Madogo wa mastaa bongo wenye talent kubwa

bahati93

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
1,141
2,017
Tabia za haya madogo kuiga fan za mabrother au masistet wao sio nzuri hata kidogo. Kwani ni lazima kila mtu awe star, wengine wabaki mashabiki tu. Sasa mbaya zaidi unakuta lidogo linamwuigiliza kakaye/dadaye mpaka linamfunikaa. Hii hali inaumiza sana na hawa hapa ndio madogo wanaowakimbiza wakubwa wao.

1: ABDUKIBA VS ALIKIBA
Hili lidogo limekuwa mwiba mchungu sana kwa dikteta wa Bongo flavour, king kiba. Kiba amekuwa akitaka abaki yeye tu kwenye chart hataki kabisa kupisha vijana wengine waje washike nafasi. Sasa kiboko yake ni huyu dogo lake mara ya kwanza dogo alionyesha umwamba kwenye ngoma ya "Rhumba" ambako moko genius anakwambia dogo alipiga one take, kiba ilibidi akimbie ile ngoma ndio maana hamsikii. Lakini mbio za sakafuni huishia ukingoni sasa dogo kaja kumstafisha kabisa brother kwenye goma lao la LA LA LA. huyu dogo hatari sana ile verse yake ile ichapishwe kwenye majalada yote ya madaftari ya shule za msingi. Kwanza dogo ana ubunifu mkubwa mno, mimi mwenyewe nilimshuhudia kavaa sketi jukwaani mwanza, kiba amwachie tu dogo.
images (1) (31).jpeg

2: MIMI MARS VS VANNESA
hawa mabinti wa balozi wa matawi ya juu sijui why wanahangaika na bongo fleva. Kama ilivyo ada kwa midogo hii baada ya vannesa kuhuste sana na kutoboa kwenye ustaa bongo nalo lidogo lake linataka kufanya kama dada yake. Ila mimi kwa vanesaa anapotezwa vibaya mmno. Vannesa anaimba sana mpaka ikapelekea mims kuamua kumshida dada yake kwenye uzuri na urembo. So mimi mars kwa kupendeza tu kumzidi vee anaweza sana, yaani mpaka vee akakimbia lebo aliyoanzisha maana kila wakikaa pamoja watu wanafikiri vee ni bodygurd wa mars. Hii hali ilimchanganya sana vee mpaka akaamua kuacha mziki kwa pamoja kabisa. Lakini kabda hajaacha mziki akaachia bonge la ngoma akimchamba dogo lake akisema " Bounce". Na hili lidogo vee katumia uchawi wa wanigeria kuloga uzuri wake, sasa limeanza kujikandika matattoo ... Inasikitisha mnno mambo ambayo ndugu wanafanyiana hili lidogo limechora mgongo mzima. Maombi ya haraka sana yanahitajika kabda kajafika usoni.
images (2) (1).jpeg

3: NIKKI WA PILI VS JOH MAKINI
In short hili lidogo halijawahi kumzidi uandishi Mwamba ata siku moja. Nilipatwa na kinyaa masikioni baada ya Muba wa salama kwenye kipindi cha mkasi kumuhoji joh kwamba eti nikki anamwandikia mistari... I meeen WTF muba kubabako kokote uliko. Hili dogo linamzidi cheo tu brother joh. Lina talent fulani hiv ya uchawa kumzidi mwamba kwa sababu mwamba hana hizo pigo hata kidogo. Mwamba nyimbo yake ya k wanza - umaskini alimtoa nduki inspector Haroun.
images (1) (27).jpeg

4: BLACK RHYNO VS PROFESA JAY
hili dogo la profesa ni beast kwa vina. Lidogo lilikuwa linaumiza sana mistari kama lingekuwa sio broiler prof angestaafu mziki mapema sana. Ila ndo ivo tu lidogo lilikuwa halikazi.
images (1) (29).jpeg

Midogo ya bongo banaa.
 
Yaan mimi mars anamzidi Vanessa kwa uimbaji? Wee hauko serious, mimi mars talent yake kuigiza na ndo anafanya vizuri.

Kwa Abdu kiba hapo mmmh sidhani km ana mfikia Ally, useme dogo ndo anabebwa na broh ake.

Kwa Nick sawa anamzidi broh ake Joh,
"Kanifuata" ft Jux
"Baba swalehe"
"Sweet mangi"
Hizi ni

Huyu mwingne ndo kwani najua leo, km ni dogo wa prof Jay, aaaaah
 
Wee hujasoma kabisa mim anamzid usuri tuu kwenye kuimba hawez kabisa
 
Mziki Ni kitu Cha ajabu Sana..mtu anaweza kuandika upuuzi na mambo yasiyoeleweka lakini wimbo ukawa mkubwa Sana..Kama unabisha sikiloza Nini mnataka mazee ya pig black..utacheka anchokiimba.. lakini Ni bonge la ngoma
 
Tabia za haya madogo kuiga fan za mabrother au masistet wao sio nzuri hata kidogo. Kwani ni lazima kila mtu awe star, wengine wabaki mashabiki tu. Sasa mbaya zaidi unakuta lidogo linamwuigiliza kakaye/dadaye mpaka linamfunikaa. Hii hali inaumiza sana na hawa hapa ndio madogo wanaowakimbiza wakubwa wao.

