Propaganda (uzushi) maarufu kuhusu kupunguza uzito (unene) na vyakula (diet)

safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
11,169
15,851
Uzito mkubwa na unene ni moja ya changamoto kubwa inayowapata watu wengi sana katika maeneo mbalimbali hapa duniani.

Katika bandiko hilii tutazungumza baadhi ya mambo ambayo ni propaganda juu ya hii inshu na mambo ya vyakula,na namna unaweza kufanya ili kupungua uzito.

NAWASALIMU KWA JINA LA JAMHURI YA MUUMGANO WA TANZANIA,KAZI IENDELEEEE!!.

Zifuatazo ni propaganda zisizo na ukweli wowote zikifuatia na uhalisia wa mambo kwa chini yake.

TUTAELEZEA KWA LUGHA NYEPESI ILI KILA MTU AELEWE.

1. ETI KULA MILO MINGI MIDOGO MIDOGO
Hii ni propaganda kwa sababu kila mlo unaokula huo mlo ndio hutumika na mwili kupata nguvu na yale mafuta ambayo ndio unene wako yanabaki salama hayaguswi,so utaendelea kuwa mnene.

NB : mafuta ya mwili yakianza kutumika ndio unene hupungua,so unapokula mara kwa mara unakuwa unaunyima mwili nafasi ya kuchoma mafuta hayo badala yake mwili unashughulika na chakula unachokula muda huo.

2.ETI KULA SAMAKI(PROTINI) HAIONGEZI UZITO.
Hii ni propaganda kwa sababu ile ile unapokula vyakula hivi mwili hutumia hivi vyakula kama source ya nishati hivyo yale mafuya ya mwili ambayo ndio unene wako HAYAGUSWI so hutopungua.

Kuna daktari mmoja yeye ni mtaalamu wa lishe anashauri watu wale samaki na matunda lakini anasema ule utakapojisikia njaa bila hivyo pia hautopungua,so utaona kwamba hata samaki hawezi kukukondesha

LAkini pia kitaalamu ni kwamba excess calories kwenye wanga ndio ambazo huwa zinabadilishwa kuwa mafuta ya mwili,wakati huo prorein kama samaki nao huwa anazo hizo calori,so maana yake ukila samaki kwa wingi pia utakuwa na excess calories na hizo kalories zitabadilishwa kuwa mafuta ya mwili na yatatunzwa vizuri tu😁,kwani mwili una khiyana basi ?

Hivyo HATA PROTINI UKILA KWA WINGI HUSABABISHA UNENE KWA SABABU NAYO HUGEUKA KUWA MAFUTA YA MWILI😁😁.

NB : Mafuta ya mwili yakianza kutumika ndipo unene hupungua.

3. ETI KULA VYAKULA VYENYE CALORI CHACHE
Kalori chache kivipi sasa?,yani ukae uanze kupima chakula kina kalori ngapi ni shughuli, wamebadilika tena wanatuambia ishu ni kalori na sio content ya chakula?

Angalia hapa..

Gram 100 za samaki zina kalori 84, wakati huo gram 100 za mchele zina 130 kalori.

So mtu atakayekula gram 300 za samaki kwa kudhani samaki hana shida maana yake ameingiza 252 za kalori so anayo chance ya kuongezeka uzito kuliko atakayekula gram 100 tu za mchele abaye ataonekana hana elimu na athari ya vyakula vya wanga.

Unaona hapo kwamba hakuna chakula chenye kalori chache bali inategemea na kiasi gani unakula chakula hiko?

4. ETI HAUFANYI MAZOEZI
Kuna watu wembamba kibao hawafanyi mazoezi lakini wako vile vile hawanenepi,na kuna vibonge kibao wanafanya mazoezi lakini wananenepa.

So mazoezi hayana mahusiano ya mojs kea moja na kupungua unend mana wapo wembamba wasiotaka mazoezi,why wasinenepe,hapo inshu ni keamba mazoezi hayo endapo YATASABABISHA YALEEEE MAFUTA YA ZIADA YAANZE KUCHOMWA NA MWILI.

