bila kujua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Ni ujinga kwa Watanzania kushangilia msaada wa afya wa USA wa USD 1.3b bila kujua masharti yake yote; Zambia, Ghana, na Zimbabwe wayamekataa!

    Hivi karibuni, kumekuwa na ushabiki wa kipumbavu sana, hasa kutoka kwa wakereketwa wa CCM, pale waliposikia USA wataipatia Tanzania msaada wa huduma za afya wa USD 1.3 ndani ya miaka mitano ijayo. Sasa hawa wenzetu wasio na uwezo wowote wa kufikiri wameshangilia sana kusikia hili, hata wakibeza...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke, Ulisumbuliwa na Ugonjwa Gani ukawa unajitibu mwenyewe Bila Kujua Kuwa Chanzo ni Ujauzito Mchanga?

    Katika maisha ya kila siku, wanawake wengi hupitia mabadiliko mbalimbali ya kiafya bila kuelewa chanzo chake halisi. Wakati mwingine, dalili zinazoonekana kama magonjwa ya kawaida zinaweza kuwa ishara ya ujauzito mchanga. Ni muhimu kwa mwanamke kuutambua mwili wake na kufahamu mabadiliko...
  3. Barakha John

    JamiiForums Tanzania Usinunue Tena Iphone Kwenye Box Bila Kujua Siri Hii , Utashangaa….

    Asilimia 95% ya simu za iphone ambazo watanzania wengi wanauziwa kwenye box huwa ni simu used…. Je, Ulikuwa unajua hili ? kama hujui basi habari ndio hiyo. ……naona unabisha pengine wewe mwenyewe au rafiki au ndugu ulisha wahi muona amenunua simu mpya kabisa na amefungua kwenye box …sasa...
  4. ufalmedigital

    JamiiForums Tanzania Je, uko salama mtandaoni au unatoa taarifa zako kwa wahalifu wa mtandao bila kujua?

    Kila siku mamilioni ya watu duniani hutumia simu, kompyuta na intaneti kwa mawasiliano, biashara, masomo na huduma za kifedha. Hata hivyo, kadri matumizi ya teknolojia yanavyoongezeka, ndivyo hatari za uhalifu wa mtandao, wizi wa taarifa na udanganyifu wa kidijitali zinavyoongezeka pia. 🛡️ Kozi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mama ananiingiza kwenye shimo la giza bila kujua

    Kuna jambo ambalo linatatiza akili yangu mpaka nahisi kuchanganikiwa Kuna siku moja mwaka jana mimi na mke wangu tulikuwa tumelala ilikuwa mida ya saa tano usiku simu ya mke wangu iliita nikapokea kwasababu yeye alikuwa tayari kwenye usingizi mzito nikasubiri aliyepiga aongee nikaona kimia...
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Wasanii Shilole na Wema wanajijengea picha mbaya kwa watanzania hii ni baada ya mivutano ya wasanii hao na watanzania mtandaoni itawagharimu

    Wasanii shilole na wema wanajijengea picha mbaya kwa watanzania hii ni baada ya mivutano ya wasanii hao na watanzania mtandaoni itawagharimu. Bora kugombana na mtu mmoja au wawili sio na watanzania wote unachogombea kwanza hukijui yani ni mbumbumbu ngoja upate shida huone kama utasaidiwa.
  7. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Bila kujua CCM wanaenda kufanya reforms ndogo chamani huku wakigomea reforms za taifa.

    Wameitisha online conference meeting, lengo wabadilishe baadhi ya vipengele vya katiba yao kuelekea uchaguzi mkuu 2025 huku wakigomea mabadiliko ya sheria za uchaguzi mkuu ziweze ku suit vyama vyote kwa usawa
  8. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Wakuu: Ni kweli mwanamke anaweza akawa na mimba hadi miezi 3 bila kujua???

    Naombeni elimu hapa ndugu zangu” hivi inawezekana mwanamke akawa na Mimba mpka ikafika miezi mitatu na asiwe anajua”??? Kwa hili nimechoka akili.
  9. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni kweli mwanamke anaweza akawa na mimba hadi miezi 3 bila kujua???

    Naombeni elimu hapa ndugu zangu” hivi inawezekana mwanamke akawa na Mimba mpka ikafika miezi mitatu na asiwe anajua”??? Kwa hili nimechoka akili.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Watu Wanafanya Ibada ya Sanamu Bila Kujua

    Watu Wanafanya Ibada ya Sanamu Bila Kujua Ibada ya sanamu ni nini Mara nyingi watu wamedhani kwamba ibada ya sanamu ni kuweka kinyago hapo mbele yako na kuanza kukiabudu. Kwa upande mwingine, watu wanashangaa wenzao ambao wana vinyago majumbani, mahekaluni, kazini, nk, na wakiviabudu na kuviita...
  11. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Ujinga wa 5G: Vijana Wanaokimbia Bila Kujua Wanakoenda