1: ABDUKIBA VS ALIKIBA
Hili lidogo limekuwa mwiba mchungu sana kwa dikteta wa Bongo flavour, king kiba. Kiba amekuwa akitaka abaki yeye tu kwenye chart hataki kabisa kupisha vijana wengine waje washike nafasi. Sasa kiboko yake ni huyu dogo lake mara ya kwanza dogo alionyesha umwamba kwenye ngoma ya "Rhumba" ambako moko genius anakwambia dogo alipiga one take, kiba ilibidi akimbie ile ngoma ndio maana hamsikii. Lakini mbio za sakafuni huishia ukingoni sasa dogo kaja kumstafisha kabisa brother kwenye goma lao la LA LA LA. huyu dogo hatari sana ile verse yake ile ichapishwe kwenye majalada yote ya madaftari ya shule za msingi. Kwanza dogo ana ubunifu mkubwa mno, mimi mwenyewe nilimshuhudia kavaa sketi jukwaani mwanza, kiba amwachie tu dogo.
View attachment 2572746

2: MIMI MARS VS VANNESA
hawa mabinti wa balozi wa matawi ya juu sijui why wanahangaika na bongo fleva. Kama ilivyo ada kwa midogo hii baada ya vannesa kuhuste sana na kutoboa kwenye ustaa bongo nalo lidogo lake linataka kufanya kama dada yake. Ila mimi kwa vanesaa anapotezwa vibaya mmno. Vannesa anaimba sana mpaka ikapelekea mims kuamua kumshida dada yake kwenye uzuri na urembo. So mimi mars kwa kupendeza tu kumzidi vee anaweza sana, yaani mpaka vee akakimbia lebo aliyoanzisha maana kila wakikaa pamoja watu wanafikiri vee ni bodygurd wa mars. Hii hali ilimchanganya sana vee mpaka akaamua kuacha mziki kwa pamoja kabisa. Lakini kabda hajaacha mziki akaachia bonge la ngoma akimchamba dogo lake akisema " Bounce". Na hili lidogo vee katumia uchawi wa wanigeria kuloga uzuri wake, sasa limeanza kujikandika matattoo ... Inasikitisha mnno mambo ambayo ndugu wanafanyiana hili lidogo limechora mgongo mzima. Maombi ya haraka sana yanahitajika kabda kajafika usoni.
View attachment 2572745

3: NIKKI WA PILI VS JOH MAKINI
In short hili lidogo halijawahi kumzidi uandishi Mwamba ata siku moja. Nilipatwa na kinyaa masikioni baada ya Muba wa salama kwenye kipindi cha mkasi kumuhoji joh kwamba eti nikki anamwandikia mistari... I meeen WTF muba kubabako kokote uliko. Hili dogo linamzidi cheo tu brother joh. Lina talent fulani hiv ya uchawa kumzidi mwamba kwa sababu mwamba hana hizo pigo hata kidogo. Mwamba nyimbo yake ya k wanza - umaskini alimtoa nduki inspector Haroun.
View attachment 2572747
4: BLACK RHYNO VS PROFESA JAY
hili dogo la profesa ni beast kwa vina. Lidogo lilikuwa linaumiza sana mistari kama lingekuwa sio broiler prof angestaafu mziki mapema sana. Ila ndo ivo tu lidogo lilikuwa halikazi.
View attachment 2572748
Midogo ya bongo banaa.
Hao madogo wote uliowataja hawana hit song hata moja, kama ipo/zipo ziweke hapa
 
Nikki wa pili na black OVER
 
Naona umeamua kutujuza list ya wasanii ambao ni ndugu wa damu tu.

Zaidi ya hilo agenda yako ina upeo mdogo sana wa uelewa wa Muziki wa Bongo fleva.

Yaani Profesa Jay mwenye nyimbo kali zenye madini ya hadhi azidiwe na Black Rhino asiye na Hit song zaidi ya mbili? Seriously??
 
Au alivyosema vee baba yao barozi, angesema alikuwa barozi, kashafariki, mpaka vee aliacha chuo Kenya, sijui kwa Nini wanaimba watoto wa barozi, Kuna pesa kwao Sasa wao watafute wapeleke kwao, Ila mama yao nasikia siku hizi ni mchungaji .
 
Back
Top Bottom