Kinyume chake kama utafanya mazoezi ambayo bado hayajachochea yale mafuta ya ziada yasiguswe ama kuchomwa katika mwili basi mazoezi hayo hayana faida na kupungua uzito kamwe.

Hapa katika mazoezi ili mazoezi yafikie hatua ya kupelekea mwili uchome mafuta basi vitu viwili ni muhimu
a) hayo mazoezi ukifanya punguza kiasi cha mlo kula kidogo ili mwili upate nafasi ya kutumia mafuta ya ziada kama nishati,ukila chakula kingi mwili hautahitaji kuchoma mafuta ya ziada kwa sababu chakula kipo cha kutosha tumboni.

b)Kula chakula kama kawaida yako lakini mazoezi yawe makali,yanayokufanya mwili utumi nguvu na hii ni ngumu mana wengi hawana uvumilivu,so KUNA KIDOGO NA FANYA MAZOEZI KWA WASTANI.

5. ETI USIKAE NA NJAA MUDA MREFU
Wanasema makusudi usikae na njaa ili kukaa muda mrefu bila kula waipe jina baya hali hiyo,kukaa muda mrefu bila kula sio kushinda na njaa bali ni njia moja wapo ya kupunguza uzito ama unene ikiwa tu unakula kwa kiasi na sio kufakamia kiasi kingi.

Ndio maana katika hizi dini kuna ibada ya kufunga,kufunga sio kukaa na njaa muda mrefu bali kufunga ni kukidharau chakula kwa mufda fulani na kukufundisha wewe kwamba hatuhitaji kula mara kwa mara.

NB: Ukifunga hakikisha unapofungua unakula mlo mchache na maji kwa wingi ndio utaona faida ya kufunga,sio ukifungua unakula magimbi,wali,nyama,tende za kutosha,maziwa,samaki hapo utajikuta unagain weight.

Ukifungua piga zako supu kidogo na vitunda ama muhogo kidogo,ama keki,ama chipsi yai kidogo then unafanya mambo mengine,sio unakula mavyakula kibao NO.

6. ETI WANGA HUKAA TUMBONI KWA MUDA WA SIKU TATU AU ZAIDI
Huu ni uongo wa wazi,kea nini ? Kwa sababu wanga ndio chanzo kikuu cha nishati katika mwili na ndio chakula cha mwanzo kutumika na mwili,hivyo ukila samaki(protini) na ukala wali(wanga) kitakachoanza kutumika mwanzo ni ule wanga kwa sababu ndio source kuu ya nishati.

Sasa vipi huo WANGA unaotumika sana ukae muda mrefu tumboni wakati unahitajika mara kwa mara na mwili?

UKWELI NI UPI?

Mechanism ni moja tu ambayo ni "LAZIMA YACHOMWE MAFUTA YALIYOHIFADHIWA NDIO UTAPUNGUA".

Je, tunachomaje mafuta ya ziada?

Tutachoma mafuya ya ziada kwa njia zifuatazo.

Kwanza .kutokula kwa muda mrefu badala yake unapunguza milo na KIASI CHAKE kwa sababu kinachomata sio idadi ya milo bali ni kiasi cha mlo unachokula.

Kuna mtu anaweza kula mlo mmoja lakini katika huo mlo mmoja akala wali kilo moja,nyama nusu,na jusi chupa nzima,huyu ni kama kala milo minne tu.

Kwa sababu utakapokula mlo kiasi kidogo hiyo itafanya chakula kile kitumike kwa muda mfupi na baada ya hapo mafuta ya mwili yaanze kutumika na hapo ndio utaanza kupungua.

So utakapokaa muda mrefu bila kula chakula maana yake unaulazimisha mwili uchome ama utumie yale mafuya ya ziada ambayo ndio unene wako ulipo.

NI MUDA GANI MAFUTA HUANZA KUCHOMWA?
Inategemea na mwili wa mtu pale ambapo utasikia njaa alafu ukaipoza na maji au ukaipuuza bila kula utakaa ile njaa utaizoea,hapo maana yake mwili umeshajiongeza kuanza kuyatumia mafuta kama source ya nishati ndio maana unakuea hauhisi nja tena.

