Ninapoona baadhi ya wana CCM wanasitasita kuhusu marekebisho ya Katiba ama kuwepo kwa katiba mpya huwa nawashangaa sana.
Huwa nahisi kuwa kwa sasa CCM inaongozwa na watu ambao si CCM ama siyo makada wanaoifahamu vizuri historia ya nchi yetu na ya chama chao.
Mwaka 1977 CCM iliandika Katiba...
Wakuu nawaambia Jambo Moja kabisa la UHAKIKA bila mbambamba.
SAMIA na Genge lake, wajifarague vipi, waruke, wake, wasimame ,wakimbie, wapae, yaan Hizo zote ni mbwembweeena HAZIWASAIDIII KITU CHOCHOTE.
Ukweli ni kua, Mbinyo wa KIMATAIFA Uliopo kwa Samia ,ambao nayeye anaujua na Washirika...
My friends ladies and gentlemen,
Sasa ni wazi,
upekee wa kauli za makamu wa Rais wa Tanzania Dr.Emmanuel John Nchimbi katika masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa, umeendelea kua kiungo muhimu na chachu ya umoja na mshikamano miongoni mwa waTanzania wote bila kujali itikadi, mirengo ya...
Kwanza kabisa niseme mifumo wa mahakama na bunge ni mifumo iliyoparalise na haina nguvu za kusimamia mchakato wa katiba mpya.
Majukumu ya Bunge na Mahakama katika nchi yenye utawala wa sheria ni pamoja na
Bunge (Legislature)
1. Kutunga sheria – kutengeneza na kupitisha sheria zinazotawala...
haki
haki za raia
halali
katibakatibampya
kauli
kisiasa
kulinda
kusema
kutetea
makamu
makamu wa rais
mazingira
mpya
raia
rais
sana
ugaidi
viashiria
viongozi
watanzania
wote
Wengi wetu hatukumuelewa Dr. Nchimbi pale aliposema Watanzania tupambane ili kupata Katiba mpya, na hadi tukaanza kuuliza, tupambane dhidi ya nani basi, Samia? CCM? Polisi?
Kuna watu hata walianza kusema mnaona, Dr. Nchimbi kaanza tena kwenda kinyume na Samia na CCM!
Na ieleweke wazi mpambano...
Ni reforms zipi au mambo ungependa katika mpya izingatie?
✅️ Mamlaka ya Riasi yapunguzwe na Uhuru wa mihimili yote
✅️ Zuio la mwenyekiti wa chama tawala kua Raisi wa Nchi
✅️ Ardhi ya Tanzania iwe mali ya wananchi, si Raisi, kasoro mali asili
Serikali imiliki 70% ya ardhi huru na kuwapa...
Hakuna ubishi, wito wa Mh. Makamu wa Rais, Balozi, Dr. Emmanuel Nchimbi, wa kuwahimiza watanzania kupigania katiba mpya, umepata mwitikio na hamasa kubwa kutoka kwa watanzania wote.
Kwa kuzingatia maoni mbalimbali yaliyotolewa, ni wazi kuwa tupo tunaomuona Dr. Nchimbi kama kiongozi wa mfano...
Nafikiri kitendo cha Makamu wa rais Dk. Emmanuel Nchimbi kuwaambia Watanzania wapambanie katiba mpya wakati yeye ndiye aliyepo kwenye nafasi ya kuwezesha mchakato huo lakini hata hivyo hajafanya hayo ni saliti mkubwa kwa Watanzania.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana wa CCM (UVCCM), Mohamed Kawaida, amechapisha ujumbe kwenye mitandao yake ya kijamii kwa kile kinachoonekana kujibu mapigo ya kauli ya Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi kuhusu kuwataka wananchi kuipigania katiba mpya. Ameambatanisha video ya aliyekuwa Mwenyekiti wa...
Askofu Dk. Benson Bagonza wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Karagwe, akizungumza na Sauti Digital Ijumaa Julai 24, 2026 amehoji kuhusu kauli ya Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi kuhusu kuipigania KATIBA MPYA amehoji haya kuhusu KATIBA MPYA...
Pia soma Dkt. Nchimbi: Hakuna sheria...
Askofu Dr. Benson Bagonza wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Karagwe, akizungumza na Sauti Digital Ijumaa Julai 24, 2026 amehoji kuhusu kauli ya Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi kuhusu kuipigania KATIBA MPYA
Pia soma Dkt. Nchimbi: Hakuna sheria inayotengua Katiba. Watanzania...
Katika Mkutano Mkuu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) uliofanyika jijini Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ametoa kauli nzito kuhusu Katiba Mpya. Alisema ikiwa angepewa nafasi ya kutoa ujumbe mmoja wa mwisho kwa...
Leo nimeona jambo muhimu sana kutoka kwa Makamu wa Rais wetu, Dkt. Emmanuel Nchimbi, aliyezungumza mbele ya umma tarehe Julai 23, 2026. Nimeamua kuandika thread hii ili kuwafahamisha wote kuhusu ujumbe wake na pia kuwaelekeza mahali pa kupata taarifa zaidi.
Katika hotuba yake, Dkt. Nchimbi...
Kumekuwepo na graphic inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikidai kuwa Rais wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, alisema:"Usitegemee katiba mpya sasa hivi. Watanzania tunatakiwa tujikite katika kujenga nchi yetu."
Katika ufuatiliaji uliofanywa kwa kutumia...
Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi ya CCM na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC), Rajabu Maganya, amesema mchakato wa Katiba Mpya ni sehemu ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2030.
Maganya amesema mchakato huo hauwezi kukamilika ndani ya mwaka mmoja, lakini ameeleza kushangazwa...
Yuda ni yuda haijalishi kama ni yuda wa wakati uleee wa Yesu au wa wakati huu Mama ndio kila kitu.
Barabara ikijengwa ni Mama.
Matundu ya vyoo yakijengwa ni Mama.
Hospital ikijengwa ni Mama.
Hela zote ni Mama.
Sasa huyu Yuda wa Peramiho katokea wapi,anataka kuzika fahari ya Mama.
Deni la taifa...
Japokuwa kauli ya Makamu wa Rais baadhi ya watanzania hasa wanaharakati wanaiona kama ni kauli ya kishujaa na kuwahamasisha wananchi wanaodai katiba mpya kutokata tamaa
Hata hivyo ni kauli yenye mashaka na inayotakiwa kuchambuliwa kwa ubongo wa ndani
Kuna maswali kadhaa ya kujiuliza hapa;
1...
Dr. Nchimbi nimemuelewa sana katika ujumbe wake kwamba Watanzania tunapaswa tupiganie katiba mpya. Nakubaliana naye 100%. Amesema pia moja ya jambo muhimu sana ili kupata katiba mpya, ni utashi wa raisi aliepo madarakani kutaka katiba mpya. Sikubaliani naye 100%.
Katiba ni ya wananchi, na...
Kuna watu wakishaona Tanzania imeanza kujijenga kiuchumi basi nao wanaanzisha program za kula ili mradi watu wasipate ajira, MIRADI ya maendeleo isiwepo, watumishi wasiongezewe mishahara, ili wapate hoja ya kulalamikia.
Nadhani kwa mtu anayejua athari za wale panyaroad wa chadema hawezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.