Sababu za ukwamishaji wa katiba mpya wivu wa kikwete kwa Samia upo!

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,609
8,753
Nimekuwa nafakari sana ni kwanini Raisi Samia anasita sana kwenye maswala ya katiba na kwa mtanzamo wangu haya ni mambo ambayo yanasitisha mchakato huu

1. Kikwete na wapambe wake wanaogopa mafanikio ya katiba mpya yataonyesha Samia ni bora kuliko Kikwete kitu ambacho anajali sana Kikiwete na atafanya mbinu kuhakikisha katiba haifanikiwi kwa manufaa yake binafsi na kupenda kwake kusifiwa sana.
2. Walarushwa wachache na wanafamilia wa viongozi wastaafu hawataki katiba mpya kwasababu uendeleo wa wazi na rushwa wanayonufaika nayo wanaogopa haitakuwepo tena.
3. Kuna viongozi ambao wanapenda CCM kuliko nchi na watatumia njia zote hata kama ni watanzania kuendelea kuwa masikini kuhakikisha CCM hawapotezi uongozi. Hawa ni wale wanaojua hawapedwi.
4.Raisi Samia hajui analolitaka je ni historia na stahere na kujilimbikizia vitu!

Kwa mawazo yangu katiba ikibaki hivi ilivyo baada ya miaka 10 tutakuwa na vurugu Tanzania kutokana na vijana wengi kutokuwa na ajira na serikali kushidwa kuhudumia watu. Tatizo kubwa ni mfumo mbaya wa serikali bunge na mahakama zetu. Bila kuwa na katiba mpya ambayo itaongeza uwekezaji mkubwa na vijana kuwa na kazi Raisi Samia atakuwa anapika majanga ya huko mbele bila hata ya yeye kujua. Tusije kushangaa viongozi hawa wastaafu kukimbilia Dubai miaka ijayo kama katiba mpya haitakuwepo. Lakini kibaya bila katiba Tanzania itakuwa na viongozi radical huko mbele maana tutakuwa na viongozi ambao wanajaribu kufurahisha vijana ambao matatizo yao yataongezeka.

Ukiangalia serikali zenye katiba mpya kama South Africa na Kenya utaona uwekezaji ni mkubwa sana zaidi yetu pamoja na matatizo yao. Sisi tutapata uwekezaji wa uchimbaji na gas lakini hatutaweza kupata makampuni ya technologia kuwekeza kwa sheria na katiba hii
 
Nchi ishakuwa ngumu acha wafanye wanayofanya ili zikianza kupigwa tuwafukie kwenye mitaro.
 
Upo sahihi ila ni kivipi katiba itafanya vijana wasiwe na ajira ?
 
Katiba ya nchi ya kusadikika imempa Raisi mamlaka ya kifalme kuamua chochote atakacho sasa iweje ashindwe kufanya atakalo🤔🤔 au ndio una thibitisha kwamba yeye ni Tv tuu lakini kuna king'amuzi na remote mahali fulani vinaongoza vipindi 🤔🤔
 
Nimekuwa nafakari sana ni kwanini Raisi Samia anasita sana kwenye maswala ya katiba na kwa mtanzamo wangu haya ni mambo ambayo yanasitisha mchakato huu

1. Kikwete na wapambe wake wanaogopa mafanikio ya katiba mpya yataonyesha Samia ni bora kuliko Kikwete kitu ambacho anajali sana Kikiwete na atafanya mbinu kuhakikisha katiba haifanikiwi kwa manufaa yake binafsi na kupenda kwake kusifiwa sana.
2. Walarushwa wachache na wanafamilia wa viongozi wastaafu hawataki katiba mpya kwasababu uendeleo wa wazi na rushwa wanayonufaika nayo wanaogopa haitakuwepo tena.
3. Kuna viongozi ambao wanapenda CCM kuliko nchi na watatumia njia zote hata kama ni watanzania kuendelea kuwa masikini kuhakikisha CCM hawapotezi uongozi. Hawa ni wale wanaojua hawapedwi.
4.Raisi Samia hajui analolitaka je ni historia na stahere na kujilimbikizia vitu!

Kwa mawazo yangu katiba ikibaki hivi ilivyo baada ya miaka 10 tutakuwa na vurugu Tanzania kutokana na vijana wengi kutokuwa na ajira na serikali kushidwa kuhudumia watu. Tatizo kubwa ni mfumo mbaya wa serikali bunge na mahakama zetu. Bila kuwa na katiba mpya ambayo itaongeza uwekezaji mkubwa na vijana kuwa na kazi Raisi Samia atakuwa anapika majanga ya huko mbele bila hata ya yeye kujua. Tusije kushangaa viongozi hawa wastaafu kukimbilia Dubai miaka ijayo kama katiba mpya haitakuwepo. Lakini kibaya bila katiba Tanzania itakuwa na viongozi radical huko mbele maana tutakuwa na viongozi ambao wanajaribu kufurahisha vijana ambao matatizo yao yataongezeka.

Ukiangalia serikali zenye katiba mpya kama South Africa na Kenya utaona uwekezaji ni mkubwa sana zaidi yetu pamoja na matatizo yao. Sisi tutapata uwekezaji wa uchimbaji na gas lakini hatutaweza kupata makampuni ya technologia kuwekeza kwa sheria na katiba hii

Kikwete ni mnafiki sana
 
Back
Top Bottom