Hata wale tunaofunga kuna muda pale mchana Ramadhani i akuea kali tunavumilia then ukikaa baada ya muda ile njaa inapotea.

Ukiweza kuipotezea njaa ukafanya mambo mengine basi ujue unayaendea mafanikio ya kuondoa uene.

Hivyo upe mwili nafasi, sio unakula kila mara, miili yetu kwa watu wasio na kazi ngumu haihitaji milo mitatu wala miwili,mlo mmoja tu unatosha na maji ya mara kwa mara huku ukishushia na vitu vya hamu kama kindizi kidogo njiani ama kichungwa ama karanga au korosho,lakini tayari tumeshakuwa programmed tokea utotoni kwamba milo ni mi3 je utaweza kubadilisha hiyo program? JAWABU UNALO WEWE.

Kwa kumalizia ni kwamba hakuna chakula kibaya, kila chakula ni kizuri na kila chakula ni kibaya pia,uzuri na ibaua huja kwenye kiasi unachokula.

Mimi nakula kila kitu inshu nacontrol kiasi na muda wa kula,masaa mengi huwa sili chakula na hiyo sio kushinda njaa bali ni kuuelewa mwili unafanyaje kazi.

Niwatakie tafakuri njema katika mada hii.
 
3.ETI KULA VYAKULA VYENYE CALORI CHACHE.
Kalori chache kivipi sasa?,yani ukae uanze kupima chakula kina kalori ngapi ni shughuli,wamebadilika tena wanatuambia ishu ni kalori na sio content ya chakula ?

Angalia hapa..

Gram 100 za samaki zina kalori 84, wakati huo gram 100 za mchele zina 130 kalori.

So mtu atakayekula gram 300 za samaki kwa kudhani samaki hana shida maana yake ameingiza 252 za kalori so anayo chance ya kuongezeka uzito kuliko atakayekula gram 100 tu za mchele abaye ataonekana hana elimu na athari ya vyakula vya wanga.

Unaona hapo kwamba hakuna chakula chenye kalori chache bali inategemea na kiasi gani unakula chakula hiko ?

NB : Mafuta ya mwili yakianza kutumika ndipo unene hupungua.

4.ETI HAUFANYI MAZOEZI.
Kuna watu wembamba kibao hawafanyi mazoezi lakini wako vile vile hawanenepi,na kuna vibonge kibao wanafanya mazoezi lakini wananenepa.

So mazoezi hayana mahusiano ya mojs kea moja na kupungua unend mana wapo wembamba wasiotaka mazoezi,why wasinenepe,hapo inshu ni keamba mazoezi hayo endapo YATASABABISHA YALEEEE MAFUTA YA ZIADA YAANZE KUCHOMWA NA MWILI.

Kinyume chake kama utafanya mazoezi ambayo bado hayajachochea yale mafuta ya ziada yasiguswe ama kuchomwa katika mwili basi mazoezi hayo hayana faida na kupungua uzito kamwe.

Hapa katika mazoezi ili mazoezi yafikie hatua ya kupelekea mwili uchome mafuta basi vitu viwili ni muhimu
a) hayo mazoezi ukifanya punguza kiasi cha mlo kula kidogo ili mwili upate nafasi ya kutumia mafuta ya ziada kama nishati,ukila chakula kingi mwili hautahitaji kuchoma mafuta ya ziada kwa sababu chakula kipo cha kutosha tumboni.

b)Kula chakula kama kawaida yako lakini mazoezi yawe makali,yanayokufanya mwili utumi nguvu na hii ni ngumu mana wengi hawana uvumilivu,so KUNA KIDOGO NA FANYA MAZOEZI KWA WASTANI.

NB : Mafuta ya mwili yakianza kutumika ndipo unene hupungua.

5. ETI USIKAE NA NJAA MUDA MREFU.
Wanasema makusudi usikae na njaa ili kukaa muda mrefu bila kula waipe jina baya hali hiyo,kukaa muda mrefu bila kula sio kushinda na njaa bali ni njia moja wapo ya kupunguza uzito ama unene ikiwa tu unakula kwa kiasi na sio kufakamia kiasi kingi.

