movie

Movie Movie is a 1978 American double bill directed by Stanley Donen. It consists of two films, Dynamite Hands, a boxing ring morality play, and Baxter's Beauties of 1933, a musical comedy, both starring the husband-and-wife team of George C. Scott and Trish Van Devere. A fake trailer for a flying-ace movie set in World War I entitled Zero Hour (also starring Scott) is shown between the double feature.
Barry Bostwick, Red Buttons, Art Carney and Eli Wallach also appear in both segments, with Harry Hamlin, Barbara Harris and Ann Reinking featured in one each. The script was written by Larry Gelbart and Sheldon Keller.

View More On Wikipedia.org
  1. loose Nut

    JamiiForums Tanzania Odyssey movie inayosubiriwa kwa hamu mwaka huu

    Movie kali Odyssey ambayo producer Christopher Nolan ndiyo movie inayosubiriwa kwa hamu mwaka huu largely and anticipated. Stering wa movie hiyo Matt Damon anaigiza kama Odyssey kama false wa ugiriki kutoka ithaka kwenye simulizi za zamani za kigiriki. Baada ya vita vya Trojan Odysseus anarudi...
  2. bless on

    JamiiForums Tanzania Mieleka ya WWE ni michezo ya kweli au ni movie live?

    Unakumbuka zama za utotoni tukibishana kuhusu John Cena au The Undertaker? Wengi tuliamini wanauana kweli. Lakini leo tuweke mihemko pembeni na tuseme ukweli mchungu: WWE sio mchezo wa mapigano halisi, ni tamthilia (movie) inayochezwa live jukwaani! Hapa kuna ukweli wa mchongo huu: 1. Kila...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Is life a movie or a dream? Which one make sense?

    Kuna theory inasema " Life is a movie about a character in which the actor is not the character. The actor is invisible so you are here on earth to act in the life of an invisible character " Mfano wake ni kama vile movie kuhusu maisha ya Malcolm X... Mtu ana act maisha ya Malcolm X kwenye...
  4. funaku

    JamiiForums Tanzania Trend ya Wabongo kuiga maisha ya Movie za 70s na 80s na kufanya ndio maisha yao bora kwa sasa

    Nacheka na inashangaza kuona namna wabongo wengi kwa sasa badala ya kuiga maisha na megacy za machifu au wazee wa mila wao wanaiga maisha ya miaka ya 70s au 80s ya walami. Karibuni kwa mjadala
  5. Inside10

    JamiiForums Tanzania Kabla Movie Haijatafrisiriwa,/Hajapata Uraia Pacha...!!

  6. BARDIZBAH

    JamiiForums Tanzania ONSTREAM imeliwa kichwa naombeni site nyingine kali ya kudownload movie offline

    Wazee ni wiki ya pili sasa Onstream imegoma kabisaaa. Toeni msaada wa sites nyingine kali nzuri za kudownload movie.
  7. 100 others

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Ghafla ya Vyombo vya Habari na Uhuru wa Kisiasa Tanzania

    Kuna hivi vyombo vya habari vya machawa navyo siku hizi wanazungumza siasa, wasafi tv, clouds media na vyombo vingine vya habari zikiwemo youtube channel za machawa, nao siku hizi wanachambua siasa na matukio ya MO29. Ila naona serikali inaendelea kutumia hivi vyombo na lengo kuu lao si kwa...
  8. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu ni kama movie na wanawake kwangu ni kama ruby

    Sijui ni zimwi. Sijui ni uraibu. Nalala na kuwaza wadada wenye makebo makubwa, napenda kuchakata jagina zao, napenda kuchezea genta zao, kutokea kwenye mapaja, nafurahia kuona tila tila zao. Nimeshafanya style zote, wanawakae wa aina zote, lakini bado sitosheki, Imekuwa kama adventure...
  9. youngkato

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujifunza sales and closing skills angalia hizi movie

    Ukitaka kujifunza sales and closing skills angalia hizi movie 1. The Wolf of Wall Street “Jinsi ya Kumfanya Mteja Aseme NDIYO Haraka” 2. Glengarry Glen Ross “Ukishindwa Kufunga Deal, Umefeli Maisha” “Hakuna Huruma Kwenye Sales” 3. Boiler Room “Jinsi ya Kuuza Bila Aibu (Na Kufunga Deals)” 4...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa AI, hivi dunia iko salama kweli, mbona kama nahisi yatatokea ya Teminator movie na kutumaliza....NAOGOPA!!!!

