diaspora

A diaspora () is a scattered population whose origin lies in a separate geographic locale. In particular, the word diaspora is used to refer to the involuntary mass dispersion of a population from its indigenous territories, most notably the Jews who were dispersed from the Land of Israel in antiquity (known as the Jewish diaspora). Some other diasporas are the African transatlantic slave trade, the southern Chinese or Indians during the coolie trade, the Irish during and after the Irish Famine, the Romani from India, the Italian diaspora, the exile and deportation of Circassians, the flight or expulsion of Arabs from Palestine, fleeing of Greeks after the fall of Constantinople, Expulsion of the Acadians, and the emigration of Anglo-Saxon warriors and their families after the Norman Conquest of England.Recently, scholars have distinguished between different kinds of diaspora, based on its causes such as imperialism, trade or labor migrations, or by the kind of social coherence within the diaspora community and its ties to the ancestral lands. Some diaspora communities maintain strong political ties with their homeland. Other qualities that may be typical of many diasporas are thoughts of return, relationships with other communities in the diaspora, and lack of full integration into the host countries. Diasporas often maintain ties to the country of their historical affiliation and influence the policies of the country where they are located.
In 2019, according to data released by United Nations with 17.5 million Indian diaspora is world's largest diaspora, followed by 11.8 million Mexican diaspora and 10.7 million of Chinese diaspora.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Diaspora omba audience na Trump

    Mueleze lolote lililo ndani ya uwezo wake kuisaidia Tanganyika! au Tanzania ukipenda ingawa Zanzibar haina mateso yoyote. Hapo vipi Pascal Mayalla
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Diaspora ni kutoka nchi za Magharibi tu?

    Sijawahi kusikia watz waliochukua uraia wa Sauth Afrika, Korea Kusini, Japan, China wakilalamika na wakiandama iki watambulike. Wengi wanaojitambulisha kama Dispora ni kutoka nchi za Magharibi Maandamano yote dhidi ya tz ni kutoka Germany, UK, USA, Canada. Kwanini?
  3. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA diaspora seeks talks with Donald Trump and rights bodies over alleged abuses in Tanzania and the release of Tundu Lissu

    Look for any alternatives to secure release of Tundu Lisu and thereafter other issues of democracy in Tanzania to follow such as Katiba Mpya, Tume Huru ya Uchaguzi and many others. Finally to bring to justice those involved in October 29th 2025 massacre of innocent Tanganyikans Najua meeting...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania cannot demand diaspora investments while detaining diaspora citizens

    The Thadei Kweka Arrest Is a National Embarrassment By: Mchambuzi Huru wa Siasa Safi na Uongozi Bora Tanzania’s security apparatus has once again proven what many of us in the diaspora have been warning for years: the system is not broken actually it is functioning exactly as designed, to...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Diaspora wa Iran wanaichukia sana Serikali ya Iran

    Katika diaspora wanaoongoza kuichukua serikali yao waIran wanaoishi nje ya nchi yao wanaweza kuwa wanaongoza, wengi wao wanafurahia hadi Iran inavyoharibiwa kwa mabomu! Hakuna diaspora kabisa wa kuutetea utawala wa Ayatollah, yani wanazidiwa hata na CCM ambao angalau ina watetezi huko ughaibuni!
  6. H

    JamiiForums Tanzania Balozi Matinyi afuturu na Diaspora wa Sweden na kuwaaga

    BALOZI MATINYI AFUTURU NA DIASPORA WA SWEDEN NA KUWAAGA Mheshimiwa Balozi Mobhare Matinyi akitoa nasaha zake na kuwaaga Watanzania waishio nchini Sweden wakati wa Iftar iliyoandaliwa na Ubalozi jijini Stockholm, Jumamosi, tarehe 7 Machi, 2026.
  7. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Wito wa mwisho kwa Diaspora wetu Marekani. Its now or never, hakikisheni vyovyote vile Arrest Warrant inapatikana

    Tangazo rasmi kutoka Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuhusu Taifa hilo kuzuia visa za kuingia Marekani kwa Watanzania isipokuwa katika hali na mazingira machache wakati Serikali ya Samia imepambana sana kuzuia hili ni kielelezo tosha kuwa Marekani imeamua kujiweka kando na huyu muuaji wa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Serikali Msichezee Moto na kuwasumbua Diaspora wenye Uraia wa Marekani

    Serikali Msichezee Moto na kuwasumbua Diaspora wenye Uraia wa Marekani. Raia yeyote wa Marekani akishikwa au kushitakiwa nchi nyingine kwa utamaduni wa marekani ni swala la kitaifa sio tena swala la mtu mmoja. Marekani iko tayari kutuma jeshi kumkomboa mtu mmoja tu. Lakini serikali muwe makini...
  9. Msanii

    JamiiForums Tanzania Taharuki: Mtanzania diaspora atekwa nyara Kilimanjaro

    Anaandika Liberatus Mwang'ombe Mpaka uzi huu unapanda hewani, jeshi la utekaji la polisi hawajatoa kauli yeyote UPDATE Mdogo wake Thadei Kweka aitwaye JB Kweka, kupitia Club House amethibitisha kutekwa kwake. Ameeleza zaidi kuwa polisi wamekiri kumkamata. Tukio la kukamatwa kwake limejiri...
  10. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kwanini Diaspora wa USA huwa wengi wao ni kama wana matatizo ya afya ya akili?