Ndio maana katika hizi dini kuna ibada ya kufunga,kufunga sio kukaa na njaa muda mrefu bali kufunga ni kukidharau chakula kwa mufda fulani na kukufundisha wewe kwamba hatuhitaji kula mara kwa mara.

NB: Ukifunga hakikisha unapofungua unakula mlo mchache na maji kwa wingi ndio utaona faida ya kufunga,sio ukifungua unakula magimbi,wali,nyama,tende za kutosha,maziwa,samaki hapo utajikuta unagain weight.

Ukifungua piga zako supu kidogo na vitunda ama muhogo kidogo,ama keki,ama chipsi yai kidogo then unafanya mambo mengine,sio unakula mavyakula kibao NO.

6.ETI WANGA HUKAA TUMBONI KWA MUDA WA SIKU TATU AU ZAIDI.
Huu ni uongo wa wazi,kea nini ? Kwa sababu wanga ndio chanzo kikuu cha nishati katika mwili na ndio chakula cha mwanzo kutumika na mwili,hivyo ukila samaki(protini) na ukala wali(wanga) kitakachoanza kutumika mwanzo ni ule wanga kwa sababu ndio source kuu ya nishati.

Sasa vipi huo WANGA unaotumika sana ukae muda mrefu tumboni wakati unahitajika mara kwa mara na mwili ?

UKWELI NI UPI ?

Mechanism ni moja tu ambayo ni "LAZIMA YACHOMWE MAFUTA YALIYOHIFADHIWA NDIO UTAPUNGUA".

Je tunachomaje mafuta ya ziada ?

Tutachoma mafuya ya ziada kwa njia zifuatazo.

Kwanza .kutokula kwa muda mrefu badala yake unapunguza milo na KIASI CHAKE kwa sababu kinachomata sio idadi ya milo bali ni kiasi cha mlo unachokula.

Kuna mtu anaweza kula mlo mmoja lakini katika huo mlo mmoja akala wali kilo moja,nyama nusu,na jusi chupa nzima,huyu ni kama kala milo minne tu.

Kwa sababu utakapokula mlo kiasi kidogo hiyo itafanya chakula kile kitumike kwa muda mfupi na baada ya hapo mafuta ya mwili yaanze kutumika na hapo ndio utaanza kupungua.

So utakapokaa muda mrefu bila kula chakula maana yake unaulazimisha mwili uchome ama utumie yale mafuya ya ziada ambayo ndio unene wako ulipo.

NI MUDA GANI MAFUTA HUANZA KUCHOMWA?
Inategemea na mwili wa mtu pale ambapo utasikia njaa alafu ukaipoza na maji au ukaipuuza bila kula utakaa ile njaa utaizoea,hapo maana yake mwili umeshajiongeza kuanza kuyatumia mafuta kama source ya nishati ndio maana unakuea hauhisi nja tena.

Hata wale tunaofunga kuna muda pale mchana Ramadhani i akuea kali tunavumilia then ukikaa baada ya muda ile njaa inapotea.

Ukiweza kuipotezea njaa ukafanya mambo mengine basi ujue unayaendea mafanikio ya kuondoa uene.

Hivyo upe mwili nafasi, sio unakula kila mara, miili yetu kwa watu wasio na kazi ngumu haihitaji milo mitatu wala miwili,mlo mmoja tu unatosha na maji ya mara kwa mara huku ukishushia na vitu vya hamu kama kindizi kidogo njiani ama kichungwa ama karanga au korosho,lakini tayari tumeshakuwa programmed tokea utotoni kwamba milo ni mi3 je utaweza kubadilisha hiyo program ? JAWABU UNALO WEWE.

Kwa kumalizia ni kwamba hakuna chakula kibaya, kila chakula ni kizuri na kila chakula ni kibaya pia,uzuri na ibaua huja kwenye kiasi unachokula.

