Mwanasiasa James Mbatia amesema kuwa kinachozuia kupatikana kwa Katiba Mpya nchini ni kiburi na jeuri cha kundi dogo la watu waliopo madarakani, ambalo limeshindwa kufanya maamuzi kwa zaidi ya miaka 36.
Akizungumza kwenye mahojiano, Mbatia alikumbusha mazungumzo yake ya mwaka 2002 na aliyekuwa...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amesema "Akitokea mtu na nje ya humu, mwanachadema au mpenda demokrasia na haki, akasaliti mapambano ya kutafuta katiba mpya ni sawa sawa na kusaliti damu za watu waliouawa kwa sababu ya Katiba Mpya na demokrasia."
Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Kudhibiti Tumbaku Tanzania (TTCF), na Kaimu Mwenyekiti wa Bodi Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Lutgard Kokulinda Kagaruki, amesema changamoto za kiutawala na vikwazo katika ushiriki wa wananchi vilivyojitokeza wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2025...
Katika mkutano wa hadhara wa Chama cha ACT Wazalendo wa Septemba 11, 2026, uliofanyika Kata ya Dutwa, Jimbo la Bariadi mkoani Simiyu, mwananchi Fulani amesimama na kumhoji Katibu Mkuu wa chama hicho ambaye pia ni Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu, kuhusu sababu za yeye kuendelea kubaki...
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira, amesema mjadala wa Katiba Mpya haupaswi kufikia hatua ya kuunda nchi mpya, akisisitiza umuhimu wa Katiba kuendeleza historia ya Taifa. Wasira amesema hata wakati wa mchakato wa Katiba mwaka 2014, alikataa wazo la kubadilisha bendera na nembo kwa...
Mbunge wa Kibakwe, George Simbachawene, amesema Katiba ya Tanzania imeonyesha uimara mkubwa kwa kuiwezesha nchi kuvuka vipindi mbalimbali vya changamoto bila kuingia katika machafuko. Amesema licha ya kuwepo kwa mjadala na ukosoaji kuhusu baadhi ya mapungufu ya Katiba hiyo, imekuwa msingi muhimu...
Tanzania imekuwa na mjadala wa muda mrefu kuhusu umuhimu wa kuwa na Katiba mpya.
Wapo wanaoamini kuwa baadhi ya changamoto za kisiasa, uwajibikaji na mgawanyo wa madaraka zinatokana na mapungufu yaliyopo kwenye Katiba ya sasa.
Lakini wengine wana hoja kwamba hata Katiba nzuri zaidi inaweza...
Mbunge Mwita Waitara amesema suala la Katiba Mpya ni jambo muhimu kwa Tanzania, akieleza kuwa kuna mambo matatu ambayo wananchi wanayataka, likiwamo kuwepo kwa Tume Huru ya Uchaguzi ili kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa haki kwa vyama vyote bila kujali upande wa kisiasa.
Waitara amesema...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema Ajenda ya Katiba Mpya sio Ajenda ya Wapinzani bali ni ajenda ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliyoanza tangu Awamu ya Nne chini ya Uongozi wa Rais wa Awamu ya Nne, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ambapo Rais wa Awamu ya Sita, Dkt. Samia Suluhu...
Mbunge Ado Shaibu wa jimbo la Tunduru Chama cha ACT-Wazalendo amewasilisha hoja nzito akibainisha kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan hazina madhumuni ya dhati ya kuwapatia Watanzania Katiba Mpya.
Akizungumza katika Kongamano la Vijana...
Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amesema hajawahi kushuhudia Serikali inayokiuka sheria na Katiba kwa kiwango anachodai kufanyika katika Awamu ya Sita. Amesema katika kipindi chake cha miaka 20 akiwa Mbunge, ameshuhudia awamu mbalimbali za uongozi, lakini hali ya sasa ni...
Mchambuzi wa masuala ya siasa Kaiza Buberwa amebainisha kuwa nchi inaendelea kukabiliwa na changamoto za kisiasa kwa sababu watawala wamekuwa wakiahirisha matatizo badala ya kuyapatia ufumbuzi wa kudumu.
Amesisitiza kuwa Katiba ni mamlaka ya raia kuweka mwongozo wa jinsi nchi inavyopaswa...
Ni reforms zipi au mambo ungependa katika mpya izingatie?
✅️ Mamlaka ya Riasi yapunguzwe na Uhuru wa mihimili yote
✅️ Zuio la mwenyekiti wa chama tawala kua Raisi wa Nchi
✅️ Ardhi ya Tanzania iwe mali ya wananchi, si Raisi, kasoro mali asili
Serikali imiliki 70% ya ardhi huru na kuwapa...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche Juni 25, 2026 kwenye mahojiano na kituo cha Redio, cha VOS amesema kuwa chama hicho hakiko tayari kuingia kwenye maridhiano yoyote na Chama Cha Mapinduzi (CCM) bila uwepo wa mpatanishi wa kimataifa (mediator) asiyekuwa na upande, akitolea mfano wa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amewashukia wanasiasa wanaozunguka nchi nzima kufanya mikutano au kutishia maandamano kwa kigezo cha kudai Katiba Mpya, akifafanua kuwa ajenda hiyo si mali ya upinzani bali tayari imeshaahidiwa kupitia llani ya Uchaguzi ya...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeunda kamati maalum ya Katiba mpya, itakayohakikisha katiba mpya inapatikana kabla ya 2027.
Akizungumza na waandishi habari leo tarehe 17 Juni 2026, John Mnyika Katibu Mkuu wa chama hicho amesema kuwa kamati kuu imeunda Kamati hiyo yenye wajumbe...
MNYIKA unadai Bajeti ya katika mpya kwenye Serikali Ipi? nyinyi hamuitambui Serikali lakini mnataka bajeti iweke takwa lenu,kwanza mnachopaswa ni kuitambua Serikali halali ya awamu ya sita kisha mkae chini kwenye maridhiano haya mengine yote yatafanyika ama lah endeleeni na siasa zenu za...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, John Heche, amesema; Saidi Issa Mohamed ni mwanachama tu. Sisi tuna wanachama milioni nane. He is not special. Ni mwanachama wa kawaida tu.
He is not special! Hata mimi nikitoka kwenye umakamu nitakuwa mwanachama wa kawaida...
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM Taifa, Ally Salum Hapi akiwa Shinyanga Juni 4, 2026 amesema; "Chama chenye sera nzuri, ni chama cha Mapinduzi.
Wamepewa fursa ya kusema, waitumie fursa hiyo kusema. Lakini sasa saa nyingine mnashangaa, kila wakizungumza hawasemi shida za wakulima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.