ukimya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    CCM Simiyu inakaaje kimya?

    Inazua maswali kuona viongozi wa chama wakitukanwa kwenye baadhi ya makundi ya WhatsApp yanayodaiwa kuhusisha wanachama, huku kukiwa hakuna hatua za wazi za kinidhamu zinazoonekana kuchukuliwa. Je, ukimya huo unatokana na tahadhari kuelekea uchaguzi wa ndani wa chama mwakani, au ni dalili ya...
  2. ShesRise_1

    Unaweza kutofautisha Ukimya na Jeuri?

    Unaweza kutofautisha ukimya na ujeuri? Kuna msemo unasema Silence is golden Ni kweli, lakini not every silence is wisdom Kuna watu wanaonekana ni wakimya, na kweli wanaweza kuwa wakimya kwa asili yao Ila wakati mwingine sio ukimya tu, bali nyuma ya huo ukimya kuna jeuri, kiburi au dharau...
  3. ERTUGRUL BEY

    Ukimya ni Silaha nzito

    Nguvu ya Siri: Kwa Nini Ukimya Ndio Silaha Kubwa Zaidi Kwenye Mifarakano? Fumba macho sekunde moja. Fikiria uko katikati ya mabishano makali. Joto limepanda, nyuso zimebadilika rangi, na maneno makali yanarushwa hewani kama risasi. Katika mazingira hayo, silaha yako ya kwanza kabisa inayokuja...
  4. Fbn

    Nini kimempata Lucas Mwashambwa tokea azungumzie suala la NIDA?

    Waziri katambi alipootoa agizo la NIDA Jumapili alijitokeza Lucas kulalamika sana. Tokea hapo Jumapili hakuna mada zake tena. Wana JF kapatwa na nini huyu
  5. M

    Ukimya wa viongozi, kulikoni?

    Nimejitahidi sana kutaka kuelewa sababu gani viongozi wote wa juu wamekaa kimya juu ya haya ya KIBAGUZI yanayoendelea nchini. Na kibaya zaidi ukisikiliza maneno yanayozungumzwa utagundua sii hoja ya NCHI wala MUUNGANO isipokuwa watu wake. (Wazanzibar vs Watanganyika) Aidha utasikia wakitaja...
  6. M

    Amani Iliyofichwa na Ukimya wa hofu si ya kweli

    Kulikuwa na mji ambao wananchi wake walianza kudai haki zao. Walitaka huduma bora, usawa, na sauti yao isikike. Lakini badala ya kusikilizwa, wanasiasa walipanda majukwaani na kusema: “Msilete fujo… amani ni bora kuliko yote.” “Wanaodai haki si watu wa maendeleo… ni wavurugaji.” “Hawa...
  7. Tlaatlaah

    Unadhani ni kwanini ukimya wa Freeman Aikaeli Mbowe, unaipa kiwewe Chadema masalia kisiasa kwa sasa?

    Freeman Aikaeli Mbowe, aliwahi kua mwenyekiti wa chadema taifa kwa kipindi kirefu kiasi, lakini tangu uongozi mpya wa chama hicho ulivyoshika hatamu, Chadema masalia nayo imekosa utulivu wa kisiasa, lakini pia Chadema masalia haina agenda, sera wala hoja ya kueleweka. Chadema masalia imekua...
  8. Zack Abdul

    Miaka 57 Rais Samia avunja ukimya wa Urusi na Tanzania

    Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Rais wa Kwanza wa Tanzania alifanya Ziara ya kwanza Nchini Urusi Oktoba 1969, kipindi hicho Urusi ikijulikana kama (Shirikisho la Umoja wa Kisovieti/USSR). Kipindi dunia ikiwa imegawanyika katika kambi mbili kuu za Vita Baridi. Tanzania ilikuwa imeanza...
  9. Kevzy

    Nampongeza sana UMMY MWALIMU kwa ukimya wake mpaka kuja kuteuliwa tena

    Mimi sio Ccm Niwasalimie kwanza; chei chei Sihusiani na CCM wala siopendi lakini nimependa utulivu wa yule mama na utulivu wake baada ya kutenguliwa Ukizingatia na skendo aliyokuwa akihusishwa nayo.. ni mbovu sana kila mtu anaijua Lakini pamoja na hayo yote alionesha heshima na utulivu...
  10. G

    KERO Ukimya wa Idara ya Uhamiaji dhidi ya maumivu makali ya Wananchi Wanaosubiri Pasipoti

    Karibu miezi mitatu sasa imepita tangu niwasilishe maombi ya pasipoti, lakini hadi leo (Machi 2026) sijapatiwa huduma hiyo kutoka Idara ya Uhamiaji Tanzania. Kila ninapofuatilia naambiwa kuwa ‘mfumo unaboreshwa.’ Swali ni: Maboresho haya yana mwisho lini, na kwa nini hakuna taarifa rasmi, ya...
  11. Titicomb

    Ujasiri: Maliyamungu wa Uganda, Ukimya wa watu wema huruhusu upumbavu kukua

    Nimekutana na bandiko moja la hadithi ya Idd Amin na ujasiri wa Maliyamungu(Maliyamungu) nikamkumbuka shujaa Humphrey Polepole na ushujaa wa kanisa Katoliki. Andiko limeandikwa kwa kiingereza nikatafsiri kwa kiswahili kwa msaada wa Chatgp. Soma hapo chini :- Wanasema hofu huwafanya hata...
  12. Kijukuu cha Tanzania

    PostGE2025 Ukimya wa Vyombo vya Habari Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, nini chanzo?

