zitto kabwe

Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe (Zitto Kabwe)
Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe, maarufu kama Zitto Kabwe, ni mwanasiasa kutoka Tanzania kutoka chama cha ACT-Wazalendo. Zitto aliwahi kuwa mwanachama wa Chama Demokrasia na Mendeleo (CHADEMA) toka mwaka 1992 mpaka 2015 alipoachana na chama hicho.

Zitto ameshika nafasi ya Kiongozi wa Chama ACT-Wazalendo kwa miaka 9, mpaka March 2024 ambapo nafasi hiyo imechukuliwa na Dorothy Semu. Amewahi kuwa Mbunge wa Tanzania kwa vipindi viwili kuanzia 2005 mpaka 2015 akiwakilisha Jimbo la Kigoma Kaskazini.
  1. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe zama zake kisiasa ndio zimepita?

    Nilipata nafasi ya kumfahamu zitto Kabwe kwa kiasi kidogo wakati akiwa ni mwanachama wa CHADEMA. Yeye na Julius Mtatiro wakati huo akiwa CUF, walikuwa wananivutia hasa walipokuwa wanachambua mada za uchumi na maendeleo ya jamii. Mtatiro yeye alitoka kwa hoja ya kuchoka kusubiri fursa akiwa...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Zitto aangukia Pua, Mahakama yasema Baba Levo hana kesi ya kujibu

    Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Kigoma muda mfupi uliopita leo, Alhamisi tarehe 16/07/2026 Mahakama imeifuta kesi ya uchaguzi iliyokuwa imefunguliwa Mahakamani hapo na wananchi wanne (4) waliojitambulisha kuwa wapiga kura wa Jimbo la Kigoma Mjini dhidi ya Mbunge wa Jimbo la...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo: Zitto Kabwe una Masters umeshindwa na mtu mmoja mdogo tena standard seven failure

    "Jambo lingine kuonekana kweli wewe ni mtu wa ajabu wa ovyo sana tu. Ungejifikiri tu. Zitto Kabwe uliingia kwenye uchaguzi, wewe una masters, yaani una digrii mbili, umeshindwa na mtu mmoja mdogo, darasa la saba tu, tena standard seven failures. Darasa la saba Baba Levo amekutoa kamasi...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo: Zitto wewe ni nani katika nchi hii kumtaka Rais amwachie Lissu, huijui sheria?

    "Jambo la pili, kaka yangu Zitto Zuberi Kabwe, jifunzeni hata namna ya kuzungumza. Wewe ni mtu mdogo sana katika nchi hii. Huwezi ukamwambia Rais "tunataka umwachie Lissu. Wewe unamwambia Rais amwachie Lissu, wewe ni nani katika nchi? Wewe kama nani? Hili jambo la Lissu liko mahakamani. Kama...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo: Zitto anahoji kwanini sijakamatwa, wakati kazi yangu ilikuwa kupooza vurugu. Sikuunda kundi la ugaidi

    "Zitto Kabwe ameomba na kumtaka rais, na kumshangaa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba, unasema hakuna aliye juu ya sheria mbona mzee wa watu hakamatwi? Ina maana yuko juu ya sheria. Hili jambo nataka nilitolee ufafanuzi na naomba watanzania mnisikilize kwa makini. Hii kitu...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Sikuhama CHADEMA bali nilifukuzwa

    Kabla ya kuanza kuzichambua kanuni 10 za Uzalendo, Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe ameanza kwa kutukumbusha kuwa yeye hakuondoka CHADEMA kwa hiari yake, alifukuzwa. Mimi sikuhama Chadema. Mimi nilifukuzwa Chadema lakini "siwezi kuendelea kuwa bungeni... nikaondoka...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mahita kuhusu Polisi kuingiliwa na wanasiasa, Zitto atoa neno

    "IGP Mstaafu, Omary Mahita kusema wanasiasa wanaingilia jeshi. Tumekuwa tukisema siku zote kwamba sasa hivi vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, mwananchi wa kawaida hawezi kuchora mstari kusema hapa ni Chama Tawala na hapa ni Polisi na Idara ya usalama. "Yeye anaona vyote sawa. Hiyo ni hatari...
  8. Ileje

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Jaji Mutungi mnataka watu wafe mara ngapi?

    Zama za Ofisi ya Msajili wa Vyama kuwa mchezaji namba 12 wa CCM FC zimekwisha. Dola isome alama za nyakati. The writing is on the walls! Msajili STOP THIS NONSENSE ya kutaka kufuta CHADEMA. Utafutwa wewe, No doubt about this! Tume ya Chande iliyoundwa na Rais imetoa Taarifa inayosema wananchi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Zama za Ofisi ya Msajili wa Vyama kuwa mchezaji namba 12 wa CCM FC zimekwisha

    Zama za Ofisi ya Msajili wa Vyama kuwa mchezaji namba 12 wa CCM FC zimekwisha. Dola isome alama za nyakati. The writing is on the walls! Msajili STOP THIS NONSENSE ya kutaka kufuta CHADEMA. Utafutwa wewe, No doubt about this! Tume ya Chande iliyoundwa na Rais imetoa Taarifa inayosema wananchi...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nape asema Uimara wa CCM unategemea Upinzani, akiri kum-'miss' Zitto Kabwe bungeni