Mimi nakula kila kitu inshu nacontrol kiasi na muda wa kula,masaa mengi huwa sili chakula na hiyo sio kushinda njaa bali ni kuuelewa mwili unafanyaje kazi.

Niwatakie tafakuri njema katika mada hii.
Yes fasting fasting fasting fasting fasting
 
Mimi nakula kila kitu inshu nacontrol kiasi na muda wa kula,masaa mengi huwa sili chakula na hiyo sio kushinda njaa bali ni kuuelewa mwili unafanyaje kazi.

Niwatakie tafakuri njema katika mada hii.
Oòkay, naona ishu kubwa ni hiyo control tu

Unapocontrol kitu chochote kile unauvaa uhusika wa mtu mwenye control katika kila kitu hadi mafuta mwilini.

Mbinu nzuri ya kujipima control ya mafuta mwilini ni kuangalia control yako ya mali maishani. Control yako ya mawazo kichwani (stress) na mambo mengine.

Mr S nakaribisha challenge ili kuweka sawa nadharia ya uzito wa mtu.

Je umewahi kumsaidia mtu na akapungua uzito yaani kutoka mnene hadi kuwa mwembamba kwa mafanikio? Basi tuzidi kupanuana mawazo
 
Ukitaka kupungua,formula ni moja tu: kula kiasi unaposikia njaa, yaan hata ukila mara moja kwa siku ni sawa tu!
Kingne usile chakula kingi sana usiku unapoenda kulala! Nina ushuhuda wa hili nilikuwa nina kg 75 asaiv nina kg 68 na hapo ni ndani ya miezi miwili tu
Kabisa mkuu.

Kula unaposikia njaa husaidia sana kumaintain uzito na kuzuia kuongezeka.
 
Je umewahi kumsaidia mtu na akapungua uzito yaani kutoka mnene hadi kuwa mwembamba kwa mafanikio? Basi tuzidi kupanuana mawazo
Binafsi nilishawahi kujishuhudia mwenyewe nilitoka kilo 80 point kadhaa mpaka kilo 70. Point kadhaa (-10kg) Kwa muda wa miezi mi3.

Formula yangu ilikuwa ni simple tu.

Nakula kuanzia saa 7 mpaka saa 2 usiku then sili tena mpaka kesho saa 7.

Nilikuwa nakula kila kitu kwa kiasi nikafanikiwa kupunguza uzito huo wa 10kgs.

Kwa hiyo ningelidumu kwenye ile system kwa muda wa 1year ningelifikia mpaka uzito wa 60-65kg lakini kuna mambo ya kimaisha yaliingia kati nikaachana nayo.
 
Uzito mkubwa na unene ni moja ya changamoto kubwa inayowapata watu wengi sana katika maeneo mbalimbali hapa duniani.

Katika bandiko hilii tutazungumza baadhi ya mambo ambayo ni propaganda juu ya hii inshu na mambo ya vyakula,na namna unaweza kufanya ili kupungua uzito.

NAWASALIMU KWA JINA LA JAMHURI YA MUUMGANO WA TANZANIA,KAZI IENDELEEEE!!.

Zifuatazo ni propaganda zisizo na ukweli wowote zikifuatia na uhalisia wa mambo kwa chini yake.

TUTAELEZEA KWA LUGHA NYEPESI ILI KILA MTU AELEWE.

1. ETI KULA MILO MINGI MIDOGO MIDOGO
Hii ni propaganda kwa sababu kila mlo unaokula huo mlo ndio hutumika na mwili kupata nguvu na yale mafuta ambayo ndio unene wako yanabaki salama hayaguswi,so utaendelea kuwa mnene.

NB : mafuta ya mwili yakianza kutumika ndio unene hupungua,so unapokula mara kwa mara unakuwa unaunyima mwili nafasi ya kuchoma mafuta hayo badala yake mwili unashughulika na chakula unachokula muda huo.

2.ETI KULA SAMAKI(PROTINI) HAIONGEZI UZITO.
Hii ni propaganda kwa sababu ile ile unapokula vyakula hivi mwili hutumia hivi vyakula kama source ya nishati hivyo yale mafuya ya mwili ambayo ndio unene wako HAYAGUSWI so hutopungua.

