Thread maalum kwa wapenzi wa movie za zamani za Kihindi pamoja na mastaa wake

Darucha

Senior Member
Dec 28, 2020
111
206
Daah aisee movie za kihindi zamani zilijua kutukamata kulikuwa hakuna watafsiri lakini tulizielewa balaa.

Miaka ya 80's huko wazazi wetu na wenyewe walikuwa na mastaa ambao waliwakubali Kama Dharmendra, Amitha Bachan, Shratugansina, Mithun chaklaboth, jitendra, huku maqueen wao wakiwa Kama harouna Iran, farida jalali, hema Malin na wengine wengi huku moja ya maadui ambao walikuwa hatari enzi hizo alikuwa ni marehemu amjad Khan akaja kupokelewa na marehemu mwenzie amrish Puri ambaye aliitendea haki nafasi hiyo.

Movie zilizotikisa miaka hiyo ya wazee Hawa ni Kama sholay,andha kanoon, disco dance, loha na nyingine nyingi. Baada ya kizazi hicho kikaja kizazi Cha mahandsome boys na beautiful Queens ambacho kiliteka Sana miaka ya tisini mpaka elfu mbili's ambacho kiliongozwa na sharukhan, Sunil Shetty, Akshay Kumar, Salman Khan, Sunjay dutt, Sunil deol,adithya panchol, amir Khan, Ajay devgan, govinda, seif Ali Khan, anil Kapoor, Sunjay kapoor, jack Shroff, Bobby deol, Arman Kohl huku maqueen zao wakiwa Sonar bendre, Kajol devgan, juwi chawla,Priti zinta, Madhuri dixit, tabasamu(tabu), Karishma Kapoor, Shilpa Shetty, ravina tandon, Rani mukerjee, Manisha kohilala, kajor ragawal,Divya Bart(marehemu),mamtha kuruthan, na wengine wengi.

Huku baadhi ya movie ambazo zilishika enzi hizo no Kama Karan Arjun, sapoot,mohra, ziid,champion, raja Hindustan, dilwale, januar,kuch kuch hotae, boarder, ghatak, kodh, duplicate, diljare, na nyingine nyingine huku maadui wakicheza Kama amrish poor pia,chikara, na wengine wengine. Karibuni jamani tuwachambue mastaa wetu pamoja na movie zao
 
By the way hakuna movie nayoipenda sana Kama ile kuch kuch hota hai.
images-1.jpeg
 
Daah aisee movie za kihindi zamani zilijua kutukamata kulikuwa hakuna watafsiri lakini tulizielewa balaa.miaka ya 80's huko wazazi wetu na wenyewe walikuwa na mastaa ambao waliwakubali Kama Dharmendra,amitha bachan,shratugansina,Mithun chaklaboth,jitendra, huku maqueen wao wakiwa Kama harouna Iran,farida jalali,hema Malin na wengine wengi huku moja ya maadui ambao walikuwa hatari enzi hizo alikuwa ni marehemu amjad Khan akaja kupokelewa na marehemu mwenzie amrish Puri ambaye aliitendea haki nafasi hiyo.movie zilizotikisa miaka hiyo ya wazee Hawa ni Kama sholay,andha kanoon,disco dance,loha na nyingine nyingi.Baada ya kizazi hicho kikaja kizazi Cha mahandsome boys na beautiful Queens ambacho kiliteka Sana miaka ya tisini mpaka elfu mbili's ambacho kiliongozwa na sharukhan,Sunil Shetty,Akshay Kumar,Salman Khan,Sunjay dutt,Sunil deol,adithya panchol,amir Khan,Ajay devgan,govinda,seif Ali Khan,anil Kapoor,Sunjay kapoor,jack Shroff,Bobby deol,Arman Kohl huku maqueen zao wakiwa Sonar bendre,Kajol devgan,juwi chawla,Priti zinta,Madhuri dixit,tabasamu(tabu),Karishma Kapoor,Shilpa Shetty,ravina tandon,Rani mukerjee,Manisha kohilala,kajor ragawal,Divya Bart(marehemu),mamtha kuruthan, na wengine wengi.huku baadhi ya movie ambazo zilishika enzi hizo no Kama Karan Arjun,sapoot,mohra,ziid,champion,raja Hindustan,dilwale,januar,kuch kuch hotae,boarder,ghatak,kodh,duplicate,diljare,na nyingine nyingine huku maadui wakicheza Kama amrish poor pia,chikara, na wengine wengine.karibuni jamani tuwachambue mastaa wetu pamoja na
By the way hakuna movie nayoipenda sana Kama ile kuch kuch hota ha

januar,kuch kuch hotae

Hizi nilizielewa sana enzi hizo
Yaaah mkuu ilikuwa movie Kali sana
 
Yaaah mkuu ilikuwa movie Kali sa
januar,kuch kuch hotae

Hizi nilizielewa sana enzi hizo
January hatari hiyo mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom