Yanga ndio timu mbovu kwa sasa kwenye hatua ya robo final club bingwa

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
2,070
3,705
Hapo vip!!

Mpira ni mchezo wa wawazi na data hazidanganyi.

Kwa tathmini inavyoonyesha yanga ndio timu dhaifu na mbovu kwa sasa katika hatua hii ya robo final club bingwa kwasababu zifuatazo:

1. Ndio timu pekee iliyoingia na point chache na za mwisho kuliko timu zote.

2. Ndio timu inayoongoza kwa kufungwa magoli mengi kwenye hatua ya makundi.

3. Simba ilipocheza na Ally ALHALY wakati wa super league wame draw ndani na nje ila yanga wamedraw ndani nje wakafungwa goli moja.

4. Belouizdad walicheza walewachezaji wa akiba,ambao ni Belouizdad namba 2, hivyo timu mbovu ingeweza kuwafunga hata Tabora boys wangewafunga nne.

5. Wanaomba wakutane na ASEC kwasababu ya ubovu wao.
 
Hapo vip!!

Mpira ni mchezo wa wawazi na data hazidanganyi.

Kwa tathmini inavyoonyesha yanga ndio timu dhaifu na mbovu kwa sasa katika hatua hii ya robo final club bingwa kwasababu zifuatazo:
1.Ndio timu pekee iliyoingia na point chache na za mwisho kuliko timu zote.
2.Ndio timu inayoongoza kwa kufungwa magoli mengi kwenye hatua ya makundi.
3.Simba ilipocheza na Ally ALHALY wakati wa super league wame draw ndani na nje ila yanga wamedraw ndani nje wakafungwa goli moja.
4.Belouizdad walicheza walewachezaji wa akiba,ambao ni Belouizdad namba 2,hivyo timu mbovu ingeweza kuwafunga hata Tabora boys wangewafunga nne.
Inaonekana hujagongwa cha usubuhi wewe....

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Hapo vip!!

Mpira ni mchezo wa wawazi na data hazidanganyi.

Kwa tathmini inavyoonyesha yanga ndio timu dhaifu na mbovu kwa sasa katika hatua hii ya robo final club bingwa kwasababu zifuatazo:
1.Ndio timu pekee iliyoingia na point chache na za mwisho kuliko timu zote.
2.Ndio timu inayoongoza kwa kufungwa magoli mengi kwenye hatua ya makundi.
3.Simba ilipocheza na Ally ALHALY wakati wa super league wame draw ndani na nje ila yanga wamedraw ndani nje wakafungwa goli moja.
4.Belouizdad walicheza walewachezaji wa akiba,ambao ni Belouizdad namba 2,hivyo timu mbovu ingeweza kuwafunga hata Tabora boys wangewafunga nne.
KoLo usitusumbue

Tomu yako ilibebwa na kanuni , udozingue . Chagua kati ya Al Ahly na Mamelodi nafuu kwako ni yupi. Halafu uje ujifariji
 
Bwana mdogo, acha nikupe facts Hapa ili twende sawa:

1. Level ya Mpira katika makundi Yanga ilikuwa ya 3 huku Al ahly ya 1 na CRB ya 2. Lakini sisi wa 3, tumefuzu tukiwa na Game 1 mkononi. Je, nyie mliokua na level 2 mmefuzu vipi?

2. Magoal mengi ya kufungwa. Ni kweli tumefungwa mengi. Lakini tumefunga pia mangapi? Goal difference iko +.

3. Goli nyingi za kufungwa. Yes, CRB ndio chanzo cha sisi kufungwa goli nyingi, lakini rematch tumewafunga 4, i.e +1. Kwamba CRB walichezesha Team B, nikusaidie bwana mdogo, dak 90 zile, Team A Players karibu wote waliingia so tumewafunga both Team A na B. Pia chanzo cha wao kutupiga 3, ni tulikua na kipa wa Team B na wrong game approach ya Gamondi na sio ubovu.

Simba kwa level ya CAF stastistically, mko juu kuliko Sisi, the fact that uko na mawazo ya kufanya ulinganisho na sisi, basi ujue tumewasuprise.

NB; Team kubwa duniani kote, kwenye makundi hufuzu mapema.
 
Mimi ni Simba, ila sisi ndio timu mbovu kwenye hatua ya robo. Hatuna striker kabisa, na hiyo ni hatua ngumu, nafasi zinakuwa chache ukishindwa kutumia mwenzako anatumia.

Wale mastriker urefu tu ila ni kichekesho, aliyesimamia usajili wao ni tapeli kapiga hela ya juu.

Mara 10 wangebaki Baleke na Phiri.
 
Hapo vip!!

Mpira ni mchezo wa wawazi na data hazidanganyi.

Kwa tathmini inavyoonyesha yanga ndio timu dhaifu na mbovu kwa sasa katika hatua hii ya robo final club bingwa kwasababu zifuatazo:
1.Ndio timu pekee iliyoingia na point chache na za mwisho kuliko timu zote.
2.Ndio timu inayoongoza kwa kufungwa magoli mengi kwenye hatua ya makundi.
3.Simba ilipocheza na Ally ALHALY wakati wa super league wame draw ndani na nje ila yanga wamedraw ndani nje wakafungwa goli moja.
4.Belouizdad walicheza walewachezaji wa akiba,ambao ni Belouizdad namba 2,hivyo timu mbovu ingeweza kuwafunga hata Tabora boys wangewafunga nne.
5.wanaomba wakutane na ASEC kwasababu ya ubovu wao.
Hii imekaa vizuri kwa vile yanga mbovu sisi tunawaombea mpangwe na mamelody sundowns
 
Hapo vip!!

Mpira ni mchezo wa wawazi na data hazidanganyi.

Kwa tathmini inavyoonyesha yanga ndio timu dhaifu na mbovu kwa sasa katika hatua hii ya robo final club bingwa kwasababu zifuatazo:
1.Ndio timu pekee iliyoingia na point chache na za mwisho kuliko timu zote.
2.Ndio timu inayoongoza kwa kufungwa magoli mengi kwenye hatua ya makundi.
3.Simba ilipocheza na Ally ALHALY wakati wa super league wame draw ndani na nje ila yanga wamedraw ndani nje wakafungwa goli moja.
4.Belouizdad walicheza walewachezaji wa akiba,ambao ni Belouizdad namba 2,hivyo timu mbovu ingeweza kuwafunga hata Tabora boys wangewafunga nne.
5.wanaomba wakutane na ASEC kwasababu ya ubovu wao.
tuseme ndio mbovu,inakuwasha nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom