitengenezea wenyewe wakiwa ndani ya treni za chini ya ardhi katika Jiji la London huko Uingereza. Baadaye, gaidi wa nne alilipua bomu lingine kwenye basi lililokuwa Makutano ya Tavistock Square. Katika mashambulizi...
  4. I am Groot

    Mfahamu Ferruccio Lamborghini, mwanzilishi wa kampuni ya LAMBORGHINI, mapito yake binafsi ya kimaisha na kampuni yake mpaka sasa

    KARIBU SANA MWANA JAMIIFORUM TUJIFUNZE na ruksa kukosoa chapisho. FERRUCCIO LAMBORGHINI Zamani nilinunua magari mashuhuli sana ya gran Turismo na katika kila hizi gari nililinunua niliona zina mapungufu. Yana joto sana, au hayakupi ile starehe, au hayana kasi ya kuridhisha au hayajamaliziwa...
  5. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Mfahamu Mika Mwamba, Producer Mzungu aliyeibua vipaji vingi Tanzania

    MIKA MWAMBA PRODUCER ALIYEIBUA VIPAJI VYA WASANII WENGI BONGO Ngoma za huyu mwamba zilikuwa na vinanda vyenye ma-vibe ya kufa mtu: Tamara + ni wewe - Hard Mad Eno maiki - Ziggy Dee (Uganda) Nakupenda Mpenzi - Dudu Baya get down - Prezo ft Naziz (Kenya) Twenzetu - Chege Baby Gal + wange - Mad...
  6. Damaso

    Mfahamu Yassine Chueko, Mlinzi binafsi wa Messi

    Unapofanya kazi ya kuwa mlinzi wa mmoja wa wanasoka mashuhuri duniani, basi tambua ni kazi ngumu sana, tena yenye kuhitaji umakini mkubwa. Hii inakwenda mbali mpaka kusema kwamba lazima uwe na mafunzo ya juu, motisha ya kutosha, katika hali bora ya kimwili na macho daima na wakati mwingine...
  7. Mhaya

    Mfahamu kimapenzi Mwenza wako

    Swala la kimapenzi ni jambo mtambuka na pana sana, sio kila jambo kwenye mapenzi linamfahaa kila mtu. Zifuatazo ni tips tu kuhusu kumfahamu mwenza wako; 1. Kuna wanawake wanaofika kileleni mara moja tu katika faragha za kufanya mapenzi, yani akishafika hawezi kufika tena hata ukiendelea...
  8. Damaso

    Mfahamu Pata Seca: Kutoka kuwa Mbebesha Mimba mpaka Alama ya Ukombozi

    Habarini Wanajukwaa! Uzalishaji wa watumwa ulikuwa ni jambo la kawaida sana kutokea haswa kuanzia miaka ya 1619, jambo hili lililotokea huko Marekani, ambapo wamiliki wa watumwa wangezalisha Waafrika waliokuwa watumwa kwa madhumuni ya kuongeza thamani yao ya kiuchumi kama sehemu ya utendaji wa...
  9. MK254

    Mnaoshabikia HAMAS mfahamu walikamata hadi Waarabu mateka

    Huyu Bilal, dogo muarabu ambaye alikua mateka wa HAMAS, anaeleza jinsi walikamatwa mateka na namna walijaribu kujitetea kuwa wao ni waarabu, ila HAMAS hawakujali, walimkamata yeye na dadake Aisha na familia yote. Kati ya familia yake, yeye tu na Aisha ndio wameachiwa, wengine wote bado...
  10. Hance Mtanashati

    Mfahamu muigizaji Katrina Kaif

    Katrina Kaif ni mwigizaji na mwanamitindo wa Uingereza na India. Alizaliwa mnamo 16 Julai 1983 (Ana miaka 40 sasa) huko Hong Kong na kukulia Uingereza. Wazazi wake ni mfanyabiashara wa Uingereza mwenye asili ya India, Mohammed Kaif na Suzanne Turquote, muingereza msomi na mwanasheria. Katrina...
  11. Hance Mtanashati

    Mfahamu muigizaji Hrithik Roshan (KRRISH)

    Jina lake kamili anaitwa Hrithik Rakesh Roshan ni mtoto wa pili kuzaliwa na mtayarishaji,muongozaji na muandishi wa filamu Rakesh Roshan (baba) na Pinky Roshan (mama). Hrithik Roshan ni mtoto wa pili kuzaliwa (mziwanda) wa kwanza ni dada yake anaitwa Sunaina Roshan. Hrithik Roshan alizaliwa 10...
  12. Hance Mtanashati