    "Wakati vijana wa Ulaya na Asia wanaitumia AI kuingiza mamilioni, vijana wa Tanzania, Kenya na Uganda wako bize kuvua viongozi nguo, kuwaweka kwenye majeneza na kuedit picha za mizinga. Halafu kesho yake wanasema, 'Hatutendewi haki, hatuna ajira!' Hivi wewe ungekuwa na kampuni, taasisi...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Ukirithishwa duka limejaa bidhaa Kariakoo haimaanishi sasa mambo yako ni safi, Lissu na timu yake wamerithi Chama bila kujua misingi yake

    Lissu na timu yake wasipokaa vizuri na Mbowe, ni wazi kuwa CDM itawafia mikononi mchana kweupe. Chadema kimefika kuwa chama kikuu cha siasa kuwahi kutokea Tanzania sio kwa majungu na ubaguzi, bali kwa hekima na bidii kubwa zikiambatana na kujitolea mali nyingi. Wamuulize Mbowe amepoteza...
  13. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania Unataka Kuku wanaotaga Mayai mengi? Hawa ndio 5 bora wanaokuachia mpaka 318 Mayai kwa mwaka!

    Hello Wafugaji wenzangu 👋🏽, Nimeona kuna watu wengi wanaanzisha ufugaji wa kuku, hasa kwa lengo la kupata mayai ya kutosha kwa matumizi au biashara, lakini ndani ya miezi michache wanakata tamaa. Nimeona hii mara kwa mara, na mara nyingi chanzo kikubwa ni kununua kuku bila utafiti sahihi...
  14. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Technophilic Leo nimeumbuka! Nime compromise personal security bila kujua

    Ndugu wapenda technologia…. Hii yote inahusu simu yangu ya iphone Leo nimepata pigo kubwa la security Bleach KWA KUKUSUDIA NA PASIPO KUKUSUDIA Hivi juzi kati nimenunua simu nyingine Iphone 11 kutoka ka mtu naefahamiana nae na mm nililua natumia iphone X max Sasa changamoto ikawa kwene...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ukiwa Dar es Salaam unaweza kudhani maisha umeyapatia, kumbe umechelewa sana bila kujua

    Yaani Haya Maisha Bwna. Yanaweza kuwa yamekupiga Chenga ila bado ukawa unaamini umeyapata. Hasa hasa kama una ishi Dar kuna kaimani kanakujia kichwani kwamba huko Mbeya hakuna kitu, kuna kasumba inakupumbaza kichwani kwamba huko Mtwara kumejaa maskini tu na hakuna hela. Yaani Kichwa kinajaa na...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Watu Wanatembea na Laana Mwilini bila Kujua

    Watu Wanatembea na Laana Mwilini bila Kujua Laana ni Nini Laana ni bahati mbaya au maneno mabaya ya maapizo yanayotamkwa kumuelekea mtu fulani yeye mwenyewe au kitu fulani kinachomuhusu, kwa makusudi ya kumdhuru mtu huyo au kitu kinachomuhusu. Kwa mfano, kazi, shamba, watoto, masomo n.k. Laana...
  17. Tormenter

    JamiiForums Tanzania USHUHUDA: Namna vijana tunavyoteseka na Genital warts bila kujua

    Habari wakuu Wa JF, niende kwenye mada.... Katika vitu najivunia sana tangu nimeanza kuujua ulimwengu wa smartphone ni kuijua jamii forums.. Nimejiunga jamii forums ni kama miaka 5 nyuma huko sina hakika sana, pitapita, hangaika na harakati za vijana kuhusu chupi kwenye umri wa miaka 17...
  18. LoneJr

    JamiiForums Tanzania Vitu vya ajabu ambavyo ulijua kwamba havikubaliki kufanya, lakini ulifanya bila kujua! Ulijua vipi?

    Habari za muda wakuu wa Jf.... Binafsi , nakumbuka nikiwa 821 KJ ikiwa ni jumamosi,[ siku ya bonanza ] hapo Niko full-stim ''Mwamba ni Mimi'' basi imefika muda wa kuhakikiwa turudi mahangani kupumzika....nikawa naona wananizingua namba tunarudiarudia nikaona msinichezee... Nikafungua zipu...
  19. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia anajua madhara ya chawa na uchawa alivyokumbatia bila kujua?

    Chawa wana sifa kuu mbili. Kwanza, ni wanyonya damu. Na pili, hawawezi kuishi bila kuwapo uchafu .Je, Rais Samia alipotangazia dunia kuwa 'waaacha machawa wangu' alijua madhara yake? Je, hakujua na hadi leo hajui? Je, uchawa umegeuka sera ya CCM? Je CCM inafaidikaje na uchawa na machawa...
  20. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mikoa mizuri ya kwenda kutoa stress Tanzania ukitokea Dar Es Salaam

    1. Singida 2. Iringa 3. Tanga 4. Arusha
Back
Top Bottom