Kuna daktari mmoja yeye ni mtaalamu wa lishe anashauri watu wale samaki na matunda lakini anasema ule utakapojisikia njaa bila hivyo pia hautopungua,so utaona kwamba hata samaki hawezi kukukondesha

LAkini pia kitaalamu ni kwamba excess calories kwenye wanga ndio ambazo huwa zinabadilishwa kuwa mafuta ya mwili,wakati huo prorein kama samaki nao huwa anazo hizo calori,so maana yake ukila samaki kwa wingi pia utakuwa na excess calories na hizo kalories zitabadilishwa kuwa mafuta ya mwili na yatatunzwa vizuri tu,kwani mwili una khiyana basi ?

Hivyo HATA PROTINI UKILA KWA WINGI HUSABABISHA UNENE KWA SABABU NAYO HUGEUKA KUWA MAFUTA YA MWILI.

NB : Mafuta ya mwili yakianza kutumika ndipo unene hupungua.

3. ETI KULA VYAKULA VYENYE CALORI CHACHE
Kalori chache kivipi sasa?,yani ukae uanze kupima chakula kina kalori ngapi ni shughuli, wamebadilika tena wanatuambia ishu ni kalori na sio content ya chakula?

Angalia hapa..

Gram 100 za samaki zina kalori 84, wakati huo gram 100 za mchele zina 130 kalori.

So mtu atakayekula gram 300 za samaki kwa kudhani samaki hana shida maana yake ameingiza 252 za kalori so anayo chance ya kuongezeka uzito kuliko atakayekula gram 100 tu za mchele abaye ataonekana hana elimu na athari ya vyakula vya wanga.

Unaona hapo kwamba hakuna chakula chenye kalori chache bali inategemea na kiasi gani unakula chakula hiko?

NB : Mafuta ya mwili yakianza kutumika ndipo unene hupungua.

4. ETI HAUFANYI MAZOEZI
Kuna watu wembamba kibao hawafanyi mazoezi lakini wako vile vile hawanenepi,na kuna vibonge kibao wanafanya mazoezi lakini wananenepa.

So mazoezi hayana mahusiano ya mojs kea moja na kupungua unend mana wapo wembamba wasiotaka mazoezi,why wasinenepe,hapo inshu ni keamba mazoezi hayo endapo YATASABABISHA YALEEEE MAFUTA YA ZIADA YAANZE KUCHOMWA NA MWILI.

Kinyume chake kama utafanya mazoezi ambayo bado hayajachochea yale mafuta ya ziada yasiguswe ama kuchomwa katika mwili basi mazoezi hayo hayana faida na kupungua uzito kamwe.

Hapa katika mazoezi ili mazoezi yafikie hatua ya kupelekea mwili uchome mafuta basi vitu viwili ni muhimu
a) hayo mazoezi ukifanya punguza kiasi cha mlo kula kidogo ili mwili upate nafasi ya kutumia mafuta ya ziada kama nishati,ukila chakula kingi mwili hautahitaji kuchoma mafuta ya ziada kwa sababu chakula kipo cha kutosha tumboni.

b)Kula chakula kama kawaida yako lakini mazoezi yawe makali,yanayokufanya mwili utumi nguvu na hii ni ngumu mana wengi hawana uvumilivu,so KUNA KIDOGO NA FANYA MAZOEZI KWA WASTANI.

NB : Mafuta ya mwili yakianza kutumika ndipo unene hupungua.

5. ETI USIKAE NA NJAA MUDA MREFU
Wanasema makusudi usikae na njaa ili kukaa muda mrefu bila kula waipe jina baya hali hiyo,kukaa muda mrefu bila kula sio kushinda na njaa bali ni njia moja wapo ya kupunguza uzito ama unene ikiwa tu unakula kwa kiasi na sio kufakamia kiasi kingi.