    Mfahamu muigizaji Kajol

    Kajol Mukherjee ni mwigizaji maarufu wa filamu wa India, aliyezaliwa mnamo mwaka 1974 August 5 huko Mumbai Maharashtra India. Kajol ni wa pili kuzaliwa kwenye familia yao wa kwanza ni Rani Mukherjee ,mdogo wao anaitwa Tanisha Mukherjee. Wazazi wao ni Tanuja Samarth(Mama) ambaye pia alikuwa...
  13. LINGWAMBA

    Mohammed Deif: Mfahamu kiongozi wa Hamas anayewanyima usingizi Israeli

    Kamanda wa jeshi la Hamas Mohammed Deif alitoa wito kwa Wapalestina kila mahali kujiunga na operesheni ya kundi hilo, muda mchache baada ya wapiganaji wa kundi lake kuvamia Israel na kusababisha maafa mabaya zaidi. "Tumeamua kukomesha makosa haya ya Israel kwa msaada wa Mungu, hivyo adui...
  14. KJ07

    Sarah Baartman: Mfahamu Mwanamke mweusi kutoka Afrika Kusini aliyesafirishwa Ulaya kwa maonesho

    Karne mbili zilizopita Sarah Baartman alifariki baada ya kuishi akifanya "maonyesho ya vituko ". Sasa tetesi kwamba kuna uwezekano wa kutengenezwa kwa filamu ya Hollywood inayohusu maisha ya Baartman zimeibua utata. Sarah Baartman alifariki dunia tarehe 29 Disemba 1815, lakini maonyesho yake...
  15. Stephano Mgendanyi

    Mfahamu David Kihenzile, Naibu Waziri Mpya wa Uchukuzi

    Na; Thadei Ole Mushi. Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri na Manaibu Waziri yaliyofanywa siku sita zilizopita yanatoa somo kwenye mambo mawili makubwa. 1. Rais Samia Suluhu Hassan anaendelea kuachana na Mawaziri na Manaibu Mawaziri ambao aliwarithi toka kwenye awamu zilizopita. Maingizo ya watu...
  16. Idd Ninga

    Mfahamu Pete Felix O'neal

    Pete Felix O'neal Alizaliwa tarehe 27-07-1940 huko Kansas City siku kama ya leo, anayotimiza miaka 83. Ni mwanamapinduzi mwenye asili ya kimarekani akiwa menyekiti wa Black Panther Party- for self defence . Chama cha wapigania na kulinda haki za watu weusi wa kimarekani kama majimbo yao zidi...
  17. Kigoma Region Tanzania

    Mfahamu 'Kamchape' mkamata wachawi na shughuli zake kwa ujumla kutokea hapa Mkoani Kigoma

    Kamchape ni mganga wa jadi hupatikana Africa hasa nchini DRC Congo na wengine wao hupatikana hapa mkoani Kigoma. Katika makala hii nitakujulisha kunako tasnia hii ya Uganga na nguvu za giza kutokea hapa Kigoma, nitakusafirisha na kukujuza kinagaubaga ili uweze kutambua Kamchape ni na nani? wapi...
  18. K

    Mfahamu mmiliki wa WAGNER PMC

    PRIGOZHIN- Born 1st June, 1961 in Leningrad.- In 1981, sentenced to twelve years imprisonment for robbery and fraud.- Began selling hot dogs in 1990 after early release from prison. Expanded business operations in 1995, ran popular and successful restaurants.- Grew closer to Putin in the 2000s...
  19. J

    Mfahamu Mt. Yosefu wa Cupertino, Padre anayepaa

    Tarehe 18 Septemba, Kanisa linaadhimisha maisha ya Mtakatifu Yosefu wa Cupertino, mtu wa imani ambaye labda alikuwa maarufu zaidi kwa uwezo wake wa kupaa. Baba yake, seremala masikini, alikufa kabla ya kuzaliwa kwake na mama yake, ambaye hakuweza kulipa deni, alipoteza nyumba yake na akamzaa...
  20. M

    Mfahamu Mtawala wa Dubai, Sheikh Maktoum

    Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum (73) ndie Mtawala wa Dubai na pia Ni Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Waziri wa Ulinzi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE). Ndie aliyefanya mageuzi makubwa kwenye Emirati ya Dubai kutoka jangwa mpaka Sasa mji maarufu na kuvutia watalii toka pande zote za...
Back
Top Bottom