mtoto wa kiume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nelson Kileo

    JamiiForums Tanzania HATARI ! sasa mtoto wa Kiume analindwa kwenye malezi kulliko mtoto wa Kike

    Katika dunia ya sasa, watoto wa kiume nao wanahitaji uangalizi na malezi ya karibu kama watoto wa kike. Changamoto za maisha, makundi mabaya, na ushawishi wa mitandao vinaweza kuwaathiri kirahisi. Malezi bora, maadili, na muda wa wazazi kwa watoto wao ni muhimu kwa kila mtoto bila kujali jinsia...
  2. Stability

    JamiiForums Tanzania Ni heri upate mtoto wa kiume shoga au mtoto wa kike kahaba/kicheche?

  3. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekanaje mtoto wa kiume miaka 33 upo Kwa wazazi unakula ugali wa shikamoo

    Hapa mtaani Kuna jamaa ni likubwa miaka 33 ila lipo nyumbani kwao linakula ugali wa shikamoo ubaya babayake analalaimika mtaani jamaa hataki kazi yeye kazi yake ni kubeti tu hivi huyu jamaa anaakaili timamu maana hata mtoto na mke Hana yeye kazi ni kushinda kijiweni na kurudi nyumbani kula hivi...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Changamoto za kutokuwa na mtoto wa kiume kwenye familia

    Na declare interest. Mi ni Baba wa watoto 4 wote wa kike. Mtoto Mkubwa yupo Form 3 na mdogo yupo Class four. Kwanza nashukuru Mungu kwa kunipa mabinti 4. Kimsingi baada ya wawili wa kwanza kuwa wa kike, nikiongea hao wengine niliamini nitapata kidume nyumbani kwangu. Hawana changamoto yoyote...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Usiku wa manane nilipopita karibu na chumba cha mtoto wa miaka 12 niliona mwanga wa simu, Nahofia kashaharibika kuwa mraibu wa game au?

    Ni mtoto wa ndugu yangu kamaliza darasa la saba kaja huku kwangu. Hana simu lakini huwa anaazima ya house girl, ni smartphone. Siku ya jana nilitoka kidogo chumbani mida ya saa nane kupiga survey ya kiusalama, nilipopita karibu na chumba chake niliona mwanga, mlango ulikuwa haujarudishiwa...
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume unatakiwa kuoa akiwa na miaka mingapi?

    Mtoto wa kiume anatakiwa kuoa akiwa na miaka mingapi?
  7. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kiume ,chukua hii

    Hivi wewe mtoto wa kiume straight unakuaje Inspired wa mafanikio kutoka kwa Mwanamke au Shoga. Yani unakuta mwanaume kabisa anasema anatamani kuwa pesa na magari kama Jenifa yule muuza nguo Sinza .. mimi sikuelewi Au unatamani kuwa kama yule lile lichoko li Uncle T.. of course wana mafanikio...
  8. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna asilimia kubwa mtoto wa kiume kuwa chapati pale anapokosa father figure ktk malezi na bahati mbaya mpira wa singomaza unarushwa kwa wadada pekee

    Sawa, wadada wamekuwa kisirani sana ila vidume nao wamekuwa wakaidi sana. Sawa, wadada wamekuwa mayai sanaa ila vidume nao wamekuwa wadhaifu kupindukia. Mtoto anaishia kujifunza solution za maswala ya upande mmoja wa kike, mara nyingine ataenda kuishi na dada ya mama yake alie singomaza pia na...
  9. Loading failed

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni majina mawili pacha ya kikristo la mtoto wa kiume na kike lianze na herufi "J" Liishie na "N"

    Habari ndugu zangu Wakuu naombeni majina ya kikristo mawili ya mapacha, mtoto wa kiume na kike lianze na herufi "J" na mwisho liishie na herufi sound " N" "Likianza na "Jo" lika sound mwisho "N" itakua unyama zaidi maana mbegu na mayai tumeunga j & n mwanzoni ningependa na watoto wa anze na...
  10. Loading failed

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, hili jina linafaa kwa mtoto wa kiume ?

    Ndugu zangu . Je, ni sahihi kumuita mtoto wa kiume "JOHAN" naombeni pia faida na hasara zake katika jamii?
  11. Setfree

    JamiiForums Tanzania Nilimuombea Mama huyu apate mtoto wa kiume - amepata!

