safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 12,312
- 18,187
Kumekuwa na mijadala mingi ambayo ikionesha maana ya akili ni nini,wameelezea na kutofautiana watu wengi juu ya nini tafsiri ya akili.
Baada ya kuchukua muda wangu kidogo na kuwaza juu ya jambo hili nimeona nishee nanyi maana ya akili ambayo nimeiafiki baada ya kujadiliana na ubongo wangu.
Bila kupoteza muda kwa mjadala tutakutana kwenye comment,AKILI maana yake ni matokeo.
Kivipi ?
Kwa sababu kila anaesema mtu fulani ana akili lazima awe na jambo au kitendo ambacho kakifanya huyo mtu anaedaiwa kuwa na akili.
Mfano
Watu wanasema fulani ana akili amwpata GPA kubwa,hiki kitendo cha yeye kupata GPA kubwa ndio komefanya tujue jamaa ana akili.
Mfano 2
Utasema aliyegundua balbu ana akili sana,bila kufanya kitendo cha yeye kugundua balbu singesema kama ana akili, hivyo kitendo chake kimetujisha kuwa ana akili.
Mtu ambaye amezaliwa hafanyi lolote lile,kalala tu ni ngumu kusema ana akili nyingi kwa sababu hajatuoneaha matendo yake.
Watu maarufu magenius wote tumewajua kwamba wana akili nyingi kwa sababu ya matendo yao,bila matendo yao tusingejua kama wana akili nyingi kiasi hiko.
Hata wewe msomaji tutasema una akili nyingi utakapofanya jambo au tendo au matokeo chanya kwemye jamii yako,kama hukufanya hautiwi kwenye kundi la watu wenye akili nyingi.
Mtu akitembea basi ana akili ya kutembea.
Mtu akila ana akili ya kula
Mtu akienda chooni ana akili ya kuenda chooni.
Bila matokeo hakuna akili.