    Mimi ni software enginerr mkongwe, mwenye uzoefu zaidi ya miaka kumi, na nilikua sijaanza kuchangamkia coding via AI, nilikua napiga codes zangu mwenyewe nikitarajia siku nitapata fursa nitajifunza kutumia AI. Sasa ikatokea mteja anahitaji nimtengezee mfumo wa hotel management, na kanipa siku...
  11. E

    JamiiForums Tanzania ANDROID BOX TV STREAMING DEVICE (MOVIE & SPORT) NK....

    kuna yoyote anatumiia aina hii ya android box (TV BOX MXQ PRO 4K 5G) na amesha wai kuweka app ya onstream ? Na bila kupata shida yoyote kwenye kuplay movies au series kwenye app iyo maana me hapa napata shida moja nikitaka kuplay movies inafunnguka kabisa na unaona ila kuna background ya...
  12. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Ku download movie kwenye Telegram

    Napenda ku download movies kwenye Telegram Naomba muongozo kwa anayefahamu tafadhali
  13. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Movie za action na Animation zimepungua vibe

    Mimi kama mpenzi wa movie huwa sichagui genre. Naangalia zote kuanzia Action, Romance, Horror, Thriller, Drama za aina zote hadi za High School. Huwa naangalia movie za USA (Hollywood) na za Kikorea. 99% ya movie ninazoangalia ni kutoka hizi nchi mbili Licha ya kuwa genre zote naangalia, lakini...
  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea kama movie vile kwa mkapa kha haya mashindano yangu macho

    Hii mipira sio ya kuendekeza sana unaweza shangaa Pressure shinikizo la damu gafla limekuzamia kumwilii Naangalia yanayoendelea huko taifa kwa mkapa Sina hamu
  15. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania The Long Walk movie safi.

    Nilienjoy hii movie. Icheki. Sema zile shaba zilikuwa zinatrigger PTSD.
  16. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Matt Damon (Bourne), Jason Statham (Bishop), Tom Cruise (Hunt), Vin Diesel -Mark Sinclair(Torett): Nani mkali unamkubali zaidi kwenye action movie ?

    Wapenzi wa kuangalia action movies na Blockbuster movies karibuni tuweke maoni yetu. Tuambie nani unamkubali sana uingizaji wake au uhusika wake kwenye movie zilizo fanya vizuri sana. Hapo chini naweka jina lake halisi, la kuigizia na jina la movie husika. Matt Damon (Jason Bourne) :- Jason...
  17. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Katika umri huu najitahidi sana angalau kila wiki niangalie movie moja mpya! Katika soko la china hii movie ndo the best kwangu

    Epiphyllum Dream: hii movie ina story line bora sana katika movie zote za china nlizowahi kuziona, Sjajua mtunzi na director ni nani ila walifanya kazi moja kubwa sana hapa, japo ni ya mda kidogo
  18. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Movie ya Maisha ya Michael Jackson inakuja April 2026. Mpwa wa MJ ataigiza!

    Movie ya Michael inakuja 2026. Teaser ishatoka. Lions Gate wanasimamia show. Kama haitoshi, Jaafar Jackson ataigiza kama Michael himself.
  19. H

    JamiiForums Tanzania Movie: Affinity

    Ni movie inahusiana na jamaa ambaye ni mstaafu wa jeshi anajikuta anamsaidia bidada mrembo ambaye alikuwa kwenye Hali mmbaya ambaye hamfahamu. Bidada huyo hana kumbukumbu kwa kile kilichomtokea jamaa anaamua kuishi nae na kujikuta anahisia za kumpenda dada huyo mzuri but kuendelea kuwa nae...
Back
Top Bottom