mastaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini maisha binafsi ya mastaa yanapendwa kufatiliwa kuliko kazi zao?

    Mastaa wengi wanapokuwa kwenye mahusiano,wanapotengana,au wanapofanya jambo linalozua mjadala,taarifa hizo huvutia attention kubwa kutoka kwa mashabiki. Soma zaidi:Inawezekana kubalance kazi na maisha binafsi kwenye dunia ya sasa? Wakati mwingine habari kuhusu maisha yao binafsi hushika...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kwanini vilabu vya Tanzania haviingizi sokoni jezi zenye majina ya mastaa wao? Je, ni ukosefu wa mipango ya kibiashara?

    Mauzo ya jezi ni miongoni mwa vyanzo vya mapato ya vilabu vya soka duniani, ingawa fedha zote zinazolipwa na mashabiki haziendi moja kwa moja kwa klabu. Kwa kawaida, mapato hayo hugawanywa kati ya mtengenezaji wa jezi, wauzaji wa rejareja na klabu kulingana na makubaliano ya kibiashara. Hivyo...
  3. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna Taifa Lingine Duniani Linalojua Sana Maisha ya Mastaa Kama Tanzania?

    Hivi kuna nchi yoyote duniani ambayo ni rahisi kuwa maarufu kama Tanzania maana kwa uchunguzi wangu nadhani tanzania inaweza kuwa Top ya nchi ambazo wananchi wake wana feed taarifa nyingi sana kuhusu maisha binafsi ya watu maarufu. Mtu hajaamka bado yupo kitandani alfajiri tayari anajua...
  4. Think2

    JamiiForums Tanzania Gerson msigwa :Serikali haiwalipi mastaa kuja Tanzania wanakuja kutokana na ukaribu na mheshiwa waziri Makonda

    Msigwa wadanganye watoto wako tu star mkubwa wa ball duniani aje bure ajilipie gharama zote za passport kuja tanzania kisa ameitwa na Makonda? Usikute hata ulaya hawamjui msukuma Makonda 😂 😂 na hilo trako lake kubwa 😂 Tusifiche ukweli tuwambie watanzania pesa zao za kodi wanalipwa hawa mastaa...
  5. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Kipi kipo nyuma ya shamrashamra za mastaa wa Kimataifa wanaokuja Bongo: Kuna jambo, au tunatolewa kwenye reli?

    Katika kipindi cha hivi karibuni, Tanzania imeshuhudia ujio wa watu maarufu duniani kama Didier Drogba na Rio Ferdinand ikielezwa kuwa ni kwa mwaliko wa Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo inayoongizwa na Paul Makonda. Kwa juu juu, hatua hii inaweza kuonekana kama jitihada za...
  6. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mabeef ya mastaa yanayoshamiri nchini sio burudani tu, ni kioo cha hali ya jamii tuliyonayo

    Siku hizi ukiangalia mitandao ya kijamii Tanzania kuna kitu kinaonekana wazi sana, ma-beef kati ya watu maarufu yameongezeka kwa kiwango kikubwa. Kila wiki kuna mtu kagombana na mwenzake, wengine wanachambana kwenye podcast, wengine Instagram story, wengine wanafichuana siri live kabisa mbele ya...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mastaa Lukamba, Rose Ndauka watamani kuachiwa kwa Tundu Lissu

    Mwigizaji Rose Ndauka na Msanii Lukamba wameeleza matamanio yao ya kumuona Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Tundu Lissu akiachiwa na kushiriki shughuli za kisiasa kama ilivyokuwa hapo awali. Kupitia mtandao wa Instagram Lukamba amechapisha picha ya Lissu akiambatanisha na maneno...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie mliofunga Dm zenu ni kwamba ni mastaa sana au vipi ?

    Wakuu habari, Hivi hawa wenzetu wanaofunga Dm zao mnawaelewa kweli ?
  9. McLaren

    JamiiForums Tanzania Presha ya baba zao ilivyowaondoa mchezoni mapema Watoto wa Beckham, Zidane na Totti

    Wakati wazazi wao wakiwa ni maarufu kwa makubwa waliyoyafanya kwenye mchezo wa soka, wao wameshindwa kufikia angalau nusu ya mafanikio ya kile ambacho baba zao walikifanya walipokuwa wakicheza. Enzo Zidane mtoto wa Zinedine Zidane ‘Zizzou’, Romeo Beckham mtoto wa David Beckham na Cristian Totti...
  10. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Operesheni Unfollow Wasanii wote Mitandaoni ambao hawasimami na Wananchi kwenye Haki

    Nchi nyingine, watu maarufu na Mastaa usimama na Wannchi linapokuja swala au jambo la maslahi ya wananchi kwa ujumla. Huko South Africa, Nigeria hata hapo kwa majirani zetu Kenya wasanii wengi husimama na raia na mara zote wamekuwa mstari wa mbele kuwapigania au kuwazungumzia wananchi endapo...
  11. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Kumbe ndiyo maana mastaa wengi husema hawajibu ujumbe kwenye peji zao katika mitandao ya kijamii

    Ni masiku machache tu nimeanza kuweka maudhui katika mitandao ya kijamii, lakini napokea jumbe za wadada hadi naogopa. Nilikuwa na account ya FB muda mrefu tu ambayo ina jina linalo endana na maudhui yangu japo Nilikuwa natumia kikawaida tu, ina marafiki kibao ambao tunafahamiana. Baada ya...
  12. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kumbe nguo na accessories OG za Chanel, Hermes, Gucci, LV nk ni gharama hivi? Kuna uwezekano ata hawa mastaa wetu wanavaa fake!