    Inasikitisha sana kuona watu waliosoma elimu ya juu ni kama wamechanganyikiwa na kuwa na msongo wa mawazo hali inayowafanya kuwa na hasira muda wote. Kuna tatizo gani huko Marekani? Kuna ndugu yetu alienda kama mwanamichezo mwaka 1990 ila kila akijaga bongo likizo mwonekano wake ni kama kibaka...
  11. N

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tanzania tuwazuie Diaspora uraia pacha rasmi

    Nimeona kwenye club house watu wengi wanaochochea watu kuandamana na kuichoma Tanzania ni Watanzania wanaoishi nje tena wengi wakiongea vingereza vyao vya kuokota okota na kutafuta via accent vya kuibia NAISHAURI SERIKALI IFUTE KABISA ULE MPANGO WA URAIA PACHA, PILI HATA HADHI MAALUM IACHANE...
  12. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia si muuaji, ni baadhi diaspora wa Tanganyika waishio Ulaya

    https://www.facebook.com/share/v/17qxXJt2YN/ kuna video nyingi sana, huo mfano mmoja. Msikilizeni huyu dada, anaelezea kwa kirefu kiasi gani maandamano yalivyoandaliwa na baadhi ya diaspora wa Tanganyika ili kuiangamiza Tanzania, kisha lawama yote amepewa samia na kmkm, na watu kuwa na visasi...
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Usichojua Kuhusu Diaspora wa Tanzania, Wanamkubali Sana Samia, Wangekuwa Wanapiga Kura Kama Diaspora wa Wenzetu, Samia Angevuna Kura Nyingi za Kutosha

    Wanabodi Makala yangu gazeti la Mwananchi Jumatano ya leo Bado nipo ughaibuni katika haya na yale kuelekea siku ya October 29 ya Watanzania kwenda kupiga kura kumchagua rais wao na wawakilishi wao, Wabunge na Madiwani watakao wawakilisha Bungeni na kwenye baraza la Madiwani, nami pia nikiwa...
  14. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Watanzania Waishio Marekani Waandamana Kupinga Utekaji Nchini Tanzania

    Watanzania waishio Marekani wameandamana hii leo kupinga vurugu na utekaji, wakishikilia mabango yenye bendera ya Tanzania
  15. Sales man

    JamiiForums Tanzania Familia ya kikwete inamiliki 1/3 ya uchumi wa Tanzania , polepole akifika hapa watu wataamka.

    Familia ya kikwete inamiliki uchumi wa Tanzania 1/3 . Diaspora wengi jinsi ambavyo wamekuwa wakifanyiwa sabotage katika uwekezaji . kwa kunyimwa Vibali n.k Hii ndo maana Diaspora hawataki kumsikia kikwete .
  16. Webabu

    JamiiForums Tanzania Askari 14,600 wakimbia vita wakiogopa kuingia Gaza kupambana na Hamas.IDF yatafuta diaspora wake kuziba pengo

    Wakati Netanyahu akidhamiria kuiteka Gaza yote,vita vinaelekea kuchukua mwelekeo wa ajabu na kwisha kwa namna moja au nyengine . Jumla ya idadi hiyo ya askari wamekimbia vita na mshike mshike imekuwa kubwa sana na ndio sababu Israel imekwama kuendelea na kupeleka jeshi Gaza kwa haraka...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wana Lupalilo wa Diaspora Wakabidhi Mfumo wa Sola wa Milioni 20 kwa Shule ya Sekondari Ilumaki

    Wadau wa maendeleo waishio nje ambao wanatoka katika kata ya Lupalilo wilayani Makete mkoani Njombe, wamekabidhi mfumo wa sola wenye thamani ya shilingi milioni 20 kwa shule ya Sekondari Ilumaki ili nishati ya umeme ipatikane shuleni hapo muda wote Sola hizo zimekabidhiwa Julai 24, 2025 na Dkt...
  18. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri kombo awasisitiza diaspora kuchangamkia fursa

    WAZIRI KOMBO AWASISITIZA DIASPORA KUCHANGAMKIA FURSA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasisitiza Watanzania waishio nchini China (Dispora) kuchangamkia fursa ikiwa ni pamoja na kuongeza mauzo ya bidhaa na huduma za Tanzania...
  19. President of China

    JamiiForums Tanzania Tech and AI battle kati ya USA na China, Makampuni Mengi ya USA yanaongozwa na wachina (Battle ni China vs Chinense diaspora) - USA vita hawezishinda

    Watu wengi hufikiri vita ya teknolojia ni kati ya USA na China… Lakini ukichunguza kwa undani, kuna vita isiyo rasmi kati ya China ndani ya china na diaspora yake Wachina walioko Marekani wanaoongoza makampuni makubwa ya AI ya Marekani. 1. Vita ya Teknolojia: USA vs China (Kiwango cha Serikali)...
  20. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Balozi Thabit Kombo: Diaspora wawekeza bilioni 7.5 UTT - AMIS

    DIASPORA WAWEKEZA BILIONI 7.5 UTT - AMIS Mhe. Mahmoud Thabit Kombo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Back
Top Bottom