katiba mpya

  1. R

    Wananchi: Maridhiano ni Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote

    Salaam ,shalom!! Ni Kweli homa ya Uchaguzi imepanda, wengine wameanza kuacha kuongoza vyama na kukimbilia kuanza maandalizi ya kugombea ubunge nk nk. Wananchi hatufurahii urafiki kati ya chama tawala na vyama vya upinzani, maslah ya Wananchi yapo katika kutofautiana Kwa HOJA kuongeza Kasi ya...
  2. Erythrocyte

    Mnyika kutoa somo la Katiba Mpya kupitia clouds Media

    Taarifa yake hii hapa . Ikumbukwe kwamba Clouds media ndio kile chombo cha habari kilichovamiwa kwa silaha za kivita na yule jamaa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM , jina lake limenitoka kidogo , mnaweza kunikumbusha .
  3. E

    Dira ya maendeleo 2050 na Katiba Mpya

    Ni hivi karibuni serikali imezindua mchakato wa kuandika Dira ya maendeleo ya mwaka 2025 - 2050 (au pendine zaidi, kadiri itakavyopendekezwa). Jambo hili ni jema kwa sababu, kama Taifa, mipango ya maendeleo ya muda mrefu ni muhimu ili kujenga uelewa wa pamoja wa nini tunahitaji na wapi...
  4. K

    Mbona suala la katiba mpya linakuwa kizungumkuti?

    Asilimia kubwa ya Wananchi wa Tanzania wanataka Katiba Mpya. kabla ya uchaguzi mkuu 2025. Mimi sijaelewa kuna tatizo gani kuhusu Katiba Mpya. Suala la elimu kwanza kwangu siyo kupaumbel changu sisi wananchi tunataka Katiba Mpya iwe Jua au mvua tunataka Katiba Mpya. Woga wa nini kuhusu...
  5. J

    Makonda: Suala la Pauline Gekul, CCM ina taratibu na kanuni zake kuanzia Ngazi ya Tawi, hivyo kama likifika Taifani tutalitolea taarifa

    Mwenezi wa CCM Komredi Makonda amesema kuhusiana na swala la mbunge wa Babati mh Gekul, CCM ni Chama kikubwa na kina taratibu makini Kuna Vikao Vya nidhamu na Maadili kuanzia Tawini na kuendelea hivyo kama kuna lolote litathibitika Vikao husika vitachukua hatua stahiki na kama litafika Ngazi...
  6. Ngongo

    Makonda ni ingizo jipya la kutuondoa kwenye hoja ya Bandari na Katiba mpya

    Uteuzi wa Paul Makonda au ukipenda Bashite ni mkakati wa kutuondoa kwenye hoja za msingi kama Katiba Mpya na Bsndari. Tangu ateuliwe amekuwa mtu wa kuropoka ropoka mkakati ukiwa kutuondoa kujadili masuala ya maana na kuanza kujadili upuuzi wake. Inavyoelekea baadhi ya Watanganyika wasiopenda...
  7. B

    Lissu: Hakuna Katiba Mpya, hakuna uchaguzi

    HIzi ndiyo zile kauli tunazozitaka kuzisikia toka kwa viongozi wetu katika mapambano: HIzi ndizo zile kauli wanazozielewa vyema CCM na vibaraka zao. HIzi ndiyo zile kauli za watu, yaani kauli za wananchi. Kauli ya wengi ni kauli Mungu. Aluta continua!
  8. JanguKamaJangu

    Zitto Kabwe: ACT sio chama cha kupiga kelele na kubwabwaja-bwabwaja, tutashiriki uchaguzi hata kama hakuna Katiba mpya

    Akijibu maswali katika mahojiano na Edwin Odemba katika Kipindi cha Medani za Siasa ikiwemo suala la kuwa makali yake kisiasa yamekwisha na madai kuwa yeye na Chama chake ni kama CCM B, Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe anasema: “(Kuhusu suala la usaliti) Waulize wao, hizo ni propaganda za...
  9. Elius W Ndabila

    Kazi nzuri za Rais Samia zituachie Katiba Mpya

    KAZI NZURI YA RAIS DKT SAMIA INAHITAJI KATIBA MPYA. Na Elius Ndabila 0768239284 Kumekuwa na mjadala wa Katiba mpya ambao umekuwa ukiibuka na kufifia. Mjadala umekuwa unaibuka na kufifia kwa kuwa una sura mbili. Sura ya kwanza wanahitaji katiba mpya na sura ya pili hawahitaji katiba mpya...
  10. K

    Sababu za ukwamishaji wa katiba mpya wivu wa kikwete kwa Samia upo!

    Nimekuwa nafakari sana ni kwanini Raisi Samia anasita sana kwenye maswala ya katiba na kwa mtanzamo wangu haya ni mambo ambayo yanasitisha mchakato huu 1. Kikwete na wapambe wake wanaogopa mafanikio ya katiba mpya yataonyesha Samia ni bora kuliko Kikwete kitu ambacho anajali sana Kikiwete na...
  11. peno hasegawa

    Mawazo binafsi: Kwanini Tanzania tusiahirishe Uchaguzi Mkuu wa 2025 hadi mwaka 2026 ili kupata Katiba mpya?

