Mastaa wa Bongo wanaisaidiaje jamii? Ubinadamu wa Mane na Ronaldo wanaoufanya sijawahi sikia huku kwa mastaa wetu

SAUTI YAKO

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
2,923
2,003
Siwasemi Bongo movie najua ni unga unga unga mwana,nawaongelea hawa wasukuma ndinga ulaya.

Siku ile imetokea majanga kule hanang dunia nzima ilifahamu kilichotokea lakini sikuona wachezaji hawa wakituma michango yao ya hali na Mali nikawaza sana mambo haya yangetokea nchini kwakwe mane dunia nzima ingefahamu alichokifanya mane, siongelei utoaji mkubwa au sababu ya kipato cha mane alichonacho ila naongelea moyo wa mane au Ronaldo kwa mapenzi yao kwa watu.

Mwisho inawezekana mimi ndio sijui kuwa hawa wawakilishi wetu huwa wanatoa misaada mingi tu kwa jamii ila mimi ndio sijui.Nachukua wasaa huu kumpongeza we zombi hajui simba kama simba dangote walau nilishawahi kuona mara moja moja akiisaidia jamii kwa ujumla misaada isiyo na mlengo wa kidini.
 
Acha kuishi kwa kutegemea misaada,

And kabla hatujaenda mbali, wew binafsi ulitoa nn kwa wahanga hao? Ulituma hata liten kwenye ile namba ya kuchangia maafa ?
 
Mm nimecheze real Madrid nikaenda Manchester united saiv nipo yanga .........japo nimesahau nlitaka kusemaje ila tusipangiane
 
Ms
Siwasemi Bongo movie najua ni unga unga unga mwana,nawaongelea hawa wasukuma ndinga ulaya.

Siku ile imetokea majanga kule hanang dunia nzima ilifahamu kilichotokea lakini sikuona wachezaji hawa wakituma michango yao ya hali na Mali nikawaza sana mambo haya yangetokea nchini kwakwe mane dunia nzima ingefahamu alichokifanya mane, siongelei utoaji mkubwa au sababu ya kipato cha mane alichonacho ila naongelea moyo wa mane au Ronaldo kwa mapenzi yao kwa watu.

Mwisho inawezekana mimi ndio sijui kuwa hawa wawakilishi wetu huwa wanatoa misaada mingi tu kwa jamii ila mimi ndio sijui.Nachukua wasaa huu kumpongeza we zombi hajui simba kama simba dangote walau nilishawahi kuona mara moja moja akiisaidia jamii kwa ujumla misaada isiyo na mlengo wa kidini.
Msaada siyo haki yako kijana wangu hivyo ukinyimwa usilalamike.
 
Acha kuishi kwa kutegemea misaada,

And kabla hatujaenda mbali, wew binafsi ulitoa nn kwa wahanga hao? Ulituma hata liten kwenye ile namba ya kuchangia maafa ?
Mkuu inafika time hata tajiri anahitaji msaada wakati nyumba yake imeshika moto kwahiyo kuna muda tunahitaji msaada yanapotokea matatizo ya dharura
 
Mkuu hatupangiani ila ukiwa nacho kikubwa ni jambo jema kuwakumbuka wenye uhitaji.
Wew ulitoa ? Acheni kulazimisha watu kutoa wakati niny wenyewe hamjatoa hata buku,

Au ndo ile hela ya mwenzako haina kazi yako ndio ina kazi?
 
Mkuu inafika time hata tajiri anahitaji msaada wakati nyumba yake imeshika moto kwahiyo kuna muda tunahitaji msaada yanapotokea matatizo ya dharura
Nakuuliza wewe ulitoa sh ngapi. ? Tupe na evidence
 
Nikikupa evidence itajurikana na namba ya muamala,haifai mkuu nachoshauri tu wachezaji wajiongeze baada ya kurudi na kwenda kupokelewa bungeni waanyoshe tu hanang wakawatie moyo watu wa kule
 
Siwasemi Bongo movie najua ni unga unga unga mwana,nawaongelea hawa wasukuma ndinga ulaya.

Siku ile imetokea majanga kule hanang dunia nzima ilifahamu kilichotokea lakini sikuona wachezaji hawa wakituma michango yao ya hali na Mali nikawaza sana mambo haya yangetokea nchini kwakwe mane dunia nzima ingefahamu alichokifanya mane, siongelei utoaji mkubwa au sababu ya kipato cha mane alichonacho ila naongelea moyo wa mane au Ronaldo kwa mapenzi yao kwa watu.

Mwisho inawezekana mimi ndio sijui kuwa hawa wawakilishi wetu huwa wanatoa misaada mingi tu kwa jamii ila mimi ndio sijui.Nachukua wasaa huu kumpongeza we zombi hajui simba kama simba dangote walau nilishawahi kuona mara moja moja akiisaidia jamii kwa ujumla misaada isiyo na mlengo wa kidini.
Sadaka zao ni siri yao, sio lazima watangaze.
 
Nachojua mane na wewe mkikalishwa pamoja bibi yangu,uwezi kumfikia mfia dini mane ambaye sadaka zake azitangazi ila zinatangazika.jamaa zako nasikia wana toa misaada inayoegemea upande mmoja ndio maana unasitiza ni siri.
 
tatizo ni kiwango cha okoto tu.

hao jamaa wanalipwa pesa sio hizi milioni 200 za kuropoka ktk interview bila ushahidi.
mtu analipwa mpaka bilioni 5 kwa mwezi,hiyo akitoa nusu yake aseme aikabidhi alipotoka ifanye kitu,mpaka sisimizi watajua kuna hela imeingia.

sisemi wakwetu hawatoi,ila.nadhani kinachowakata ni pale anapofikiria akitoa milioni 5 itasaidia nini kwa watu wenye uhitaji wa bilioni moja??anakuwa mpole.
 
Hamna cha kupangiana wala kulazimishana hapa binafsi sikutoa kwa sababu sikujua, kama inaendelea michango naomba utaratibu
Ila niseme hivi:kijana yeyote anaejitafuta na hajajipata huku Ana kazi, hela yake haoni inakwenda wapi nakushauri ujifunze kutoa hutopungukiwa Bali utaongezewa
 
Mnasubiria kusikia staa bongo
Amewajengea shule,hospital nk
Hyo sahau
Nyie subirini wao watawambia kuna show tunafanya kuna kingilio
Njooni mtoe hela

Ova
 
Back
Top Bottom