ubinadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mama Amon

    'Dignitas Infinita': Misingi kumi ya ubinadamu kutoka kwenye mapokeo ya Kikristo iliyotajwa na Papa Francis inawafaa Watanzania kwa kiasi gani?

    I. Usuli Ujumbe mkuu wa waraka wa Vatican uitwao "Dignitas Infinita" unaweza kuwasilishwa kwa asilimia kubwa na nukuu zifuatazo: “[Human dignity] underlies the primacy of the human person and the protection of human rights…” (Dignitas Infinita, para 1). "[It is] fully recognizable even by...
  2. Victor Mlaki

    Usiubadili ubinadamu wako Kwa kusudi la kuwafurahisha watu: Utashukuru baadae

    Naandika katika hali ya masikitiko makubwa kutokana na uzoefu wa madhila ya kimaisha niliyoyapitia na ninayowaona wengi tukipita katika njia ileile ya majuto kwa lengo kuu la kuhakikisha hatuupotezi muda mfupi tuliojaliwa na Mungu kufanya mambo yasiyo na faida yoyote kwetu. Ni sahihi sana kuwa...
  3. Intelligent businessman

    Ubinadamu unapo ingia kwenye maslahi ya wakubwa, na kupelekea tafrani

    85 Years Ago to date, Sunday, 10 October 1938 Soviet Union, Moscow Siku hii anazaliwa mtoto mwenye akili nyingi sana Jijini Moscow Urusi, Hawa ndio wale watoto ambao huzaliwa mara moja Baada ya miongo kadhaa. Kwa kuwa alikuwa ni mtoto mwenye akili nyingi, alifanikiwa kusoma kwenye shuke za...
  4. Nehemia Kilave

    Tofauti kubwa kati ya Hayati Magufuli na Rais Samia ni uvumilivu na kiwango cha ubinadamu. Tuipende Nchi yetu

    Habari Jf , Tanzania inajengwa na itajengwa na watu wanao ipenda ingawa wengine wanaijenge kwa maslahi yao binafsi lakini maendeleo kama haya huja na maumivu makubwa kwa wengine. Rais Samia na hayati Magufuli wote ni watu wenye upendo wa kweli na Nchi hii ukiachana na siasa na propaganda...
  5. S

    Mastaa wa Bongo wanaisaidiaje jamii? Ubinadamu wa Mane na Ronaldo wanaoufanya sijawahi sikia huku kwa mastaa wetu

    Siwasemi Bongo movie najua ni unga unga unga mwana,nawaongelea hawa wasukuma ndinga ulaya. Siku ile imetokea majanga kule hanang dunia nzima ilifahamu kilichotokea lakini sikuona wachezaji hawa wakituma michango yao ya hali na Mali nikawaza sana mambo haya yangetokea nchini kwakwe mane dunia...
  6. Wadiz

    Viongozi wengi wa Serikali za Kiafrika wanaabudu ni wafuasi wa shetani ndio maana hawana utu na ubinadamu

    Ujumbe wangu ni huo fanyeni utafiti, wachawi na wafuasi wa mashetani hawana utu na ubinadamu na mioyo yao haina huruma. Mbele ya mchawi binadamu yeyote ni chakula chao. Wenye macho ya rohoni na utambuzi mtaongezea mengine. Ni hayo tu
  7. KENGE 01

    Je, Japan ndiyo nchi inayoongoza kwa kuthamini Utu na Ubinadamu?

    Anaandika KENGE, Katika ulimwengu wa sasa upendo umeingia doa,Upendo hakuna tena,Visa vya ukatili haviishi.Dharau,Majungu na najigambo kuanzia kwa mtu mmoja kwa mwingine(Individually) mpaka mataifa kwa mataifa(internationally).Mataifa yamekosa utu na kuviziana,kupigana na kuuana imekuwa kama...
  8. Stephano Mgendanyi

    Waajiri watakiwa kuwa na Ubinadamu kwa Wazazi Wanaojifungua Watoto Njiti

    Waajiri watakiwa kuongozwa na ubinadamu wa Mamlaka waliyopewa kwa kuwaongezea likizo Wazazi wa watoto Njiti ili kuepuka athari zinazoweza kujitokeza kwa mtoto ikiwemo kifo kwa kukosa uangalizi wa karibu wa mama yake. Wito huo umetolewa na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya...
  9. FRANCIS DA DON

    Je, alichofanya mke wa Emmanuel Eboue miaka ile ilikuwa ni ubinadamu?

