Tuweke list ya mastaa waliotengenezwa na Diamond Platnumz mpaka sasa

sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
2,522
7,370
Katika vitu tutaendelea kumshukuru Chibu ni kutuletea mastaa wapya kwenye entertainment industry. Kunaaliowatengeneza direct kutumia mikono yake na kuna waliopata umaarufu kwa kutumia jina lake either kumtukana au kumsifia.

Awa ndio mastaa waliotengenezwa na Diamond Platnumz mfalme wa music Africa.

Rayvanny
Zuchu
Harmonize
Lavalava
Hamisa Mobetto
Tanasha
Baba Levo
Juma Lokole
Mwijaku
Zari the Bosslady
Aliyah
Jonijoo
Carymastory
Esma Platnumz
Mzee Abdul
Uncle Shamte
George Ambangile
Lukamba
Kifesi
Director kenny
Laizer
Moze iyobo
Romy Jones
................

Nitaendelea
 
Kwani katika hao kuna ambaye alikuwa hajulikani na yoyote? Ila walipopata boost ya Bin Laden mtoto wa Tandale ndio Tanzania ikawajua.
Baba levo alikua msanii mkubwa tu, ila kwenye ulimwengu wa insta alivojitua ndo kawa maarufu na huko pia.
 
Kaanza kufatilia vitu juzi huyu,

Baba levo, jonijo watoe hapo sema wamepewa boost tu.

Baba levo Kama umeanza kumskia sasa hv basi we ni kizazi cha tiktok
Baba Levo tuliokuwa tunacheza nae kamali sinza na baba levo chawa wa Diamond. Ni watu wawili tofauti kabisa, wa sasa hivi ni staa anaweza ingia sehemu yoyote na wakamjua.
 
Katika vitu tutaendelea kumshukuru Chibu ni kutuletea mastaa wapya kwenye entertainment industry. Kunaaliowatengeneza direct kutumia mikono yake na kuna waliopata umaarufu kwa kutumia jina lake either kumtukana au kumsifia.

Awa ndio mastaa waliotengenezwa na Diamond Platnumz mfalme wa music Africa.

Rayvanny
Zuchu
Harmonize
Lavalava
Hamisa Mobetto
Tanasha
Baba Levo
Juma Lokole
Mwijaku
Zari the Bosslady
Aliyah
Jonijoo
Carymastory
Esma Platnumz
Mzee Abdul
Uncle Shamte
George Ambangile
................

Nitaendelea
Baba levo alikua msanii mkubwa tu, ila kwenye ulimwengu wa insta alivojitua ndo kawa maarufu na huko pia.
Hajui Kama baba levo alianza kufahamika kabla ya mond
 
Baba Levo tuliokuwa tunacheza nae kamali sinza na baba levo chawa wa Diamond. Ni watu wawili tofauti kabisa, wa sasa hivi ni staa anaweza ingia sehemu yoyote na wakamjua.
Wewe umemjua baba levo sinza wenzio tunamjua kuanzia Yuko primary
 
Katika vitu tutaendelea kumshukuru Chibu ni kutuletea mastaa wapya kwenye entertainment industry. Kunaaliowatengeneza direct kutumia mikono yake na kuna waliopata umaarufu kwa kutumia jina lake either kumtukana au kumsifia.

Awa ndio mastaa waliotengenezwa na Diamond Platnumz mfalme wa music Africa.

Rayvanny
Zuchu
Harmonize
Lavalava
Hamisa Mobetto
Tanasha
Baba Levo
Juma Lokole
Mwijaku
Zari the Bosslady
Aliyah
Jonijoo
Carymastory
Esma Platnumz
Mzee Abdul
Uncle Shamte
George Ambangile
................

Nitaendelea
Elikael Mbowe
Peter Msechu
Haji Manara
Metacha mnata
 
Back
Top Bottom