Ndio maana katika hizi dini kuna ibada ya kufunga,kufunga sio kukaa na njaa muda mrefu bali kufunga ni kukidharau chakula kwa mufda fulani na kukufundisha wewe kwamba hatuhitaji kula mara kwa mara.

NB: Ukifunga hakikisha unapofungua unakula mlo mchache na maji kwa wingi ndio utaona faida ya kufunga,sio ukifungua unakula magimbi,wali,nyama,tende za kutosha,maziwa,samaki hapo utajikuta unagain weight.

Ukifungua piga zako supu kidogo na vitunda ama muhogo kidogo,ama keki,ama chipsi yai kidogo then unafanya mambo mengine,sio unakula mavyakula kibao NO.

6. ETI WANGA HUKAA TUMBONI KWA MUDA WA SIKU TATU AU ZAIDI
Huu ni uongo wa wazi,kea nini ? Kwa sababu wanga ndio chanzo kikuu cha nishati katika mwili na ndio chakula cha mwanzo kutumika na mwili,hivyo ukila samaki(protini) na ukala wali(wanga) kitakachoanza kutumika mwanzo ni ule wanga kwa sababu ndio source kuu ya nishati.

Sasa vipi huo WANGA unaotumika sana ukae muda mrefu tumboni wakati unahitajika mara kwa mara na mwili?

UKWELI NI UPI?

Mechanism ni moja tu ambayo ni "LAZIMA YACHOMWE MAFUTA YALIYOHIFADHIWA NDIO UTAPUNGUA".

Je, tunachomaje mafuta ya ziada?

Tutachoma mafuya ya ziada kwa njia zifuatazo.

Kwanza .kutokula kwa muda mrefu badala yake unapunguza milo na KIASI CHAKE kwa sababu kinachomata sio idadi ya milo bali ni kiasi cha mlo unachokula.

Kuna mtu anaweza kula mlo mmoja lakini katika huo mlo mmoja akala wali kilo moja,nyama nusu,na jusi chupa nzima,huyu ni kama kala milo minne tu.

Kwa sababu utakapokula mlo kiasi kidogo hiyo itafanya chakula kile kitumike kwa muda mfupi na baada ya hapo mafuta ya mwili yaanze kutumika na hapo ndio utaanza kupungua.

So utakapokaa muda mrefu bila kula chakula maana yake unaulazimisha mwili uchome ama utumie yale mafuya ya ziada ambayo ndio unene wako ulipo.

NI MUDA GANI MAFUTA HUANZA KUCHOMWA?
Inategemea na mwili wa mtu pale ambapo utasikia njaa alafu ukaipoza na maji au ukaipuuza bila kula utakaa ile njaa utaizoea,hapo maana yake mwili umeshajiongeza kuanza kuyatumia mafuta kama source ya nishati ndio maana unakuea hauhisi nja tena.

Hata wale tunaofunga kuna muda pale mchana Ramadhani i akuea kali tunavumilia then ukikaa baada ya muda ile njaa inapotea.

Ukiweza kuipotezea njaa ukafanya mambo mengine basi ujue unayaendea mafanikio ya kuondoa uene.

Hivyo upe mwili nafasi, sio unakula kila mara, miili yetu kwa watu wasio na kazi ngumu haihitaji milo mitatu wala miwili,mlo mmoja tu unatosha na maji ya mara kwa mara huku ukishushia na vitu vya hamu kama kindizi kidogo njiani ama kichungwa ama karanga au korosho,lakini tayari tumeshakuwa programmed tokea utotoni kwamba milo ni mi3 je utaweza kubadilisha hiyo program? JAWABU UNALO WEWE.

Kwa kumalizia ni kwamba hakuna chakula kibaya, kila chakula ni kizuri na kila chakula ni kibaya pia,uzuri na ibaua huja kwenye kiasi unachokula.

Mimi nakula kila kitu inshu nacontrol kiasi na muda wa kula,masaa mengi huwa sili chakula na hiyo sio kushinda njaa bali ni kuuelewa mwili unafanyaje kazi.

Niwatakie tafakuri njema katika mada hii.

Shukrani sana kwa somo nimekuelewa
 
Back
Top Bottom