    Star wa zamani wa Arsenal, Bwana Emmanuel Eboue ilibaki kidogo tu ajinyonge baada ya mahakama kumpokonya mali na pesa zake zote na kumpa mkewe baada ya kuachana. Mchezaji huyo wa zamani wa Aresenal alikuwa analipwa mabilioni kwa mwezi, ila baada ya mkewe wa kizungu kupata mchepuko ambaye ni...
  10. Victor Mlaki

    Uwezo wa kuhoji kila kitu ni sifa muhimu ya ukuzaji wa ubinadamu na chachu ya maendeleo katika njia tofauti

    Binadamu ameumbwa kwa upekee unaomfanya kila mmoja kujuona kwa namna yake. Hitaji kubwa la mwanadamu ni uhuru dhidi ya kila kitu. Taasisi nyingi zilizopo leo kwa upekee wake zina mazingira ya kupora uhuru na kujenga mazingira ya hofu kwa mwanadamu ili aweze kutawalika. Baadhi ya maandiko ya...
  11. JanguKamaJangu

    Kenya: Askari Polisi washtakiwa kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu

    Maafisa 12 wa polisi Nchini Kenya wanakabiliwa na mashtaka ya uhalifu dhidi ya ubinadamu kwa madai ya kuhusika katika makosa yaliyofanywa wakati wa uchaguzi wa mwaka 2017, ikiwa ni pamoja na mauaji ya mtoto wa miezi sita. Mwendesha Mashtaka Mkuu anasema uchunguzi unaonyesha kuwa maafisa wa...
  12. S

    Utabiri: Sabaya atafutiwa kesi zake zote, na kisha Mama atasifiwa kwa kuwa msikivu na mpango wa Mama kuonekana ana ubinadamu utakuwa umetimia

    Kama wewe ni mfuatiliaji wa siasa za Bongoland na jinsi watawala wa awamu iliyopo wanavyofanya mambo yao, basi utagundua kile kilio cha kina Mama kinaweza kuwa ni tukio la kupangwa ili baadae jambo hilo lifanyiwe kazi na kisha zianze sauti za kusifu na kupongeza pale kijana atapoachiwa huru...
  13. Y

    Ijumaa Kuu: Mateso ya Bwana Yesu yalikuwa makali sana na kilikuwa kifo cha aibu"Alijivua hali ya uungu akavaa hali ya ubinadamu"

    Wapendwa habarini leo ni ijumaa kuu ni kumbukizi ya kifo cha bwana yesu inasemekana yapata miaka 2000 iliyopita "baada ya wazazi wetu Adam na Eva kutenda dhambi pale bustani ya edeni MUNGU alichukia kwa hiyo dhambi na aliwafukuza pale bustanini na ndipo...
  14. Sheffer95

    Hivi tofauti kati ya utu na ubinadamu ni ipi?

    Mfano mwenzio anaweza kwambia hebu kuwa na utu au kuwa na ubinadamu. Hivi huwa wanamaanisha nini?
  15. L

    Mgogoro iliozusha Marekani si kati yake na China, bali ni kati ya ubinadamu na umwamba

    Hivi karibuni, maandamano ya kupinga serikali yalitokea nchini Cuba. Wakati jamii ya kimataifa ilipotia wasiwasi na kuwa tayari kutoa msaada, Marekani nayo ilitumia maandamano hayo kama ni fursa. Rais Joe Biden alisema, “Marekani iko pamoja na watu wa Cuba”, na kutangaza vikwazo vipya dhidi ya...
Back
Top Bottom