    Hivi vitu vya fasheni uwa navichukulia poa, kumbe mi bado sana. Pochi ndogo sana hizi tena pair moja, ila bei CIF + TRA ya gari. Mimi kununua mkanda Million 2.6 dah bado sana. Je, sunglasses kwa 2 Millions? Kuna uwezekano ata hawa majina makubwa wanatumia fake, tena quality ya chini...
  13. Dabil

    JamiiForums Tanzania Singida Black Stars kuchezesha wazawa leo ili kupunzisha mastaa wao wa kigeni

    Timu ya Singida Black Stars imetangaza kwamba mechi ya leo dhidi ya Yanga watapunzisha mastaa wao wa kigeni na kuchezesha wazawa ,wamedai wanapunzisha wachezaji mastaa kwa ajili ya game zinazokuja maana ratiba imekuwa ngumu. NB: Hii ni match fixing ya wazi,unapunzishaje wachezaji wenye uwezo...
  14. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Vijana wa 1980's tunaelekea kuwakana mastaa tuliokua nao, tuliiga kila aina ya maisha waliyoishi, hatukujua ya sirini

    Siku zinakwenda namkumbuka Tupac Amar Shakur 2Pac msanii mwenye sauti yenye nguvu katika muziki wa hip hop,Alijitokeza sana kuhamasisha vijana na jamii kuhusu masuala ya kijamii na kisiasa,Nyimbo zake nyingi ziliangazia ubaguzi wa rangi,umaskini, na ukosefu wa haki za kijamii,je angekuwepo hai...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya mastaa yanga watua Ethiopia kukipiga na CBE

    Kikosi cha Yanga kwa kundi la pili limepaa leo alifajiri kuifuata CBE SA ya Ethiopia kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa kwanza wa raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Wachezaji walioondoka leo ni wale ambao walikuwa hawana majukumu kwenye timu zao za taifa, wakati mastaa kama Djigui Diarra...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo mastaa wa Bongo wanavyopiga hela nje ya muziki

    Licha ya mafanikio yao makubwa katika muziki, wasanii wa Bongo wamekuwa wakipiga hela kupitia biashara na miradi tofauti nje ya muziki: 1. Diamond Platnumz – Mbali na muziki, Diamond amejikita kwenye sekta ya habari akiwa na Wasafi TV na Wasafi FM. Pia, alianzisha lebo ya muziki WCB Wasafi...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Forbes 2024: Michael Jordan, JAY-Z, Lebron James, Rihanna watajwa orodha ya Mastaa wenye Utajiri Mkubwa duniani

    1. Michael Jordan Utajiri: Tsh. Trilioni 8.2 | Miaka: 61 | Uraia: Marekani. 2. Oprah Winfrey Utajiri: Tsh. Trilioni 7.2| Miaka: 70 | Uraia: Marekani. 3. Jay-Z Utajiri: Tsh. Trilioni 6.4| Miaka: 54 | Uraia: Marekani. 4. Kim Kardashian Net Worth: $1.7 Billion | Age: 43 | Citizenship: U.S. 5. Tyler...
  18. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Tuwakumbuke mastaa waliovuma Bongo miaka ya 2000 mpaka 2010

    Kila nabii na zama zake. Leo tuwakumbuke mastaa waliovuma na kuitikisa bongo miaka ya 2000 mpaka 2010. Mastaa hao wanaweza kuwa walivuma kwenye kandanda, muziki, maigizo, siasa, nk Amina Chifupa wa Mpakanjia Alikuwa maarufu sana kwa wakati wake na pengine hakuna staa wa kike aliyemfikia kwa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Mastaa wa Bongo wanaisaidiaje jamii? Ubinadamu wa Mane na Ronaldo wanaoufanya sijawahi sikia huku kwa mastaa wetu

    Siwasemi Bongo movie najua ni unga unga unga mwana,nawaongelea hawa wasukuma ndinga ulaya. Siku ile imetokea majanga kule hanang dunia nzima ilifahamu kilichotokea lakini sikuona wachezaji hawa wakituma michango yao ya hali na Mali nikawaza sana mambo haya yangetokea nchini kwakwe mane dunia...
  20. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Haji Manara atangaza ndoa rasmi na ZaiyLissa. Mastaa kibao akiwemo JB wameunga mkono

    Wahenga wanasema mapenzi ni kikohozi hakiwezi kufichika . Inaonekana Zainabu fundi sana naona ndugu yetu Haji Manara kakolea na penzi analopewa na Zai mpaka kaamua kuvunja kiapo chake cha kutooa tena mpaka anaingia kaburini. Halafu imekuwa ghafla sana aisee hata miezi mitatu haijaisha Bugati...
Back
Top Bottom