Search results

  1. Tajiri Tanzanite

    Yanga ni zee ambalo halina mafanikio ukilinganisha na umri wake

    Hapo vip, Nimejiuliza maswali sana kuhusiana na hizi kelele za yanga dhidi ya Simba sc, kuweka mabango na kalele.za kufika robo fainali club bingwa. Majibu ni kwamba yanga ni zee ambalo halina mafanikio ukilinganisha na umri wake. Kwasababu tokea Dunia kuumbwa na yanga kuanzishwa ndio mara a...
  2. Tajiri Tanzanite

    Hii vita kati ya mwanadamu na shetani ni vita ya uonevu(haina usawa na haki)

    Hapo vip!! Awali ya yote nadeclare yakwamba ni lazima nitalipiza kisasi cha milele dhidi shetani na lazima nitalipa kisasi juu yake. Nije kwenye mada husika yakwamba ninaposema hii vita kati ya mwanadamu na shetani sio sawa na haki ni kwasababu zifuatazo. 1.Vita hii mwanadamu ni kiumbe ambayo...
  3. Tajiri Tanzanite

    Hii vita ya Mwanadamu na Shetani haina usawa na haki

    Hapo vipi? Awali ya yote nadeclare yakwamba ni kisasi cha milele na shetani na lazima nitalipa kisasi juu yake. Nije kwenye mada husika ya kwamba ninaposema hii vita kati ya mwanadamu na shetani sio sawa na haki ni kwasababu zifuatazo. 1. Vita hii mwanadamu ni kiumbe ambacho kwa namna...
  4. Tajiri Tanzanite

    INAWEZEKANAJE MWANAUME MWEUSI UNAKUWA NA WATOTO WEUPE?

    Hapo vip!! Kuja jambo moja huwa linanishangaza,eti unalikuta lijamaa jeusi,alafu anawatoto weupe.. na yeye anajisifia eti nimetoa rangi ya mtume..hiyo rangi umeitoa kutoka wap? Hivi mzungu anaweza kuwa na mzingu mwenzake akazaa watoto weusi..hapo itakuwaje. Nawashauri wanaume weusi jitahidini...
  5. Tajiri Tanzanite

    Yanga ndio timu mbovu kwa sasa kwenye hatua ya robo final club bingwa

    Hapo vip!! Mpira ni mchezo wa wawazi na data hazidanganyi. Kwa tathmini inavyoonyesha yanga ndio timu dhaifu na mbovu kwa sasa katika hatua hii ya robo final club bingwa kwasababu zifuatazo: 1. Ndio timu pekee iliyoingia na point chache na za mwisho kuliko timu zote. 2. Ndio timu inayoongoza...
  6. Tajiri Tanzanite

    Hii namber ni ya wapi inanipigia saa nane usiku +94532857343

    Hapo vipi! Hii number +94532857343 ni ya wap...mbona haina nchi then inanipigia simu from no where tena saa 8 usiku.
  7. Tajiri Tanzanite

    Changamoto zifuatazo zipo Ofisi za uhamiaji Arusha

    Hapo vipi, Kwanza niseme ngozi nyeusi chini ya hii sayari ndio race inayongoza kufanya vibaya Duniani kwa sababu kadha wa kadha. Nije kwenye mada husika, kiukweli Migration ya Arusha inatia aibu kubwa sana. Kwanza, wale watu wa mapokezi wana kauli chafu sana kwa watu wanaokuja kushughilikia...
  8. Tajiri Tanzanite

    Yanga itaishia hatua ya makundi club bingwa 2023/2024

    Hapo vip!! Nimeona hili niliweke wazi na niwaandae wachezaji na washabiki wa yanga kisaikologia. Sababu za kuona yanga ikiishia hatua ya makundi club bingwa ni hizi. Yanga ni timu ndogo sana katika barani Afrika..haipo hata kwenye timu bora 20 bora Afrika. Yanga inacheza na timu kubwa na bora...
  9. Tajiri Tanzanite

    Simba SC tunaomba tupangiwe robo final na Yanga Mapinduzi Cup

    Simba SC tunaomba robo final na Yanga Mapinduzi Cup. Tutawadhihirishia zile tano za Yanga sio za halali bali imetokana na mambo mawil. 1. Waliwaonga baadhi ya wachezaji wa Simba SC kwa pesa ndio maana wangine wamewekwa benchi mpaka sasa na wangine tunawatafunia mbinu tuwatimue. 2. Yanga ni...
  10. Tajiri Tanzanite

    Simba SC nawashauri muanzishe vyombo vyenu vya habari

    Hapo vipi? Naomba nichukue fursa hii kuishauri Simba SC iazishe vyombo vyake vya habari kama television na redio... Sababu 1. Kwanza Simba SC ni timu kubwa namba 1 na bora Tanzania, Afrika Mashariki na kati. 2. Siasa imeingia kwenye mpira hivyo kuna baadhi ya waandishi wa habari makanjanja...
  11. Tajiri Tanzanite

    Hii ni ishara ya kwamba Simba SC ni timu teule Afrika kutoka kwa Mungu

    Hili tukio la mtoto mdogo kuchagua Simba sc baada ya kuwekewa nembo ya Simba na yanga, kisha akachagua Simba sc ni ishara yakwamba Simba sc ndio timu teule kutoka kwa Mungu kuiwakilisha Tanzania, Afrika mashariki na kati,na Afrika kwa ujumla Duniani kote kama Timu bora ya nyakati zote. Pia...
  12. Tajiri Tanzanite

    Kati ya Musrael na Hamas nani anatumia haya maneno akimuuwa mtu..Allah akbaru..

