Al Ahly waweka wazi Simba ni Club namba moja Tanzania, Yanga ni ya pili

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
2,070
3,705
Hapo vip!

Leo ilikuwa nawasikiliza waandishi wa habari walijaribu kuwahoji wachezaji wa ALLy Ahlly dhini ya kujuaa ukubwa wa Simba cl na yanga.

Wachezaji wa Ally Ahly wamesea hawajawahi kukutana na yanga kwasababu ni timu ndogo ila kwa tanzania ni maarufu,wakasema timu kubwa wanaoijua Tanzania na namba moja kwa ubora ni Simba.

Kama muarabu aliyeandikwa kwenye vitabu vyote vya dini amekiri Simba ndio timu bora na namba one Tanzania. Wewe ngozi nyeusi mwenye ukurutu mpaka kwenye akili ni nani? Maana ake huna akili na medula oblangata na ubongo wa mbele itakuwa na ugonjwa wa ubishi na upumbavu.
 
'Ukurutu mpaka matakoni' nimeipenda sana ,what a punch line😀😀😀😀
 
Hata jina la hiyo timu hulijui unqkurupuka tu. Sasa mwenye ukurutu hadi kwenye ubongo ni nani kati yako na hao Yanga?
 
Hapo vip!

Leo ilikuwa nawasikiliza waandishi wa habari walijaribu kuwahoji wachezaji wa Alhaly Ally dhini ya kujuaa ukubwa wa Simba cl na yanga.

Wachezaji wa Alihy Ally wamesea hawajawahi kukutana na yanga kwasababu ni timu ndogo ila kwa tanzania ni maarufu,wakasema timu kubwa wanaoijua Tanzania na namba moja kwa ubora ni Simba.

Kama muarabu aliyeandikwa kwenye vitabu vyote vya dini amekiri Simba ndio timu bora na amba one Tanzania..wewe ngozi nyeusi mwenye ukurutu mpaka kwenye akili ni nani?maana ake huna akili na medula oblangata na ubongo wa mbele itakuwa na ugonjwa wa ubishi na upumbavu.
Hufai hata kuitwa mtu kama unaweza kubeza race yako kwa kiwango hichi utu wako hauna thamani..!
Anahasara uliekaa tumboni mwake.
 
Hapo vip!

Leo ilikuwa nawasikiliza waandishi wa habari walijaribu kuwahoji wachezaji wa Alhaly Ally dhini ya kujuaa ukubwa wa Simba cl na yanga.

Wachezaji wa Alihy Ally wamesea hawajawahi kukutana na yanga kwasababu ni timu ndogo ila kwa tanzania ni maarufu,wakasema timu kubwa wanaoijua Tanzania na namba moja kwa ubora ni Simba.

Kama muarabu aliyeandikwa kwenye vitabu vyote vya dini amekiri Simba ndio timu bora na amba one Tanzania..wewe ngozi nyeusi mwenye ukurutu mpaka kwenye akili ni nani?maana ake huna akili na medula oblangata na ubongo wa mbele itakuwa na ugonjwa wa ubishi na upumbavu.
Kichwani umejaza mavi kwa kweli!!! Khaaaa!!

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Hapo vip!

Leo ilikuwa nawasikiliza waandishi wa habari walijaribu kuwahoji wachezaji wa Alhaly Ally dhini ya kujuaa ukubwa wa Simba cl na yanga.

Wachezaji wa Alihy Ally wamesea hawajawahi kukutana na yanga kwasababu ni timu ndogo ila kwa tanzania ni maarufu,wakasema timu kubwa wanaoijua Tanzania na namba moja kwa ubora ni Simba.