    Wakati risasi zilipolia mtaani wananchi walikimbia kuokoa maisha yao na maandamano yakikabiliwa na nguvu ya Dola, vyombo vya habari nchini Tanzania vilikaa kimya. Kwa wananchi kama Ismail Issa, mkazi wa Dar es salaam huu haukuwa uzembe wa kawaida wa vyombo vya habari, bali ni usalitiwa wazi wa...
  13. R

    PostGE2025 Ukimya wa Feminists (wafeminia) juu ya ukatili wa Samia unafikirisha sana

    NB: Hapa Maria Sarungi na Mange Kimambi hawahusiki wao ni Wanaharakai Kwa miaka mingi tumekuwa tukipigiwa kelele nyingi za Feminism, wakitaka usawa katika fursa za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Mbaya zaidi huko mitandandaoni tulikuwa hatupumui tena walikuwa hadi na majukwaa na mikutano ya...
  14. VERIFY

    Je kuna tukio lilishawahi kukupa depression

    Habar wana JF natumaini wote wazima poleni pia na majukumu yanayo wakeep busy . Nilisha wahi kupewa nisimamie mradi wa misitu ya serikali mwaka fulani, lakin kwa bahati mbaya zilidaka moto kwenye heka 150, zilipona heka 40 ambazo ndo zilikua kwenye matazamio ya uzalishaji , na ndo ilikua kama...
  15. K

    Amani bila haki ni sawa na kusitisha vurugu kwa muda tu

    Pindi ambapo migogoro inakomeshwa juu juu bila kushughulikia chanzo chake kama dhuluma, ukandamizaji, utekaji, mauaji, ubaguzi, umasikini au kunyimwa haki, hali ya utulivu inayopatikana huwa ya muda mfupi tu. Watu wanaweza kunyamazishwa au kuchoka kupigana, lakini maumivu, hasira na kutoridhika...
  16. M

    PostGE2025 Balozi Nchimbi vunja ukimya, Taifa linaelekea pabaya

    Balozi Emmanuel John Nchimbi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakuandikia ujumbe huu nikikuomba kwa heshima na unyenyekevu mkubwa uvunje ukimya ulisaidie taifa. Nchi yetu inaelekea kubaya kumeibuka wimbi kubwa la matamko yanayolenga kuwagombanisha wakristo na Serikali...
  17. DR HAYA LAND

    Ukimya huu unaashiria kukubaliana kutokukubaliana, nafikiri hivyo

    KUNA UKIMYA UNAITWA KUKUBALI KUTOKUKUBALIANA Waswahili husema kubali yaishe, JAMBO hili linaweza likawa na AFYA kwa SIASA za Africa? SIJUI. Ukimya uliolazimishwa ni kama hewa chafu — inaua taratibu. Lakini sauti huru, hata kama ni dhaifu, hubeba nguvu ya kubadilisha dunia.
  18. Nyani Ngabu

    Ukimya ni usaliti

    Labda ni mimi tu. Labda mimi ndo tatizo. Labda nina uwezo mdogo wa kuelewa mambo. Labda ni hivi au labda ni vile. Labda nategemea mambo flani flani toka kwa watu ambao sipaswi kutegemea chochote au lolote toka kwao. Kuna ukimya wa ajabu sana kutoka kwa baadhi ya watu na taasisi ambazo mtu...
  19. A

    DOKEZO Ukimya magari yenye alama zinazoendana na JWTZ, je raia wengine waige au ni maalum kwa Makonda tu?

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Paul Makonda amekuwa katika yadhifa za uongozi kwa muda mrefu sasa, kwa nafasi ambazo ameshika, anafahamu kwamba kuna mambo yanayohitaji mipaka. Kabla sijaendelea niweke wazi kuwa ni vizuri kwa kiongozi kuwa Mbunifu, lakini si vyema kuvuka mipaka kwa...
  20. Victor Mlaki

    Kufugwa kwa akili ya binadamu; Kelele ya ukimya Duniani kama Jehanamu.

    Hakika tunapita katika kipindi ambacho janga kubwa la kibinadamu siyo vita wala majanga ya asili ila ni janga lisilotajwa mara kwa mara ambalo nimelipa kichwa kufugwa kwa akili ya Binadamu. Hili ni janga kubwa kuwahi kufikia hatua lilipofikia. Mifumo mikubwa ya kidunia na kijamii (Dini, Elimu...
Back
Top Bottom