mke wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Spliffcharm

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mkopo wa 10% Halmashauri Kigamboni: Mke wangu alipangiwa 9.6M lakini mwisho anaambiwa atapewa 3M – Je, hii ni kawaida?

    Habari wakuu, Naomba ushauri kutoka kwa wenye experience na mikopo ya 10% inayotolewa na Halmashauri, hasa wale waliowahi kupitia mchakato huu. Wife ni mmoja wa wanakikundi cha watu watano, na aliomba mkopo kupitia Halmashauri ya Kigamboni. Kwa upande wake, aliomba kiasi cha Tsh 9.6 milioni...
  2. monotheist

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anatokwa na uchafu mweupe kwenye uke

    Hamjambo, mke wangu anasumbuliwa na tatizo la kutokwa na uchafu mweupe wenye harufu kwenye uke na anadai akijichungulia anauona umeganda kwenye kuta za uke nilimpeleka hospital walimpima UTI majibu hana wala hana maambukizi Je hii tatizo linaweza kua PID na kama PID tiba yake ni nini ya asili...
  3. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Nimekuta SMS za jirani kwenye simu ya mke wangu

    Ni kheri wakuu.... Huwa sinaga tabia ya kushika simu ya mke wangu sasa juzi usku niliamua kuishika na kucheck check sms eeeeh nikakuta kuna sms 2 upande wa sent namba ikiwa imeseviwa X. Moja ya sms hzo ilikuwa inasema HATA KAMA NIKIKWAMBIA NAKUPENDA ITAKUWA HAINA MAANA MIMI TAYARI NINA MJI WANGU...
  4. othuman dan fodio

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anapanda sana lifti za magari ya wapangaji wenzangu, mimi sina gari

    Ipo hivi tumepanga maeneo ya ushuhani kidogo hapa darisalama, sasa asubuhi tunavyoenda kibaruani wife huwa anawahi kidogo kuliko mimi. Sasa kila anapotoka huwa namchungulia dirishani namuona akipanda gari la mpangaji mwenzangu kama lifti akielekea kazini na mimi nikitoka napiga kwa mguu mpaka...
  5. P

    JamiiForums Tanzania ANAANDIKA MKE WANGU KWA HABARI YA MAGONJWA YAKE

    Naomba msaada na ushauri kutoka kwa wataalamu wa afya kuhusu historia yangu ya kiafya. Kwa muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na matatizo mbalimbali ya kiafya. Sehemu kubwa ya maisha yangu nimekuwa nikiumwa mara kwa mara; leo tatizo hili, kesho lingine. Mwaka 2018 nilifanyiwa upasuaji na...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hapendi kujifunika shuka moja na mimi, nifanyaje?

    Wakuu Hii hali imeanza ina kama week mbili hivi. Nifanyaje?
  7. JITU BANDIA

    JamiiForums Tanzania Nimfanyeje mke wangu aipende na kuifurahia harufu ya sigara isimkere, Ndoa bado Changa

    Hii ni Kwa wale wanaolikoka... unaweza kumfanyaje mwenza wako aifurahie harufu ya sigara isimkere?, Tupeane uzoefu wakuu.. Safari ndio kwanza imeanza!, ndoa ina miezi mitatu!... Naiona kazi kubwa! Mbeleni! Na kuacha kulikoka ndio kitu siwezi hata kufikiria kuacha!
  8. ebidada

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hana hamu ya kufanya mapenzi na mimi. Nifanyeje?

    Naomba ushauri kuhusu changamoto yangu ya ndoa Ninaishi na mke wangu, lakini kuna jambo ambalo limekuwa likinisumbua kwa muda na sijui nifanye nini. Katika maisha yetu ya ndoa, mara nyingi ni mimi ndiye ninayeanzisha suala la ukaribu wa kimapenzi. Kwa upande wake, mara nyingi haonyeshi hamu au...
  9. Kilawo

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anawasifu wanaume waliojenga nyumba

    Mimi nimeoa miaka 6 iliyopita tuna mtoto mmoja na tunaishi nyumba ya kupanga lakini mke wangu anawasifu Sana wanaume waliojenga nyumba zao. Wanajukwaa, mliwezaje kujenga kwa biashara ndogo ndogo, kama ninazofanya mimi? Maana kiwanja kipo tatizo lipo kupata pesa ya kuanzisha ujenzi, nyie...
  10. Jembebutu

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anachunguza mno simu yangu

    Jamani nimeongea mpaka nimechoka. Huyu mwanamke anachunguza simu yangu kuliko maelezo. Kila nikibadili password anayo. Ananiangalia kwa makini anamemorize kisha anakuja kufungua simu kuchunguza. Yaani kwa kifupi nipo uchi. Kama mnavyojua sasa hivi simu ndio kila kitu. Yaani ninachochat na...
  11. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mimi na mke wangu Seran.

