bei ndogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Desierto

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kukataa kuuza kitu kwa bei kubwa baadae ukauza bei ndogo zaidi

    Inatokeaga unauza kitu chako aidha kwa sababu ya shida au vyovyote vile. ukaletewa hela kisha ukaiona ndogo ukataka kubwa zaidi lakini baada ya muda unauza bei ndogo kuliko ya mwanzo uliyepewa na mnunuaji wa kwanza ukakataa. Nakumbuka kuna siku nikuwa nasafiri kwa baiskeli njia ya Itigi...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Hii bei ya mafuta wiki chache zijazo tutaiona ni bei ndogo

    Leo nimepita nimekuta wese linasima 3820, nikashangaa sana nikaamua tu nijaze full tank, kwasababu najua baada ya muda huenda yatafika 5700, kama hali itaendelea kua mbaya baada ya muda tutakutana na 6500 kisha hii bei ya leo itaanza kuonekana ilikua mteremko sana. chakuomba ni kwamba watu...
  3. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kipi ni Bora kwako: Kununua nguo/kiatu kimoja brand/OG kwa bei kubwa au kununua copy nyingi kwa bei ndogo?

    Wakuu. Upi mtazamo wako kwenye bei inapokuja swala la kununua mavazi, nguo au mikoba nk? Kuna viatu vinauzwa zaidi ya $200 (zaidi ya Tsh 500,000) wakati kiatu iko iko kwa muonekano unakipata Kariakoo kwa Tsh 50,000! Pia kwa mikoba ya brand maarufu kama LV, Gucci, Hermes nk unakuta unauzwa hadi...
  4. stakehigh

    JamiiForums Tanzania TRA wana mfumo wa kufanya mnada wa vitu vingi bei ndogo sana, However atakaeweka bei ya juu zaidi yako anachukua

    https://tanesw.tra.go.tz/cgme/onln/actn/cgme0504001q?menuId=menu_cgme0833 Mfumo huu unakua na bidhaa nyingi sana unaweza tu bei unaotaka, mfano kuna mpaka scania za mil 0, however ni bidding atakaekuzidi anachukua
  5. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Car Service Episode 3/10: Power Steering Fluid na Differential Fluid kuzibadirisha ni bei ndogo ila ni muhimu sana!

    Power Steering Fluid na Differential Fluid zipo kwenye kundi la fluids ambazo uwa zinapotezewa sana wakati wa kufanya service, ilihali gharama zake ni ndogo kuzidi ata faini moja ya trafiki. POWER STEERING FLUID Power steering fluid inasaidis pampu ya steering kufanya kazi vizuri, kwa kufanya...
  6. willy ze great

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna mtu anadai kuonesha epl na ligi zote kubwa kwa bei ndogo facebook

    Kama picha zinavoonesha hapo anadai kuonesha ligi zote kubwa ulaya kwa bei nafuu tu matangazo yako facebook. Naomba ufafanunuzi kama hii kitu inawezekana anadai king'amuzi kinaitwa premium hd. Kama kuna mtu anafaham hii habari atutoe tongotongo
  7. Kigger

    JamiiForums Tanzania Karibu utangaze kwenye TV kwa bei ndogo

    Wadau Karibu mnisapoti kijana wenu . Karibuni mtangaze kwa gharama mdogo kabisa kupitia Tz Gospel Tv ipo Azam other channel 27 tunapatikana African nchi 21 satellite eutelsat 7b Kupitia kingamuzi cha azamz,zuku, continental decoder na milan cable arusha channel 204 Gharama zetu ni kama...
  8. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Huyu Majizo hizi Spika zake amelenga soko la ndani ya Tanzania au nje? Bei za moto level za JBL.

    Hongera kwake kwa kuzindua Jizzo Sound. Sawa. Ila swala la bei ni jambo jingine. Kuna Michina mingi kwenye hii price range na ina muziki mnnene, itaweza kucompete? Bei inayofuatia Laki 4.8 hadi Mil 3 uko. Sasa naona una compete na wakina JBL.
  9. tutusi27

    JamiiForums Tanzania Wadau tuambiane hapa simu gani nzuri inauzwa kwa bei ndogo

    Unaweza ukanunia simu ya bei ndefu bado usifurahie vizuri na mwingine akanunua simu ya bei rahisi akapata vingi, we kama mdau unadhani kipi cha muhimu kwenye simu kulingana na mahitajio kama kasi ya mtandao,kamera,memory,housing nk.?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada chimbo la cherehani aina zote bei ndogo

    Habari wakuu, Naomba kuwauliza chimbo la cherehani aina zote hasa cherehani za kushona nakudarizi kama Usher.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Nauza Tv mbili (Hisense) na Ps3 kwa Tsh. 900,000 tu!

