Wamenitumia sms ya kutunza amani na maneno kibao,sijui biashara nini na nini,makende ya fisi ninyi,ipo hivi mimi kutunza amani kwa serikali inayo dhurumu haki,uhai na usawa msahau,tarehe 7 ,ratiba zipo pale pale,nimeshakuwa mzoefu na shunting za maandamano,ni tifutifu,kama amani ni kutuletea...