    At Boston terrier ila namuwaza mke wangu Seran Tanzania. Leo nanunua mbwa Nampa jina kwereseran. Karibuni Boston.
  12. Superbug

    JamiiForums Tanzania Seran nakupenda, njoo tuyajenge

    Seran ujue nakuzimia mke !
  13. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Mke wangu alipata muarabu akaolewa naye, wakaachama akarudi kwangu nikamuoa tena

    Hii story watu imewauma sana aisee, nimeamua nitoe, watu wana sukari na presha… ni chai tu kutoka frijini.. msijar
  14. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Dalali Anaingia Ndani Kupiga PIcha wakati Mpangaji Nipo-Kamkuta Mke Wangu uchi chumbani na Binti yangu Anaoga!

    Kisanga:- Madalali, siyo wa Sinza tu, wala kijitonyama na Magomeni bali Mwananyamala, Mwenge, Mabibo, Goba , mbezi beach, Mburahati, Mwanantoti, Jet Lumo, Vikunai, Kijichi, Kisewe, Vingunguti, Chekechea, Vikunai, Mabibo , Tabata, Segerea, Kinyerezi, Salasala, Wazo, Madale, Mivumoni, isipokuwa...
  15. SuperHb

    JamiiForums Tanzania Mke wangu aliyeniacha anaomba msamaha anataka turudiane

    Habari ndugu zangu... nimerudi tena... Kama ni wafuatiliaji wa threada zangu zilizopita kuhusu MKE wangu,,mtakuwa mnanielewa Tangu MKE wangu aondoke,,,kwasasa ni Mwezi Mmoja na Nusu,,, niliamua kumpotezea ,,, kufanya shughuli zangu kama mlivyonishauri kwenye nyuzi zilizopita...,,,baada ya...
  16. spanerboy

    JamiiForums Tanzania Ndoa yangu matatani baada ya mke wangu kudai nimemdhalilisha

    Wadau naombeni ushauri wenu. Niko kwenye hali ngumu sana ya ndoa yangu na sijui nifanye nini tena. Nimemkosea mke wangu kwa namna ambayo imefanya ajisikie kudhalilika mbele ya wafanyakazi wenzake. Maneno yamesambaa sana, jambo ambalo limemuumiza zaidi kuliko nilivyodhani. Nilishaomba msamaha...
  17. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kanisukuma kitandani kisa nimepanda miguu michafu

    Leo nimeshindwa kabisa kwenda kazini, mbavu yangu changa ya upande wa kulia nahisi imetenguka Usiku wa jana kulikuwa na kijivua kazini ninapotafutia ugali, nikarudi mida ya saa nne usiku nikiwa nimejaa matope hasa hasa miguuni na kwenye foyengo yangu. Nikamuamsha mama watoto na kumuuliza maji...
  18. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Mwananchi alalamika Mwenyekiti wa Mtaa kumpora Mke wake na Kumuoa bila Talaka Rasmi

    Ila huyu mwenyekiti kiboko! Yani hata mshipa wa aibu hana ======= Mkazi wa Matiju B, Rashidi Bakari, ameeleza masikitiko yake baada ya kurejea kutoka kupanda Mlima Kilimanjaro na kukuta mke wake ameolewa na Mwenyekiti wa mtaa huo anayefahamika kwa jina la Isa, bila yeye kupewa taarifa yoyote...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anakaa siku 5 hapati choo kikubwa

    Wakuu habari zenu naomba kusaidia jambo kama nilivyoeleza apo haja kubwa imekuwa shida kwa mke wangu hii hali inamtesa sana naomba mwenye kujua dawa anisaidie nimehangaika mno
  20. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Chemsha bongo: Jina langu ni Chai. Mke wangu ni Sukari. kijana wangu ni... ?

    Riddle Time
Back
Top Bottom