Search results

  1. safuher

    Sijaona andiko la Uislamu linalokataza kula mbele ya mtu aliyefunga

    Tukiwa tuna siku kadhaa tokea mfungo uanze nimejaribu kukutana na changamoto kadhaa kwa baadhi ya watu wakikereka na watu wanaokula mbele yao huku wakiwa hawajafunga. My take Sijaona andiko linaloashiria kuonesha kwamba ni vibaya kula mbele ya mtu aliyefunga. Dhambi ipo kwa mtu ambaye...
  2. safuher

    Usifuate wala kuyaamini malengo ambayo ulijiwekea utotoni

    Wakati wa utoto wetu kila mmoja akiulizwa una malengo ya kuwa nani basi atajibu mwalimu,daktari au mtu fulani. Malengo yale ni upuuzi mtupu na wala hatutakiwi kuyazingatia kwa sababu malengo yale ni utumwa ambao tujilijapndikizia katika akili zetu. Tuliyachagua malengo yale kwa sababu ndio...
  3. safuher

    Njia sahihi za kulea watoto ili waje kuwa viongozi wema na wenye kutii sheria za nchi

    Habari yako ndugu msomaji. HUU NI UZI AMBAO NILIUANDIKA MWAKA 2021 KATIKA STORIES OF CHANGES,ILA NIMEONA NIUTUPIE HUKU Katika mambo yanayolalamikiwa na jamii yetu hasa zama hizi basi ni kuwa na viongozi ambao hawana maadili na wala hawafuati sheria mbalimbali za nchi vile zinavyotaka. Jambo...
  4. safuher

    Huzuni/furaha tunazitengeneza sisi katika haya maisha, kila unachodhani kitakupa furaha kipo neutral + SULUHISHO LAKE

    Kama kweli furaha inatokana na kitu fulani ambacho unakihitaji jee kwa nini baada ya kupata kitu hiko bado kuna vitu vingine vitakukosesha furaha na kukutia stress ? Yaani utajikuta umepata mtoto tayari,lakini kodi ya nyumba inakunyima raha ,je ni ipi faida ya furaha ya mtoto kama furaha hiyo...
  5. safuher

    Ubabaishaji wa haloteli na sms ya 75% ya kifurushi, halotel hawajui mahesabu

    Habari za jioni wakuu,natumai wazima. Nimechoshwa kabisa na hii tabia ya halotel kutuma sms ya kubakisha 75% za kifurushi wakati haujafanya jambo la maana. leo saa nne na robo asubuhi (10: 15) nilijiunga kifurushi cha wiki cha mb 440 kupitia halopesa(megabando). CHa kushangaza saa nne na...
  6. safuher

    Propaganda (uzushi) maarufu kuhusu kupunguza uzito (unene) na vyakula (diet)

    Uzito mkubwa na unene ni moja ya changamoto kubwa inayowapata watu wengi sana katika maeneo mbalimbali hapa duniani. Katika bandiko hilii tutazungumza baadhi ya mambo ambayo ni propaganda juu ya hii inshu na mambo ya vyakula,na namna unaweza kufanya ili kupungua uzito. NAWASALIMU KWA JINA LA...
  7. safuher

    Steve Nyerere arekebishe mindset kwanza ndipo aje kwenye Uislamu, asije na mindset hii aliyokuwa nayo

    habari za siku nyingi ndugu msomaji,natumai ni mzima na Mungu aendelee kutubariki. Hivi karibuni msanii wa movie Steve nyerere alionekana akilalamika juu ya yale yanayofanywa na waumini fulani wa Ukristo kwamba ni sio sawa na ni kukashifu dini. Aidha bwana huyu alikuwa akitolea mifano na...
  8. safuher

    Nikipata pesa sijengi msikiti/kanisa kwanza kwa sababu hizi

    Mtu akikamata vijisenti utaona anajenga msikiti/kanisa kuuuubwaaa kwao. Jiji la dar lina nyumba za ibada (kanisa/msikiti)karibia kila kona na watu hawajai, ila jiji la dar hospitali zinajaa sana, foleni za maji zinajaa sana, shule zinajaa sana. Mtu anajenga nyumba ya ibada kijijini kisha...
  9. safuher

    Siamini kama utajiri unapatikana kwa njia ngumu zenye mateso

    Tokea zamani nimekuwa siamini msemo unaosema kwamba utajiri unahitaji uvumilivu,subira,kupitia magumu nakadhaalika. ninachoamini ni kwamba utajiri sio mgumu kupatikana ni rahisi lakini huwenda njia zake hizo watu hawazijui(zina siri) Tukumbuke kuwa kitu kuwa rahisi haina maana kwamba watu...
  10. safuher

    Je, ni busara kuwekeza kwenye coin zaidi ya moja katika cryptocurrency?

