mastaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. bahati93

    Madogo wa mastaa bongo wenye talent kubwa

    Tabia za haya madogo kuiga fan za mabrother au masistet wao sio nzuri hata kidogo. Kwani ni lazima kila mtu awe star, wengine wabaki mashabiki tu. Sasa mbaya zaidi unakuta lidogo linamwuigiliza kakaye/dadaye mpaka linamfunikaa. Hii hali inaumiza sana na hawa hapa ndio madogo wanaowakimbiza...
  2. BARD AI

    Mastaa 10 ambao hawajahi kushinda Tuzo ya GRAMMY licha ya ukubwa wao

    Licha ya kuteuliwa kuwania Tuzo ya GRAMMY mara 10, Nicki Minaj hajawahi kupata tuzo hiyo, Snoop Dogg ameteuliwa mara 20, Katy Perry (13), Jennifer Lopez (2), Busta Rhymes (12) na Miley Cyrus (2). Wengine ambao tayari wameshafariki ni pamoja na Tupac, aliwahi kuteuliwa mara 6 na hakushinda, Bob...
  3. BARD AI

    Mastaa Wanaowania Tuzo Za Afrimma 2022

    Best Male West Africa Oxlade – Nigeria Kidi – Ghana Buju – Nigeria Black Sheriff– Ghana Fireboy– Nigeria Didi B – Ivory Coast Ruger – Nigeria Samba Peuzzi – Senegal Omah Lay – Nigeria Best Female West Africa Ammarae– Ghana Tems – Nigeria Josey – Ivory Coast Zeynab – Benin Ayra Star – Nigeria...
  4. Lord Denning

    Haijapata kutokea: Ndani ya Miezi 2 mastaa ya mpira duniani wanafurika Tanzania. Hongera Samia wewe ndo Deng Xiaoping wangu

    Ni kama ndoto ila ndo yanatokea kweli! Ndani ya miezi miwili mastaa wa mpira duniani wanaotambulika na kufahamika duniani kote wanamiminika Tanzania kwa fujo sana! Mastaa hawa wanapiga picha kwenye mbuga zetu za Serengeti na Ngorongoro na maeneo ya Zanzibar na wanazipost kwenye pages zao...
  5. Poker

    Irene Uwoya afanya sherehe ya milioni 100 ya kipaimara cha mwanaye

    Staa mwenye cash bila dili za matangazo jana alimfanyia mtoto wake wa pekee sherehe ya kipaimara iliyomgharimu zaidi ya million 100! Kwa kweli ilikuwa ni sherehe ya kifalme.
  6. Suley2019

    Siri za mikataba ya mastaa Yanga

    UONGOZI wa klabu ya Yanga umefichua sababu za kuwasajili wachezaji kwa mikataba mifupi ni kutokana na mifumo ya soka hapa nchini ilivyo. Klabu nyingi za Tanzania zimekuwa na utaratibu wa kuwapa wachezaji wake mikataba mifupi ikiwemo miezi sita, mwaka mmoja hadi miwili na Yanga wameweka wazi...
  7. Mchochezi

    Nicholaus Gyan atua DTB ya ligi daraja la kwanza

    Klabu ya DTB inayoshirki ligi daraja la kwanza imemsajili mchezaji Nicholaus Gyan ambaye amewahi kukipiga Simba Sc. Gyan anaenda kuungana na akina Tambwe na Juma Abdul ambao nao wamesajiliwa katika timu hiyo! Hivi nani yupo nyuma ya DTB? Kwa uwekezaji huu, DTB ataweza kupandisha timu ligi kuu?
  8. sinza pazuri

    Tuweke list ya mastaa waliotengenezwa na Diamond Platnumz mpaka sasa

    Katika vitu tutaendelea kumshukuru Chibu ni kutuletea mastaa wapya kwenye entertainment industry. Kunaaliowatengeneza direct kutumia mikono yake na kuna waliopata umaarufu kwa kutumia jina lake either kumtukana au kumsifia. Awa ndio mastaa waliotengenezwa na Diamond Platnumz mfalme wa music...
  9. Darucha

    Thread maalum kwa wapenzi wa movie za zamani za Kihindi pamoja na mastaa wake

    Daah aisee movie za kihindi zamani zilijua kutukamata kulikuwa hakuna watafsiri lakini tulizielewa balaa. Miaka ya 80's huko wazazi wetu na wenyewe walikuwa na mastaa ambao waliwakubali Kama Dharmendra, Amitha Bachan, Shratugansina, Mithun chaklaboth, jitendra, huku maqueen wao wakiwa Kama...
  10. Gepard

    Viongozi na Mastaa wa Bongo ambao ni mashabiki wa Simba na Yanga

    Kama uzi unavyojieleza. Huwezi zungumzia soka la Africa kwa sasa bila kuzitaja club za Simba na Yanga. Kama unamjua kiongozi au celebrity yeyote shabiki wa Simba au Yanga mposti hapa. Itapendeza zaidi akiwa ndani ya uzi wa club husika. Pia, Kama wewe ni shabiki wa Yanga weka like 👍 yako kama...
  11. warumi

    Mastaa wasusia Party ya Gigy Money

    Huyu nae Kila Siku hajifunzi tu, kila siku mastaa wenzie wanamkimbia kwenye shughuli zake , ye kutwa kushoboka na za wenzie. Hizo pesa za kufanyia sherehe bora ungeenda kula na watoto yatima ukapata thawabu mbele za Mungu , unawaalika watu wanakunywa pombe za bure na kula bure halafu wanakusema...
  12. Mtuflani Official

    Wanawake 5 mastaa wenye mvuto zaidi Tanzania

    5. Malkia Karen 4. Mimi Mars 3. Faraja Nyalandu 2. Jackline Mengi 1. Nancy Sumari
Back
Top Bottom