safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,169
- 15,851
Tukiwa tuna siku kadhaa tokea mfungo uanze nimejaribu kukutana na changamoto kadhaa kwa baadhi ya watu wakikereka na watu wanaokula mbele yao huku wakiwa hawajafunga.
My take
Sijaona andiko linaloashiria kuonesha kwamba ni vibaya kula mbele ya mtu aliyefunga.
Dhambi ipo kwa mtu ambaye anatakiwa afunge na hajafunga na wala hana sababu ya msingi.
Dhambi hiyo itakuwa ni kwa sababu hajafunga na wala sio dhambi kwa sababu ya kula mbele ya mtu aliyefunga.
Na wala sijaona andiko linalomlazimisha mfungaji ati achukie kitendo cha mtu kula mbele yake.