Malalamiko kila kona ya watu
1) Kutekwa
2) kubambikiwa kesi
3) kupoteza wenye mawazo tofauti,Mh Polepole n.k
4) kufuta hotuba/ maudhui yanayokera viongozi kwenye media
5) kutishia Wakosoaji/ Mawazo Kinzani
6) Wizi wa kura
7) kuua watu 29/10/25
8) Bunge lilipatikana kwa hila kuzinga
9)...
Hatuhitaji Tena Mauaji mengine kuleta KATIBA na Mabadiliko katika NCHI hii, hata hivo ikilazimu Maandamano, tútaandamana kwa kua ni HAKI.
Hamna mahali popote pale DUNIANI, Kiongozi akaua watu wake siku za Uchaguzi kwa Maelefu vile, alafu akabaki salama na akatawala na Dunia ikamchekea, Hamnaaaa...
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la leo, ambayo ni kumshukuru na kumpongeza Makamu wa Rais Balozi Dr. Nchimbi kwa maneno makubwa ya maana sana yenye faraja na matumaini makubwa kwa Watanzania kuhusu katiba mpya. Kiukwe huyu mtu, anamsaidia sana Rais Samia na atawasaidia...
asante
balozi
faraja
katibakatibampya
kuhusu
makubwa
maneno
maneno ya
matumaini
mpya
nchi
nchimbi
rais
rais samia
samia
sana
tanzania
tanzania mpya
watanzania
Hawa wafanyabiashara ya Madawa ya kulevya, Mafisadi, Wahujumu Uchumi, Wauaji na Watekaji, wanafanya kila njia kuhakikisha katiba mpya haipatikani.
Mara watasema, Katiba mpya si kwaajili ya kugawana vyeo, katiba mpya haituletea chakula nyumbani nk.
Wengine wanasema tupate Muda wa miaka mitatu...
Hamjambo!
Wote tunajua kuna ukoloni mamboleo. Zaidi tunafahamu nchi nyingi za kiafrika zilipata uhuru wa bendera.
Tunafahamu pia Katiba inayotumika ni ile ya 1977 ambayo kimsingi inatumia mfumo uleule wa Kikoloni licha ya baadhi ya amendments kadhaa kufanyika.
Kupitia madhaifu hayo. Tumeona...
Tafakuri yangu ni moja na ya msingi sana.
Kama Taifa hatuna ushahidi usio na mawaa eti matatizo au changamoto tulizonazo zinatokana na katiba kuwa ya zamani.Hakuna ushahidi wa kisayansi ulioweza kunishawishi eti katiba yetu ni mbovu.
Nilichoshuhudia na nilichosikia na nilichokifuatilia katika...
Ushauri: Rasimu ya katiba iandikwe na wataalamu ambao hawana chama. Hata kama wanatoka nje.
Maoni yakisha kusanywa wataalamu pekee ndiyo waandike sio makada wala Bunge fake la katiba. Bunge la katiba nalo ambalo sio ya kivyama ipigie kura bila mabadilisho . Tukifanya kama wakati wa Kikwete...
Aliyewahi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha, amepinga mtazamo wa kwamba kupatikana kwa Katiba Mpya ndiyo suluhu pekee ya changamoto zote zinazoikabili nchi.
Akizungumza Julai 28, 2026, katika kipindi cha One on One cha Wasafi Media, Dkt. Rioba...
Mabadiliko ya Katiba ni maboresho ya kilichopo siku zote lengo hua ni hilo na ni jambo sio la sisi Wananchi pekee pia linahusu ambao hatma ya Nchi yetu ipo mikononi mwao na ni jambo linalogharimu muda na pesa kwa hiyo
Mimi kama Mwananchi usinichochee nifatilie Katiba kama haunilipi kufatilia...
Wana-JF,
Kasi ya siasa za kimataifa hivi sasa inatupa masomo makubwa sana kuhusu nguvu ya sheria na umuhimu wa mifumo imara ya kikatiba. Hivi karibuni, tumeshuhudia Rais wa zamani wa Korea Kusini, Yoon Suk Yeol, akihukumiwa vifungo vizito vya jela—ikiwemo kifungo cha maisha kwa kosa la uasi na...
My friends, ladies and gentlemen.
Ni ukweli usiopingika kwamba mtu yeyote yule anae izungumzia katiba mpya Tanzania, anazungumzia kuhusu ilani ya uchaguzi ya CCM 2025-2030, ambayo ndio inatekelezwa na serikali sikivu ya CCM hivi sasa chini ya Dr Samia Suluhu Hassan.
Ndio ilani pekee ya chama...
Leo ndio nimesikiliza vizuri Namba 2 alipoongelea katiba mpya huku akisisitiza watu wapambane.
Kama aliyoyaongea yana ukweli, basi kuna watu wamemdhibiti Namba 1 ingawa nae anaonyesha udhaifu licha ya madaraka aliyonayo.
Kwanini nasema hivi?
Siku kadhaa zilizopita, kijana wa Mzee wa Msoga...
Abdul nondo anasema.....
Ngome ya vijana ACT wazalendo tumesikia kauli ya Makamu wa Rais Dkt.Emmanuel John Nchimbi aliyoitoa tarehe 24/Julai/2026 kuhusu hoja ya KATIBA MPYA. Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel John Nchimbi anasema serikali inataka KATIBA MPYA, Rais Samia anataka KATIBA MPYA na CCM...
C&p
Juzi, Tarehe 24/07/2026, Makamu wa rais, Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa kwenye mkutano mkuu wa 15 wa mtandao wa watetezi za haki za binadamu, ametoa hotuba iliyopokelewa kwa hisia tofauti
Hii ni kwa sababu hotuba yake imekinzana na kauli za awali zilizopata kutolewa na bosi wake, rais...
Mchakato wa kupata Katiba Mpya nchini Tanzania unashauriwa kuchukua wastani wa miaka mitatu (2026–2029) ili kutoa nafasi ya kutosha kwa maridhiano ya kisiasa na ushiriki mpana wa wananchi. Kulingana na mapendekezo ya hivi karibuni ya wadau wa demokrasia, serikali, na Tume ya Jaji Chande (2026)...
Ndugu Nchimbi kaja kuomba nguvu ya umma isaidie kupatikana kwa Katiba Mpya, hili inamaana viongozi na serikali waeshakwama,
Je ni nani anakataza isipatikane katiba Mpya? Mtu huyu ana nguvu kiasi gani? Hii ni wake up call,Katiba haitopatikana bila mnyukano mkali na mtu huyu asiyependa katiba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.