    Hapo vip!! Bila shaka tunajua dini za Israel,kinachoshangaza kuna watu ambao ni wapumbavu,wanajaribu kuaminisha watu yakwamba waliomua kijana Joshua Mollel ni wasrael..wakati wauwaji wanasema Allah akbaru..Allah akibaru NB,Musrael ana IQ kubwa hawezi kumuuwa tu mtu ovyo ovyo.Amehalalishiwa...
  13. Tajiri Tanzanite

    Saa zingine ukiona unagombana na mpenzi wako ni sauti ya Mungu, tii na uondoke haraka

    Hapo vipi? Kuna miaka fulani hivi, limwanaume mmoja tahira bora angekuwa mti wa mapera..yaani yeye kuna demu sijui anampenda sijui ndio kulogwa. Ipo hivi, kuna kuna siku huyo demu anampiga anamuambia toka kwangu sikutaki huyo jamaa kin'gang'anizi hatari, halafu jamaa anakopa mpaka pesa kwa...
  14. Tajiri Tanzanite

    Afrika tutapata maendeleo endapo tutawapa wazungu nafasi ya Urais na Mawaziri

    Hapo vip!! Huu ndio ukweli ulete hoja zako za kiafrika haiwezi kubadilisha huu ukweli. Ukweli ni unadhihirishwa wazi na maendeleo ya Afrika tangu tuanze kupata uhuru..na kuna baadhi a nchi za wazungu walikuwa wapo chini kimaendeleo kuliko hizi nchi zetu za Afrika mfano sirilanka,maleysia n.k...
  15. Tajiri Tanzanite

    Mwanaume mwenye akili afungi ndoa na mwenye akili zaidi haoi!

    Hapo vip? Huu ni utafiti niliofanya muda mrefu. Nimegundua wanaume wenye akili hawafungi ndoa na wanawake, mfano Ronado, Micky Tyson, Alon Musk huyu nitajiri wa kwanza Duniani,R.kelly,50 cent n.k Na wenye akili zaidi hawahoi wala hawataki kufanya mapenzi, mfano; Galie Galie, Sir Issack Newton...
  16. Tajiri Tanzanite

    Yanga wanacheza kwa papara, jazba na kukamia, hawajui mpira

    Hapo vipi? Kuna jambo nimejifunza sana kwenye hii michuano ya club bingwa. Kwanza uelewe hizi timu zinazocheza ni bora sana, hilo ni la kwanza kabisa. Hivyo wanapokuja katika michuano hii hawachezi kwa lengo la kumiliki mpira na kushambulia ila wanacheza technically (mpira wa akili na...
  17. Tajiri Tanzanite

    Hii ndoto ina maana gani?

    Hapo vip!! Naomba mtu mwenye tafsiri kamili ya hii ndoto. Jana nimeota nipo eneo fulani hivi, nikiangalia nimevaa shati jeupe na kuna watu nipo naona karibu japi siwajui ila miongoni mwa hao watu akawa kuna mmoja kama anajaribu kukwepa ndege anayeitwa popo anayezinguka juu akipaa akiwa...
  18. Tajiri Tanzanite

    Wasomi wa kitanzania wanashindwa kwenda nje ya nchi kutafuta fursa mbalimbali kwasababu ya hivi vitu viwili(TOEFL na IELTS)

    Hapo vip!! Kwa awali ya yote niandike kirefu cha TOEFL ni Test of English as a foreign language na IELTS International English language Testing system . Ndugu zangu awali ya yote niseme tu nasikitika sana kuwepo na kuzaliwa katika nchi kama hii inaitwa Tanzania. Lakini pia sisi sote ni...
  19. Tajiri Tanzanite

    Hivi kumbe kuoa sio lazima

    Hapo vip!! Kwawale ambao walikuwa hawafahamu kama mimi,ni hivi kuoa sio lazima. Hivi hata Mungu wetu hajalazimisha watu waoa ila amekataza uzinzi,uwasherati n.k Ninachoamini Furaha kubwa katika ulimwengu huu ni ile hali ya kuwa na furaha ambayo haitokani na watu au mtu..independent...
  20. Tajiri Tanzanite

    Al Ahly waweka wazi Simba ni Club namba moja Tanzania, Yanga ni ya pili

    Hapo vip! Leo ilikuwa nawasikiliza waandishi wa habari walijaribu kuwahoji wachezaji wa ALLy Ahlly dhini ya kujuaa ukubwa wa Simba cl na yanga. Wachezaji wa Ally Ahly wamesea hawajawahi kukutana na yanga kwasababu ni timu ndogo ila kwa tanzania ni maarufu,wakasema timu kubwa wanaoijua Tanzania...
Back
Top Bottom