INAWEZEKANAJE MWANAUME MWEUSI UNAKUWA NA WATOTO WEUPE?

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
2,070
3,705
Hapo vip!!
Kuja jambo moja huwa linanishangaza,eti unalikuta lijamaa jeusi,alafu anawatoto weupe.. na yeye anajisifia eti nimetoa rangi ya mtume..hiyo rangi umeitoa kutoka wap?

Hivi mzungu anaweza kuwa na mzingu mwenzake akazaa watoto weusi..hapo itakuwaje.

Nawashauri wanaume weusi jitahidini muwapate watoto wanaofanana na nyie kwa kila kitu hususani rangi..sio unatoka na mtoto,watu wanadhani upo unatembea tembea na mtoto wa jirani.
 
Hayakuhusu, achana na furaha za watu, cha maana wana furaha na Amani.
 
Hapo vip!!
Kuja jambo moja huwa linanishangaza,eti unalikuta lijamaa jeusi,alafu anawatoto weupe.. na yeye anajisifia eti nimetoa rangi ya mtume..hiyo rangi umeitoa kutoka wap?

Hivi mzungu anaweza kuwa na mzingu mwenzake akazaa watoto weusi..hapo itakuwaje.

Nawashauri wanaume weusi jitahidini muwapate watoto wanaofanana na nyie kwa kila kitu hususani rangi..sio unatoka na mtoto,watu wanadhani upo unatembea tembea na mtoto wa jirani.
Elimu elimu elimu, nasikitika kwamba licha ya jitihada za kuondoa ujinga hatujafanikiwa hata 50% kama nchi
 
Hapo vip!!
Kuja jambo moja huwa linanishangaza,eti unalikuta lijamaa jeusi,alafu anawatoto weupe.. na yeye anajisifia eti nimetoa rangi ya mtume..hiyo rangi umeitoa kutoka wap?

Hivi mzungu anaweza kuwa na mzingu mwenzake akazaa watoto weusi..hapo itakuwaje.

Nawashauri wanaume weusi jitahidini muwapate watoto wanaofanana na nyie kwa kila kitu hususani rangi..sio unatoka na mtoto,watu wanadhani upo unatembea tembea na mtoto wa jirani.
Mke wake ni mweusi au mweupe?
 
Wenyewe wana kamsemo kao ka "Kitanda hakizai haramu".

20240312_123740.jpg

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Unafahamu kuhusu vinasaba?
Wewe ni mweusiii.ila una vinasaba vya watu weupe!mfano bibi mzaa bibi yako alikuwa mweupeee na hukufanikiwa kumuona!!?huyo ni mwanao,usiangalie rangi,angalia sura,tabia,mienendi,nk.
Yaaani mtoto wako utamjua tu.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu ni weusi wote baba na mama lakini wanazaa albino.

BTW kitanda hakijawahi kuzaa haramu
 
Back
Top Bottom