    Wakuu, sikilizeni habari hii ya ajabu! Ni habari ya mama mmoja ambaye kila alipopata ujauzito, alizaa mtoto wa kike. Mara ya kwanza, mara ya pili, mara ya tatu - wote wa kike. Alifurahi kuwapata hao, na aliwalea kwa upendo. Hata hivyo moyoni alitamani apate na wa kiume. Kwa imani, nilianza...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Kuchelewesha kutahiri mtoto wa kiume ili asiwe na maumbile madogo ni ujinga, ukubwa wa uume unafuata asili ya baba mzazi

    Kuna imani potofu kuwa kutahiri mtoto akiwa mdogo husababisha uume kuwa mdogo ukubwani, au kwamba ukichelewesha, uume utakua zaidi, hii si kweli. Nchi kama Marekani yenye watu wa asili nyingi na kutahiri wavulana wakiwa wachanga ni mfano mzuri sana. Wamarekani weusi wengi licha ya kutahiriwa...
  13. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Askari magereza mbaroni kwa kumlawiti mtoto wa kiume miaka 13

    Naweza kusema hii ni aibu kubwa sana kwa ofisa wa jeshi la magereza kushikiliwa na jeshi la Polisi akituhumiwa kumlawiti mtoto mdogo mwenye umri wa miaka 13. Taarifa fupi ya jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro iliyotolewa na kaimu RPC,kamishna msaidizi wa jeshi la polisi(ACP),Abel mtagwa...
  14. Fateema

    JamiiForums Tanzania Tuongee kuhusu madhara ya kumchoma mtoto wa kiume ganzi kwenye uume wakati wa kumtahiri

    Nimetazama kwa watoto wangu nimeogopa. Hiyo ganzi mtoto anachomwa kwenye uume. Je haiwezi mletea madhara kwa uume wake kweli? Mpaka muda huu uume bado umevimba kwa hiyo ganzi na mbele ya uume pale kuna kama utando fulani hivi. Ndivyo inavyo kuwa ama? Mlio tahiri watoto wenu hebu tujulisheni...
  15. Manyema Sultanate

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wamanyema katika desturi na mila zetu mtoto wa kiume huchaguliwa mke na Baba yake na mahari ya kijana anapaswa kulipa Baba

    Na pia mahari hutolewa na Baba nasio kijana muoaji. Hivyo Baba huwa na jukumu la kumtafutia mke kijana wake na pia huwa anajukumu la kumlipia mahari. Hii ndio mila yetu sisi Wamanyema. Ni marufuku kijana kutafuta mke na kumposa. Ni lazima mke wa kwanza atafutwe na Baba na Mahari alipe Baba.
  16. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Jina zuri la mtoto wa kiume

    Wife kajifungua salama kabisa, with no any complications OK. Jina gani Zuri la mtoto wa kiume , la kikristu , Lianze na alphabet A
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho Mtoto wa kiume miaka9 akivuta pumzi ndani au kupumua sehemu ya mgogo yote anahisi maumivu

    Habari wakuu nimerudi kwenu kijana wangu siku ya Eid pili aliniambia anahisi akiwa anapumua au kuvuta pumzi kwa ndani anaskia maumivu sehemu yoote ya mgongo,nkamuuliza Hali imekuanza lini akasema Leo Leo ambayo ndo ilikua siku ya Eid pili Nikamuhoji kuhusu shule kama alianguka akasema...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kiume miaka 9 akivuta pumzi ndani anasema mgongoni kunauma itakua shida ni nini?

    Habari wakuu Nina kijana wa miaka9 anadai akivuta pumzi kwa ndani anaskia maumivu sehemu yote ya mgongoni,tatizo litakua ni nin msaada kwa wazoefu
  19. D

    JamiiForums Tanzania Ewe mzazi, kabla ya kumpa mtoto jina, fikiria kitaa, ujana wake na shuleni ataishije nalo. Mtoto wa kiume anaitwa "Cesi"....

    Ewe mzazi ukiwa unatafuta jina la kumpa mtoto wako punde baada ya kujifungua, kifiria kwanza hilo jina akifika muda wa balehe (ujana) ataweza kuishi nalo mbele ya vijana wenzake?? Watoto wengi sana wanafanyiwa bullying kupitia majina yao na wanaishia kuyakataa au kutenda uhalifu. Juzi hapa...
  20. Jay El

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Uume wa mtoto ukidondokewa na kitovu chake huacha kusimama

    Je ni imani za kweli kuwa kitovu cha mtoto mchanga kikiangukia uume huyo mtoto atakua hasimamishi? Wajuvi wa mambo tunaomba mtusaidie.
Back
Top Bottom