    SOLD....
  12. V

    JamiiForums Tanzania Kiteto: Wakulima mji wa Kibaya wagomea bei ndogo ya mnada zao la mbaazi

    Mnada huo ambao ulitarajiwa kufanyika toka Jumanne, uliahirishwa mara mbili na hatimaye kufanyika Alhamisi 14/09. Wakulima zao la Mbaazi, walishangazwa na bei ya mnada kuwa chini kuliko matarajio. Kwa masikitiko makubwa walitangaziwa Bei ya Tshs 2190/ Ukiniunganisha na Bei ya Mbaazi Kwa soko...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Libya Mafuta Lita 1 Tsh. 78 tu, Ndio Nchi yenye Bei ndogo ya Mafuta Afrika, licha ya hali mbaya ya Usalama

    Wakati Watanzania wakipambana na Bei kubwa za Mafuta yenye Wastani wa Bei kati ya 3,000 hadi 3,500 kwa Lita moja, Nchi ya Libya licha ya kuwa na changamoto za Kiusalama bado ndio Nchi yenye bei ndogo ya Mafuta Afrika na ya 3 Duniani. Kwa upande wa Afrika Mashariki, Nchi ya Jamhuri ya...
  14. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Kwanini bia ziuzwe ghali zaidi Dar es salaam kuliko mikoani?

    Mikoani Safari ni 1,500 huku Dar Safari ni 2,500 mpaka 3,000, WHY? Bia zote za TBL ni bei juu Dar kuliko mikoani ambapo nilitegemea kinyume chake kwasababu Dar hakuna gharama za usafirishaji ukilinganisha na mikoani, This is stupid!
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mkopaji anatakiwa kudai fidia iwapo Benki imeuza nyumba yake bei ndogo

    Ni kosa benki au Taasisi yoyote ya fedha kuuza nyumba, kiwanja ama shamba la mkopaji aliyeshindwa kulipa mkopo bei ndogo sana kuliko thamani ya soko. Kifungu cha 133(1) cha Sheria ya Ardhi, Sura ya 113 kinalazimisha taasisi ya fedha kutafuta bei nzuri inayolingana na thamani ya ardhi inayouzwa...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Saa 10 za gharama kubwa duniani, ya bei ndogo ni Tsh. Bilioni 11.7 aliyopewa JAY-Z na mkewe Beyonce

    Kwa mujibu wa Mtandao wa KRONOS 360, Hizi saa ndio zinaongoza kwa kuuzwa gharama kubwa kwenye minada duniani. Kumbuka ni kati ya saa zilizotengenezwa kwa oda maalumu au chache. Hivyo sio rahisi kuzipata madukani. 1- Graff Diamonds - Hallucination - Tsh. Bilioni 128.7 2. Chopard – 201 carats -...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania EWURA: Tanzania ni kati ya nchi zenye bei ndogo ya Mafuta

    Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), Mhandisi Modeatus Lumato amesema Tanzania ni kati ya nchi zinazouza mafuta kwa bei ya chini kutokana na ruzuku ya Serikali. Amesema mbali na ruzuku hiyo, hatua ya kuwa wananunua mafuta kwa pamoja imesababisha kushuka...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi yenye bei ndogo zaidi ya mafuta ukilinganisha na nchi za Afrika Mashariki

    Tanzania tunabahati sana kuwa na Rais anayejali wananchi kutokana na ruzuku ya mafuta Bilioni 100 inayotolewa na Rais Samia Suluhu kila mwezi imepelekea bei ya mafuta kuendelea kushuka kila leo. Kupelekea Tanzania kuwa nchi yenye bei ndogo zaidi ya mafuta Afrika Mashariki. Kuanzia leo mafuta...
  19. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje niweze kutumia internet nyingi kwa bei ndogo kabisa!!…na nina iphone

    Habar wakuu! Walengwa nadhani mmeelewa! Tatzo n simu yangu iphone je hakuna app za free internet za iphone Kama huelewi apo we basi🤣
  20. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rekodi Mpya: Tanzania avuliwa taji la gharama nafuu za Internet, Kenya ndie bingwa mpya East Africa

    Hongereni majirani, kwa sasa nyie ndio mnaoongozea kwa cheapest internet in East Africa. Well, kwa huku kwetu TZ gharama zimepanda sana, kwa sasa GB 1 ni 1,861 sawa na shilingi yenu ya kenya 94. Youtube views za miziki yetu zilivyo drop ni kithibitisho tosha,
Back
Top Bottom