George Papagheorghe (born 22 June 1982, in Constanța) a.k.a. Jorge and at times GEØRGE is a Romanian singer, dancer and TV host, specially for the talent competition România dansează on Antena 1 starting 2013.
Prince George ameanza rasmi masomo yake katika Eton College, shule maarufu na yenye historia kubwa nchini Uingereza. George mwenye umri wa miaka 13 alifika shuleni akiwa ameambatana na wazazi wake, Prince William na Catherine, Princess of Wales.
George sasa anafuata nyayo za baba yake, Prince...
According to a tweet by journalist Andrew Mwenda, the Tooro Kingdom’s Royal Succession Committee has selected 36-year-old George Desmond Kamurasi as the next Omukama (king). He succeeds King Oyo Nyimba Kabamba Iguru Rukidi IV, who passed away on August 26, 2026, in Texas, USA.
The announcement...
Hapo zamani, katika shamba lililoitwa Manor Farm, waliishi wanyama wengi waliokuwa chini ya utawala wa mmiliki wao, Bwana Jones.
Jones alikuwa mzembe na mara nyingi aliwatendea wanyama vibaya. Wanyama walifanya kazi kwa bidii, walizalisha chakula na mali nyingi, lakini wao wenyewe walipata...
Vyanzo vinaelezea mchango wa watu wasio Waafrika na wengine waliosahaulika katika harakati za TANU:
George Arnautoglo: "Huyu alikuwa ni mgiriki... mimi nilikuwa napokea pesa kutoka kwa Joja Anatog kusaidia TANU",.
Said Kipatwa (Tanga): "Huyu alikuwa muhindu... Mwalimu alimwambia baba sema...
Namuona huyu mtu akitajwa sana kwenye maandamano ya kumpinga trump, maandamano ya upinde na maandamano ya free palestine.
Mwenye moja mbili tatu zake anishtue
Breaking News: Apostle Arome Osayi Under Fire as Being Real George Alleges Contradictions in Sermons
Tuesday, April 28, 2026
FCT, Abuja – Nigeria
A growing online controversy has erupted around Nigerian cleric Apostle Arome Osayi, following claims of inconsistencies in his past sermons. The...
Bishop George John ameongea hayo katika mkutano uliowakutanisha viongozi wa dini na kutoa onyo kwa watu wanaaomba Rais afe kwani kitu kama hicho hakiwezi kutokea, na badala yake watakufa wao.
Wakuu,
Askofu kalambishwa asali :Alien:
"Kwa wale wote wanaotamka mabaya juu ya Rais, sikia: Hakuna neno lolote kwenye Biblia linalosema unaweza kumtamkia Rais neno lolote, wala kumlaani kwa jambo lolote, haiwezi kumpata. Haimpati! Jambo lolote baya halimpati Rais.
Sasa kwa wale ambao...
High Court imetupilia mbali kesi ya ufisadi dhidi ya Gavana wa Trans Nzoia, George Natembeya, ikisema uchunguzi uliofanywa ulikiuka katiba.
Justice Bahati Mwamuye aliamua kuwa maafisa wa Ethics and Anti-Corruption Commission walikiuka haki za gavana wakati wa kumkamata, hasa kwa kumkatalia...
Siku ya 29 Oktoba 2025 ilianza kama siku nyingine ya kawaida kwa George Chipeta, fundi wa umeme wa magari anayejitafutia riziki kwa jasho la mikono yake. Asubuhi hiyo alichukua pikipiki yake mwenyewe, akaondoka Vingunguti, akavuka daraja kuelekea Tabata kufuata spare ya mteja. Aliipata spare...
Kijana akieleza kwa machungu kisa kilichumpata hadi kukatwa mguu wake alipigwa risasi akiwa maeneo ya gongo la mboto kisha kapelekwa hospital na kukatwa mguu alikuwa na pikipiki polisi waliondoka nayo hadi leo hajui pikipiki yake ilipo.
Wamemyia ukilema kijana wa watu hawezi tena kufanya kazi...
Wahuni hawana mdaaa
As well as huuelekeee kuwa karibu nao na huendani na matarajio yao
Shwaaaaaaaaa.
Wewe sio chawa. Shwaaaaaaaaaa.
Eti huyu dogo katambi ana misuli ya kutosha wizara mambo ya ndanii
Eeeeee makubwaaa
Ninachoona Katambi ni KACHERO ASEEE,MKUBWA
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu imeendelea tena leo, Jumatatu Oktoba 06.2025 kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam chini ya jopo la Majaji watatu (3) wakiongozwa na Jaji Danstan Ndunguru
Kesi hiyo...
Mbunge wa zamani wa Uingereza George Galloway amezuiliwa chini ya 'Sheria ya Ugaidi' leo, kwa klipu aliyoirusha hewani saa chache kabla kwenye chaneli yake ya YouTube ambapo alisema:
"Israeli itafutwa kabla ya Palestina kuwa, na kama unavyojua, ni matakwa yangu na matumaini yangu."wachochezi...
Lushoto, Tanzania
Alhamisi, 18 Septemba 2025
MAFUNZO YA UENDESHAJI MASHAURI YA UCHAGUZI KWA MAJAJI, MAHAKIMU YAHITIMISHWA
https://m.youtube.com/watch?v=WAAaVOMqZkM
· Jaji Mkuu asema ipo haja ya kufanya marekebisho ya Kanuni za uchaguzi
· Jaji Mkuu Mstaafu, Mhe. Mohamed Chande Othman ashiriki...
Ni agizo alilolitoa mapema mwaka huu baada ya kuapishwa kuwa watuhumiwa wa makosa ya jinai mahakama za mwanzo waww wanajidhamini wenyewe
Tatizo limekuja kuwa gumu baada ya wanaojidhamini mahakamani kutorudi tena na kutokomea kusikojulikana.
Ingawa alielekeza kuwa kesi ziendelee upande mmoja...
Hello GT!
With due respect to NRE and whatever results that can be achieved, baada ya uchaguzi mkuu 2025 kukamilika mtajwa ana uwezo mkubwa wa kuwa PM ikiwa mamlaka itamuona na kumpa nafasi hiyo.
Sababu zitokanazo na mtazamo wangu;
1. Mtajwa ana busara, hekima na uwezo wa kuongoza.
2. Ana...
Jaji Mkuu ameyasema hayo leo mara baada ya kula kiapo.
Amepend2keza kuwepo kwa Mahakama ya Rufaa kwa kuanzia na Mikoa ya DSM, Mbeya na Arusha ili kurahisisha upatikanaji wa haki kwa wakati kuliko ilivyo sasa hadi majaji kutoka Dodoma watembelee jambo ambalo linachelewesha haki za wananchi...
Kwanza hongera sana kwa Uteuzi wako.
Kama sikosei ulipelekwa Mahakama ya Rufani ukiwa na miaka 60. Hivyo sasa utakuwa Jaji Mkuu kwa kipindi kisichozidi miaka 5 kwa kuwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatamka Jaji wa Mahakama ya Rufani anapaswa kuhudumu katika nafasi hiyo hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.