    Serikali imepanga kutoa elimu ya katiba. Inaonyesha hadi mwaka 2025 katiba Mpya itakuwa haijapatikana kwa sababu elimu itakuwa inaendelea kutolewa. Sasa, kwanini Uchaguzi Mkuu usiahirishwe Ili ufanyike mwaka 2026 tukiwa na katiba Mpya?
  12. Miss Zomboko

    Mali yaahirisha Uchaguzi Mkuu wa Mwakani ili kupata Katiba Mpya kwanza

    Utawala wa kijeshi nchini Mali umetangaza hii leo kuwa utaahirisha uchaguzi wa rais uliopangwa kufanyika Februari mwakani. Uchaguzi huo ulilenga kuwarejesha madarakani viongozi wa kiraia katika taifa hilo la Afrika Magharibi linalokumbwa na uasi wa makundi ya kigaidi. Msemaji wa serikali ya...
  13. M

    Viongozi wa dini himizeni wananchi tupatiwe Katiba Mpya

    Ni wakati sahihi kwa viongozi wetu wa dini zote kukutana na kujadili juu ya kuitaka serikali isiwe mbabe kwenye suala zima la kutupatia wananchi katiba mpya. Inashangaza sana kuona serikali ya awamu ya 6 nayo inaingia kwenye mchezo wa kuchelewesha upatikanaji wa katiba mpya kama zilivyofanya...
  14. Venus Star

    Mjadala wa kuandika katiba mpya Tanzania katika Jukwaa la Katiba ya Watu, uliojadiliwa na wadau 553

    Mapitio ya Awali: Katiba ni waraka muhimu katika kusimamia utawala na kuelekeza maendeleo ya nchi. Tanzania, kama nchi nyingine, imekutana na mjadala wa kuandika katiba mpya, na hoja mbalimbali zimejitokeza kutoka kwa wadau wa mchakato huo. Taarifa hii inatoa tathmini ya kitaalam juu ya mjadala...
  15. Erythrocyte

    Mbozi: CCM yaagwa rasmi, Sugu awasha moto wa Katiba Mpya

    Taarifa ikufikie popote ulipo , kwamba Maisha ya ccm huko Mbozi yamefika kikomo , hii ni baada ya Wananchi wote kukubaliana kwamba uwezo wa chama hicho kuleta maendeleo umekwisha. Akihutubia Maelfu ya Wananchi katika kitongoji cha Shule , Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Bilionea Joseph...
  16. Maan

    Kuelekea siku 30 za kuishinikiza Serikali kuachana na mkataba wa DPW na kudai katiba Mpya, tunaomba assurance kutoka kwa mawakili

    Kiukweli binafsi naamini ndiyo siku ambayo itakuwa ya kihistoria katika Taifa langu la Tanganyika. Naamini pia mabadiliko makubwa yatatokea. Sasa Kuna inshu lazima kuwaonea hofu wananchi ambao watajitolea kupambania haki zetu kutoka kwa mafisadi wa nchi hii. Kama tunavyoelewa asilimia kubwa ya...
  17. S

    Nilitegemea uhitaji wa katiba mpya uwe kipaumbele cha kila mwana-CCM ili madhila ya Awamu ya Tano yasijirudie

    Watu mlio karibu na rais Samia msijisahau sana na wala msione mmepata na hivyo kuamua kupuuza uundwaji wa katiba mpya. Tunataka katiba itakayompunguzia rais mamlaka na itakayoweka mipaka ya uongozi wake. Lkn cha muhimu zaidi rais awajibishwe pale atakapobainika kakosea. Katiba hii ni mbovu...
  18. M

    Mzee Cheyo: Inaonekana Serikali haina nia ya dhati kwenye suala la Katiba Mpya

    Akiongea kwenye kikao cha wadau wa masuala ya siasa nchini. Amesema kuwa hoja za serikali za kutaka watanzania wapewe elimu kwanza ndo tuanze kujadili habari za katiba ni chenga ya kutotaka wananchi wapate katiba mpya 1. Kahoji ni elimu gani ya katiba inayohitajika ambayo haikutolewa na Jaji...
  19. K

    Mama miaka mitatu kutoa elimu tuu ya kuandika katiba mpya!!!

    Tulianza mchakato wa kuandika katiba mpya mwaka ule wa 2011 tukaenda mpaka 2014, fedha kibao zikatumika kugharamia wajumbe wa katiba mpya, , leo tupewe tena miaka mitatu kupata elimu kisa tuu kuna kizazi hapa katikati kimekuja mnataka kusema kuwa kila kizazi kipya kikizalisha Tanzania tutakuwa...
  20. kavulata

    Katiba mpya tunaitaka, lakini sio kuliko maji, chakula na afya

    NI kweli Katiba hii ya mwaka 1977 ni nzuri sana kwa kiongozi na chama kilichoko madarakani. Hata CCM ikianguka leo chini ya katiba hii na sheria hizi za uchaguzi na jeshi la polisi haitarudi tena madarakani milele. Hata CHADEMA kama ikiingia Ikulu leo chini ya Katiba hii na sheria hizi za...
Back
Top Bottom