njia sahihi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhafidhina07

    Hivi kuna njia yoyote ya kuacha kubet?

    kubeti ni tamaa ya kutoa kidogo na kupata kingi ndani ya muda mchache imetufanya vijana wengi tuishi kwenye dibwi la kubahatisha na kutaka vya haraka mpaka wengi wetu hudondokea kwenye madhara ya ushoga na liwati. Jamii inaharibika kwa kuwa betting inadhoofisha akili na vijana wengi hatufanyi...
  2. Z

    Njia sahihi ya nchi ya DRC kuwa na amani ni kuishtaki RWANDA kwenye mahakama ya EAC

    Vita vya mara kwa mara nchi DRC ni usumbufu wa nchi ya RWANDA.sasa sioni maana ya kuwa member wa EAC wakati nchi mwanachama anakuletea usumbufu wa mara kwa mara. Kama EAC haitangilia mzozo wa DRC ni dhahiri itakuwa kama Urusi na Ukraine.
  3. safuher

    Njia sahihi za kulea watoto ili waje kuwa viongozi wema na wenye kutii sheria za nchi

    Habari yako ndugu msomaji. HUU NI UZI AMBAO NILIUANDIKA MWAKA 2021 KATIKA STORIES OF CHANGES,ILA NIMEONA NIUTUPIE HUKU Katika mambo yanayolalamikiwa na jamii yetu hasa zama hizi basi ni kuwa na viongozi ambao hawana maadili na wala hawafuati sheria mbalimbali za nchi vile zinavyotaka. Jambo...
  4. OMOYOGWANE

    Taifa Stars ipo kwenye njia sahihi; jana nimeziona pasi mpenyezo na kukaba kwa kuwapokonya mipira mabeki wa timu pinzani

    Tuweke siasa pembeni, Hii timu tangu nchi hii ianze ilikuwa inatia aibu sasaivi naanza kuona mageuzi ya soka ktk timu yetu ya taifa. Wachezaji hawabweteki tena ukizingua hupangwi kila mtu anataka ufalme pia mpira wetu umekua wa kimkakati. Uzi tayari
  5. F

    Njia sahihi ya kufanya mazoezi - Shika jembe toa jasho kwishaa

    Ukiwa na ratiba ya kufanya kazi za mikono/Physical activies kama vile kulima, yani unachukua jembe unalima unatoa jasho unakuwa umepata faida mbili kwanza unakuwa umelima bustani ya matunda au mboga au garden na hapo unakuwa umechoma burn calories mwilini. Aliwahi kusema Dr. Howard Tucker...
  6. fungi06

    Njia sahihi ya kumaliza ajali barabarani

    Ajali za barabarani zimekuwa zikileta kilio kwenye familia zetu nyingi hapa Tanzania na kupoteza wapendwa wetu wengi. Huu mwaka tuu nimepoteza marafiki na ndugu watatu kwa ajali tuu za barabarani na wote wameacha watoto na familia zinazowaangalia. Hii ni kwangu na ninajua kwa wastani wa nchi...
  7. R

    Kwanini CCM imekubali kudhalilika? Kwamba bandari imebaki na Kitenge na Mwijaku kama watetezi? Na tunaona tupo njia sahihi?

    Thamani ya rasilimali zetu imeshushwa chini kutoka kwenye utetezi wa watu makini hadi kutetewa na chawa; chawa hawana hoja wana matusi na tunaamini tutapiga hatua ? Ni fedhea kubwa sana kuona baraza la maaskofu na watetezi wengine wa rasilimali zetu wanakosa wasome wakuwajibu badala yake...
  8. ikhlas

    Naomba kujuzwa njia sahihi na salama ya kutoa Ujauzito (abortion)

    Wasalam wadau , Dada angu ana mtoto wa mwaka 1 alimzaa kwa opresheni, lkn pia mtoto wke wa kwanza ana miaka 5 pia alimzaa kwa opresheni. Sasa ameshika tena ujauzito una miezi miwili, unampelekesha na afya yke imedhoofika mno, tumeshauriana anataka kuitoa kwa sbb ana mtoto mchanga wa mwaka 1 na...
  9. 404 Pages

    Udadisi uliomuua paka: Namna sahihi kiafya ya kuulaza mwili wako

    Habari wakuu. Nisiwapotezee muda ngoja niende moja kwa moja kwenye mada. Awali ya yote niseme tu wazi Mimi sio mtu wa Afya nikimaanisha Mimi sio daktari wala sio nesi. Namaanisha Mimi si mtu mwenye taaluma ya Afya Ila napenda masuala ya Afya. ....... Nitagusia kitu kidogo tu kinachohusu...
  10. Twaha Ibn Mohammed Mafiga

    Njia sahihi za kutokemeza umasikini ni kubadili mfumo wa uongozi

    Kiukweli umasikini unatesa, umasikini unaumiza, umasikini unakatisha tamaa Huenda tukaondoa umasikini kukuondoa mifumo ya uongozi tulio achiwa na wazungu na kutafuta njia nyingine ya uongozi ambayo itakuwa inambeba kiongozi pamoja na mwananchi wake.. Mfumo uliopo yaani mfumo wa vyama vingi...
  11. amshapopo

    SoC03 Njia duni za utunzaji wa fedha ndio chanzo cha umaskini kwenye jamii zetu. Tuziepuke!

    Habari, Watanzania wengi ni watu wenye vipato vyenye kukidhi mahitaji madogo madogo ya kila siku. Kwa kuzingatia hilo kumekuwa na harakati mbalimbali za kupambana na hali duni za maisha kwaajili ya kutafuta kipato cha uhakika kitakacho wafanya waishi maisha mazuri. Zifuatazo ni njia duni...
  12. Qzam

    Ziko njia sahihi za kuingiza kipato mtandaoni

    Habari za asubuhi na hongereni kwa majukumu ya utafutaji. Kumekuwa na mijadala mingi sana huu ya pesa mtandaoni. Na kuna baadhi wametoa shuhuda jinsi wanavofanikiwa kwa njia mbalimbali za mtandaoni. Mtandaoni kuna pesa kikubwa upate njia sahihi za kufanya, tuache woga wa uthubutu na kuziba...
  13. Chawa wa lumumbashi

    Kwahiyo tunakosea kwanza ili Mungu atuoneshe njia sahihi ya kiuchumi na kijamii?

    Bila shaka kama lisingekuwa Ile mistake ama hakika leo tungesema mengine labda after 5 year kwa majaliwa ya Mungu ningekuwa next Bakhresa kwenye maisha yangu ila ndiyo hivyo nilikosea kuna muda najilaumu ila kuna muda pia namshukuru Mungu kwa namna kama nimekosea kwa ujana na umri huu ama hakika...
Back
Top Bottom