Baadhi ya watu hujiuliza kwa nini nchi za kiafrika haziendelei, fikiria, Warioba alikuwa mwandani wa Mzee Nyerere, mbona hakuwahi kumshauri katiba mpya, serikali tatu mpaka Nyerere kastaafu?.
Ameona yeye ameshazeeka na kuchoka ndio kaona awavurugie wenzake? Mbona hakujiuzuru vyeo vyake ? Au...
Rasimu ya Katiba Mpya inayomuongezea madaraka Rais Kais Saied imeungwa mkono kwa asilimia 94.6% ya waliopiga kura huku, Wapinzani ambao walisusa kupiga kura wameshutumu Tume ya Uchaguzi nchini humo kwa udanganyifu na kusema hawatatambua Katiba hiyo
-
Katiba hiyo inadaiwa kumpa Rais mamlaka...
Masaa kadhaa yaliyopita Wananchi wamejitokeza mitaank kusherekea kupatikana kwa katiba mpya nchini Tunisia.
Katiba hiyo imepatikana baada ya ile ya zamani kuondolewa na Rais wa sasa Mhe. Kais Saeid hali iliyomfanya kuendesha nchi kwa amri yake kwa muda wa mwaka mmoja.
Wakosoaji wanaeleza kuwa...
Katiba bora ni ile inayotoa fursa sawa kwa vyama vya siasa na raia wake kwa ujumla na yenye kumuwajibisha kila anayeikiuka.
Hapa nchini kuna vuguvugu la kutaka kuandikwa kwa katiba mpya. Lakini katiba itakayoandikwa kwa mazingira na mwenendo tulionao sasa itakuwa siyo bora.
Itakuwa siyo bora...
Waziri Mkuu mstaafu Cleopa Msuya, leo amefika kwenye Kikosi Kazi cha Rais cha kukusanya maoni yanayohusu Katiba Mpya, ambapo mzee huyo hakumung'unya maneno, amewapasulia wazi wajumbe wa kikosi kazi hicho kwamba Katiba Mpya ni sasa hivi.
Mzee Msuya amesema kwamba ifike wakati sasa tuhitimishe...
Niliwahi kusema hapa vyama vyama vyote vya siasa vimetokana na CCM. Ni kama vile madhehebu mengine ya dini ya kikristo yalivyomeguka kutoka Katoliki. CCM ni chama kikubwa sana barani Afrika, hivyo hakuna chama hata kimoja Tanzania kinaweza kukitingisha.
CCM ni kweli wamesema kwamba wanategemea...
Katibu wa halmashauri kuu ya Nec Itikadi & Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka amesema, " Agenda ya katiba mpya sio ngeni ndani ya CCM, na wakati wote ni CCM ndio imeratibu maswala yote, "
Aidha kiongozi huyo wa juu kabisa wa Chama cha Mapinduzi CCM Tanzania amewataka Watanzania kufahamu kuwa CCM ni...
Sadok Belaid, Mtaalamu wa Katiba na Sheria na aliyekuwa Msimamizi wa Uundwaji wa Katiba mpya nchini humo amesema waraka wa mwisho wa Rasimu ya Katiba uliochapishwa na Kais Saied wiki iliyopita ni hatari
Amesema kuwa baadhi ya vifungu vinaweza kufungua njia kwa utawala wa kidikteta na rasimu ya...
CCM wanajua siasa na kimsingi ndio chama pekee cha siasa nchini.
Jiulize baada ya CCM kuzitekanyara sera za Chadema ile Vita ya mafisadi iliyoasisiwa na Dr Slaa ft Tundu Lissu pale Mwembe Yanga na hii ya Katiba mpya sasa Ufipa wamebki na nini?
Mambo ya Katiba mpya sass CCM imeyabariki na...
Wakuu jana CCM wametoa press na kusema kuna haja ya kufufua mchakato wa Katiba mpya
Katiba mpya ambayo imekuwa kilio cha muda mrefu cha wapinzani na wataka mabadiliko nchini, inatarajiwa kukuza demokrasia, kuleta uwajibikaji, ugatuaji wa madaraka na ufanisi wa kuendesha serikali
Sasa CCM ambao...
Wakati fulani mwaka 2018, aliyekuwa rais wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akizungumza katika kongamano la kujadili hali ya siasa na uchumi alisema
"SERIKALI YAKE HAINA MPANGO WA KUANZISHA UPYA MCHAKATO WA MAGEUZI YA KIKATIBA KWA SABABU KUNA MASUALA MENGINE YENYE KIPAUMBELEKWA SERIKALI"...
Hakuna mtanzania mpenda haki anayetamani kuona katiba hiihii tuliyonayo inakutwa na kutumiwa na kiongozi anaefanana hata kwa nusu tu na yule kiongozi wa awamu ya tano (RIP).
Awamu ile ni sawa na kusema kuwa nchi ilikuwa imetekwa na watu kutoka sayari nyingine. Ni katiba ambayo kila mtu...
Ndugu zangu watanzania, Salaam
Mimi nawauliza tuu wavuja jasho wa nchi hii tunaonyonywa sana na kitu inaitwa CCM!
Ikiwa kina Mdee na wafuasi wake hawatambuliki popote pale kisheria na hata kikanuni zozote zile za wao kuwepo Bungeni mpaka sasa...!
Kwa maana nyingine, kodi yangu Mimi...
Kama CCM wenyewe wamekubali kuwa sasa hivi katiba ni hitaji la kitaifa na huu ndio wakati muafaka basi sasa ndio wakati wa kuweka mambo sawa.
Tuna bunge kibogoyo linalotafuna pesa za walipa kodi na huku wananchi wakiwa na maisha magumu.
Hatusikii bunge likifanya kazi yake kama bunge ya...
Ninashangaa sana kusikia eti katiba mpya imekuwa ina umuhimu sasa hivi wakati kuna kikosi kazi kilisema mpaka mama akishinda uchaguzi wa 2025 ndio mchakato uanze.
Sio mbaya maana sasa ni hitaji la kitaifa na mchakato uanze mapema, lakini kwa nini CCM wabadili gea?
Mbona masuala ya msingi kama...
Yes, mimi kiukweli ni mmoja wa watu ambae huu muungano sijawahi kuupenda hata kidogo hasa pale ninapoona uongozi wa bara tunachangiana na wazanzibar lakini huko kwao ni wao wenyewe wanajiongoza, huwa inaniuma mno.
Ila kuna kitu nimetafakari hapa juu ya mchango wa hawa wenzetu wanaposhika...
Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekubaliana na umuhimu wa kupatikana katiba mpya kwa kuzingatia mazingira ya sasa hivyo kimeishauri Serikali kuona namna bora ya kufufua, kukwamua na kukamilisha mchakato wake kwa maslahi mapana ya Taifa na Watanzania wote.
====
1...
Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Jumatano 22 Juni 2022 Makao Makuu ya CCM katika Ukumbi wa White House Jijini Dodoma kimetoka na maazimio yafuatayo kwa masilahi ya taifa.
1...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.