Mbona suala la katiba mpya linakuwa kizungumkuti?

koryo1952

JF-Expert Member
Mar 7, 2023
386
765
Asilimia kubwa ya Wananchi wa Tanzania wanataka Katiba Mpya. kabla ya uchaguzi mkuu 2025. Mimi sijaelewa kuna tatizo gani kuhusu Katiba Mpya.

Suala la elimu kwanza kwangu siyo kupaumbel changu sisi wananchi tunataka Katiba Mpya iwe Jua au mvua tunataka Katiba Mpya.

Woga wa nini kuhusu Katiba Mpya?
 
Asilimia kubwa ya Wananchi wa Tanzania wanataka Katiba Mpya. kabla ya uchaguzi mkuu 2025. Mimi sijaelewa kuna tatizo gani kuhusu Katiba Mpya. Suala la elimu kwanza kwangu siyo kupaumbel changu sisi wananchi tunataka Katiba Mpya iwe Jua au mvua tunataka Katiba Mpya. Woga wa nini kuhusu Katiba Mpya?.
Hawalitaki sabu lina haribu na kufinya loopholes za watu wapiga madili...
 
Asilimia kubwa ya Wananchi wa Tanzania wanataka Katiba Mpya. kabla ya uchaguzi mkuu 2025. Mimi sijaelewa kuna tatizo gani kuhusu Katiba Mpya. Suala la elimu kwanza kwangu siyo kupaumbel changu sisi wananchi tunataka Katiba Mpya iwe Jua au mvua tunataka Katiba Mpya. Woga wa nini kuhusu Katiba Mpya?.
Tupitishe katiba ili ije itubane wenyew? Pia ituweke mashakani kwenye uchaguz? Ndio maana hatutaki katiba mpya tunaipiga danadana tu
 
MaCCM mabinafsi sana. Ndiyo maana nchi haitakuja endelea chini ya utawala wao. Waende tu hapo Chato wajionee ni jinsi gani mali zinayoharibika ukiondoka zako ..... Hotel ya 4 Star sasa wanaoga maji kwenye ndoo!!
 
Aisee 🤔
 
Hata mwaka wa utoaji elimu haujisha na suala la utoaji wa elimu ni miaka mi3 ebu kuwa na subira.

Au hujui katiba mpya ni msumali wa moto kwa chama cha mafisadi.
 
Asilimia kubwa ya Wananchi wa Tanzania wanataka Katiba Mpya. kabla ya uchaguzi mkuu 2025. Mimi sijaelewa kuna tatizo gani kuhusu Katiba Mpya.

Suala la elimu kwanza kwangu siyo kupaumbel changu sisi wananchi tunataka Katiba Mpya iwe Jua au mvua tunataka Katiba Mpya.

Woga wa nini kuhusu Katiba Mpya?
Umejuaje hiyo asilimia ya Watanzania kama siyo kubwabwaja tu. Jisemee wewe ikiwezekana na familia yako tu.
 
MaCCM mabinafsi sana. Ndiyo maana nchi haitakuja endelea chini ya utawala wao. Waende tu hapo Chato wajionee ni jinsi gani mali zinayoharibika ukiondoka zako ..... Hotel ya 4 Star sasa wanaoga maji kwenye ndoo!!
Siyo wote
 
Asilimia kubwa ya Wananchi wa Tanzania wanataka Katiba Mpya. kabla ya uchaguzi mkuu 2025. Mimi sijaelewa kuna tatizo gani kuhusu Katiba Mpya.

Suala la elimu kwanza kwangu siyo kupaumbel changu sisi wananchi tunataka Katiba Mpya iwe Jua au mvua tunataka Katiba Mpya.

Woga wa nini kuhusu Katiba Mpya?
"The right cannot be given as a gift by the oppressor, it must be demanded by the oppressed."
Martin Luther King Jr.
 
Asilimia kubwa ya Wananchi wa Tanzania wanataka Katiba Mpya. kabla ya uchaguzi mkuu 2025. Mimi sijaelewa kuna tatizo gani kuhusu Katiba Mpya.

Suala la elimu kwanza kwangu siyo kupaumbel changu sisi wananchi tunataka Katiba Mpya iwe Jua au mvua tunataka Katiba Mpya.

Woga wa nini kuhusu Katiba Mpya?
Katiba mpya ni muhimu kwa kipindi hiki cha sasa
 
Back
Top Bottom