Kama muarabu aliyeandikwa kwenye vitabu vyote vya dini amekiri Simba ndio timu bora na amba one Tanzania..wewe ngozi nyeusi mwenye ukurutu mpaka kwenye akili ni nani?maana ake huna akili na medula oblangata na ubongo wa mbele itakuwa na ugonjwa wa ubishi na upumbavu.
Usisahau na wamesema kabisa yanga kuifunga simba goal 5 haimaanishi yanga ni kubwa kuliko simba huwa inatokea team ndogo kufunga timu kubwa ni bahati🤣🤣🤣🤣🤣

Alooo syanga wameshapigwa kisaikolojia teyari kesho kazi inamalizwa uwanjani mapema kabisa.
 
Hiyo ni baada ya Kaizer Chiefs kusema Tanzania timu wanayoijua ni Simba hatimaye leo nao watani zetu Al Ahly wamekuja kutoa recognition kwa mnyama.

Mwandishi alipomuuliza kuhusu Yanga akasema anaijua Yanga ni timu kubwa Tanzania ila ni namba 2 kwasababu namba moja ni Simba
 
Usisahau na wamesema kabisa yanga kuifunga simba goal 5 haimaanishi yanga ni kubwa kuliko simba huwa inatokea team ndogo kufunga timu kubwa ni bahati🤣🤣🤣🤣🤣

Alooo syanga wameshapigwa kisaikolojia teyari kesho kazi inamalizwa uwanjani mapema kabisa.
Asante
 
Hapo vip!

Leo ilikuwa nawasikiliza waandishi wa habari walijaribu kuwahoji wachezaji wa Alhaly Ally dhini ya kujuaa ukubwa wa Simba cl na yanga.

Wachezaji wa Alihy Ally wamesea hawajawahi kukutana na yanga kwasababu ni timu ndogo ila kwa tanzania ni maarufu,wakasema timu kubwa wanaoijua Tanzania na namba moja kwa ubora ni Simba.

Kama muarabu aliyeandikwa kwenye vitabu vyote vya dini amekiri Simba ndio timu bora na namba one Tanzania..wewe ngozi nyeusi mwenye ukurutu mpaka kwenye akili ni nani?maana ake huna akili na medula oblangata na ubongo wa mbele itakuwa na ugonjwa wa ubishi na upumbavu.
Hongereni kwa kusifiwa na Al Ahly, juzi kati tena rais wa FIFA kamgeukia try again umbali wa mita tano na kumsifia mpo vizuri kwa kusifiwa.
 
Usisahau na wamesema kabisa yanga kuifunga simba goal 5 haimaanishi yanga ni kubwa kuliko simba huwa inatokea team ndogo kufunga timu kubwa ni bahati🤣🤣🤣🤣🤣

Alooo yanga wameshapigwa kisaikolojia teyari kesho kazi inamalizwa uwanjani mapema kabisa.
Yanga inabidi wakubali tu kuwa wao bado ni immature hata Al Ahly kwenye mechi ya Yanga hajawa na maandalizi makubwa kama aliyofanya kwetu sisi

Kipindi anajiandaa kucheza na sisi walikaa almost wiki na nusu bila mechi yeyote na katika hizo siku wachezaji walizuiwa kushika simu zao.

Lakini mechi ya kesho ni kama Al Ahly wamestukizwa tu katikati ya ratiba zao.

Baada ya Al Ahly kucheza mechi yao ya kwanza ya group stage tarehe 25, juzi tarehe 28 kaingia kupiga mechi ya ligi kuu

Lakini ratiba ingekuwa inamkutanisha Al Ahly na timu kubwa basi hii mechi ya juzi tarehe 28 ingesogezwa mbele ili kujipa muda wa kujiandaa zaidi.

Al Ahly katika mechi zake dhidi ya Simba mpaka sasa hakuna bingwa, tumefungana mara tatu na sare zipo 3

Wakati katika mechi nne walizokutana Yanga na Al Ahly, Yanga kashinda mechi moja na sare moja zilizobaki ni vipigo.

Halafu bado Gongowazi wanakuja kumvalia Al Ahly misuli
 
Back
Top Bottom