    Akiwa kwenye mahojiano na Podcast ya MS, Nape Nauye Mbunge wa Mtama anaelez kuwa yeye ni muumini wa CCM imara inahitaji upinzani imara na kama upinzani utakuwa dhaifu basi italeta shida kwa CCM. Nape anaeleza pia kuwa anamkumbuka sana na kutamani uwepo wa Zitto bungeni.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ameporomoka sana kisiasa. Hana ushawishi tena. Hata Kigoma walishamkataa

    Amebakiza makunyanzi tu usoni. Amekuwa hana ushawishi na hata CCM waliokua wanamtumia walishamtosa.Ndio maana ameshindwa na kilaza Kama baba Levo ambaye hajui hata Hansard ni nini Shetani hana rafiki. Ayatollah wa ujiji
  12. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Mkuu Usalama wa Taifa (DGIS), Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Wakuu wa mikoa wapo ofisini hata baada ya mauaji ya Oktoba 29, 2025

    Tukubali "ghasia" zilipangwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na kutekelezwa. Tukubali watu 518 tu ndio waliouwawa, 758 wamepotea na 448 hawajulikani walipo ( 518+758+448=1,724! Namba 8 imependwa sana na Tume). Jumla watu 1,724 HAWAPO kama matokeo ya hicho kilichopngwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na...
  13. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Seleman Bungara '' Bwege'' kwenda kwa Zitto Kabwe

    Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini Seleman Bungara 'Bwege' ameandika kwenye mitandao ya kijamii na kueleza kuwa masikitiko yake ya kutomuona Zitto Kabwe, Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT-Wazalendo. "Tunajua Tundu Lissu ni rafiki yako wa karibu sana alipopigwa risasi 16 ulisafiri kwenda Kenya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwa namna Zitto Kabwe alivyowahi kuisaliti CHADEMA na watanzania kwa ujumla hakupaswa kupewa nafasi kuongea msibani.

    Kipindi kile CHADEMA ilikuwa na nguvu kiasi cha kukaribia kuchukua dola. Dk Slaa alikubalika sana watu walitaka ukombozi. Lakini Zitto Kabwe akatumiwa kuisaliti Cdm akawa anapewa pesa kwenye magunia ili awahonge wanachama makini wa CHADEMA Warudi CCM. Hakustahili kabisa kupewa nafasi kuongea...
  15. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe akataa Kupinga USHOGA asema "Naheshimu Faragha Za Watu"

    Baada ya Chief Odemba kumbananisha Zitto Kabwe na kuambiwa hadharani aping ushoga, kulingana na maadili ya Tanzania na Nchi nyingi za Afrika, watu walitegemea atapinga ushoga kwa kauli moja tu. Badala yake alikwepa na kusema yeye anaheshimu faragha za watu. Jambo lililotafsiriwa kama...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ambwaga Harbinder Sethi Mahakamani tuhuma za kumkashfu na kumvunjia heshima mbele ya umma

    Mahakama Kuu ya Tanzania imetupilia mbali kesi ya madai ya matusi iliyokuwa ikimkabili Kiongozi wa Chama Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, iliyofunguliwa na Harbinder Singh Sethi wa kampuni ya Pan Africa Power Solutions Ltd (PAP). Pia soma > Zitto Kabwe afunguliwa kesi na Harbinder Singh...
  17. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania CCM watu wabaya sana. Pamoja na Zitto Kabwe kuwa kibaraka wao wamemnyima ubunge.

    Yaani Comedian kama Baba Levo anaingia Bungeni kwenda kufanya maamuzi makubwa kwa ajili ya taifa letu! Zitto Kabwe pamoja na kujifanya mnafiki mwenye udini na anayejali tumbo lake wamekataa kumpa hat ubunge wa mchongo! This CCM hapana
  18. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Zitto Kabwe: Tunakiri tulishindwa kulinda kura, sasa tuungane kupigania Haki

    Zitto: Kura hata kuhesabiwa hazikuhesabiwa. Zilitangazwa tu. Tulijribu kulinda kura tukashindwa. Tumekiri. Ni muhimu tuungane pamoja kupigania haki za watu.
  19. Common Folk

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Zitto Kabwe aomba ufanyike uchunguzi wa Umoja wa Mataifa kuhusu mauaji ya Tanzania katika uchaguzi mkuu 2025.

    "Tunatoa wito wa uchunguzi huru na usio na upendeleo kuhusu Mauaji ya Oktoba 2025, unaoongozwa na Umoja wa Mataifa au Umoja wa Afrika. Mwanga wa ukweli na uangaze kila kitendo cha kikatili, kila amri iliyotolewa, kila uhai uliozimwa. Ili kusafisha majeraha haya, ni lazima tuchukue haki ya...
  20. Heparin

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Zitto Kabwe tulikuonya uache uchawa hukusikia, sasa umeishia kuwekwa Selo na wafuasi wako kushtakiwa kwa makosa yasiyo na dhamana

    Taarifa kutoka Kigoma zinazai dalali wa siasa, Zitto Kabwe aliwekwa mahabusu kwa siku kadhaa baada ya uchaguzi mkuu kwa kuleta vurugu baada ya kushindwa uchaguzi. Inadaiwa aliposhindwa kulinda kura kama alivyojinasibisha kabla, Zitto alianzisha vurugu akipinga ushindi wa Baba Levo, na hatimaye...
Back
Top Bottom