    Mimi nimekuwa nikifuatilia kwa muda sana hii biashara na kuwauliza wadau mbali mbali. Kwa bahati mbaya sana nimekuwa nikikutana na watu ambao naweza kusema hawajaijua vizuri hii biashara. Nilishawahi kukutana na mtu akaniambia kwamba yeye anawekeza kwenye coin nyingi kama vile shiba...
  11. safuher

    Namna ya kuishi na kiongozi(bosi wako)akiwa dikteta

    Wengi hupitia nyakati ngumu endapo wakiongozwa na viongozi ama mabosi madikteta. Zifuatazo ni mbinu unazoweza kutumia ili usidhurike au dikteta asikuone unampinga. 1. Usifanye jambo ambalo pongezi zitaenda kwako badala ya kwake, hata kama umefanya wewe jambo zuri linasibishe kwamba yeye ndio...
  12. safuher

    Udhaifu katika katazo la kuuza vyakula mchana wa ramadhani Zanzibar

    Mbali na kuzuwiwa kwa vyakula kuuzwa mchana wa ramadhani katika baadhi ya maeneo, lakini bado zuio hili halijatendewa haki. Waislamu tunaamini kwamba ukifunga basi hata ukila ile punje ya karanga tu na ukameza kwa makusudi basi umefungua sio mpaka ule biriani au urojo bakuli zima. Sasa ni...
  13. safuher

    Uislamu haujakataza asiye muislamu kula mchana wa ramadhani, siungi mkono wasio waislamu kuzuiwa kula mchana

    Habarini za kutwa nyote. Naomba niseme kwamba katika dini yetu ya uislamu hakuna pahala mtume kamkataza asiyekuwa muislamu kula mchana wa ramadhani. Na wala hakuna pahala qurani imekataza asiye muislamu kula mchana wa ramadhani. Na wala hakuna sehemu wakati wa mtume imeonesha kwamba...
  14. safuher

    Siri ya Furaha ya ndoa ni kuishi wanandoa kama marafiki (washkaji) wawili

    Umeshawahi kujiuliza kwa nini kuna jamaa mke wake unamuona wa kawaida sana lakini wanaishi kwa amani kabisa na wanapendana? Ni kwa sababu wamekuwa marafiki ndani ya ndoa, siri ya rafiki hata awe mbaya kiasi gani hauwezi kuchagua sura yake akiwa mshkaji ndio mshkaji huyo. Kuna watu wana...
  15. safuher

    Namna ambavyo bila kujua unatumia kipato chako kuwalipa wengine bila ya kujilipa wewe kwanza

    Unapata kipato chako mfano laki tano kwa mwezi, mtu anakuambia pesa yako hii bila kujua unawalipa watu wengine wewe hujilipi, swali la kujiuliza kwani hii laki tano si ya kwangu najilipaje sasa wakati laki tano hii ni yangu? Ni kweli yako lakini sasa katika laki tano mfano utagawa mahesabu kama...
  16. safuher

    Ijue sayansi ya upara na uwezekano mkubwa wa kuutibu kwake

    Habari yako ndugu msomaji. Ama baada ya salamu na kumshukuru mungu naomba nianze kwa kusema kwamba MIMI NAAMINI MATATIZO YA KURITHI YANATIBIKA(hii ni imani yangu) Baada ya kusema hivi naomba niingie kwenye mada yangu ya upara ama kupoteza nywele kichwani hasa ule wa kurithi wataalamu wanauita...
  17. safuher

    Akili maana yake ni matokeo(matendo) ya kitu fulani

    Kumekuwa na mijadala mingi ambayo ikionesha maana ya akili ni nini,wameelezea na kutofautiana watu wengi juu ya nini tafsiri ya akili. Baada ya kuchukua muda wangu kidogo na kuwaza juu ya jambo hili nimeona nishee nanyi maana ya akili ambayo nimeiafiki baada ya kujadiliana na ubongo wangu...
  18. safuher

    Sitofanya upuuzi wa kwenda kupima DNA kwa mtoto aliyezaliwa na mke wangu wa ndoa

    Ni upuuzi wa hali ya juu sana kwenda kupima D.N.A kwa kigezo cha kutaka kuhakikisha eti kama mtoto ni wako a sio wako. Watu wanatafuta watoto kwenye ndoa zao wewe unapata unajifanya kwenda kufanya DNA kutaka uhakika. Tulipopata mtoto wife akaniuliza kimasihara kwamba mtoto hajachukua sura...
  19. safuher

    Usikate tamaa, tumezaliwa tukiwa tayari ni washindi

    TUSIKATE TAMAA. Ukijiona upo duniani basi jua tayari wewe ni mshindi,usiseme huwezi chochote.uwepo wako hapa duniani ni ishara tosha wewe umeshinda ndio maana uko hapa. Wakati baba alipomwaga maji ya uzazi yenye ujazo wa kijiko kimoja basi ujazo huo ulikuwa na seli zaidi ya milioni moja wakati...
  20. safuher

    #COVID19 Hoja za baadhi ya Watanzania kuhusu kukataa chanjo bado ni dhaifu sana

    Watanzania hawaishiwi hoja kwa kweli. ETI Katika hoja wanazotumia wanasema eti chanjo gani ambayo serikali imejitoa kabisa kwamba litakalokupata wao hawawajibiki kwa lolote? Watanzania wamesahau kwamba hata ukienda hospitali una haki ya kukataa kutibiwa, una haki ya kukataa sawa, una haki ya...
Back
Top Bottom