X(twitter) ya Zito Kabwe imepoaa mara tu baada ya Rais Samia kuapishwa urais wa nchi yetu.
Kipindi Magufuli akiwa Rais (2016 -2021) twitter ya Zito Kabwe ilikuwa moto wa kuotea mbali ,alikosoa kila kitu cha Magufuli kuanzia tembea yake ,ongea yake, miradi, tumbua yake na hata unywele wa...