Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,070
- 3,705
Hapo vip!!
Nimeona hili niliweke wazi na niwaandae wachezaji na washabiki wa yanga kisaikologia.
Sababu za kuona yanga ikiishia hatua ya makundi club bingwa ni hizi.
Nimeona hili niliweke wazi na niwaandae wachezaji na washabiki wa yanga kisaikologia.
Sababu za kuona yanga ikiishia hatua ya makundi club bingwa ni hizi.
- Yanga ni timu ndogo sana katika barani Afrika..haipo hata kwenye timu bora 20 bora Afrika.
- Yanga inacheza na timu kubwa na bora barani Afrika,Ally ahly ni timu ya kwanza kwa ubora barani Afrika na Belazdad ni timu namba 4 kwa ubora barani Afrika.
- Hizi timu kubwa zina wachezaji professional na wenye viwango vikubwa na thamani kubwa ukilinganisha na wachezaji wa Yanga.
- Yanga hawana uzoefu wa kucheza michuona ya kimataifa kwasababu ya udogo wao..kuchukua kombe la ligii kuu sio kipimo sahihi cha ubora wa timu kwasababu waamuzi wa ndani hubeba timu mbovu ikachukua kombe kwasababu ya rushwa baasha,uwezo mdogo wa kuchezesha,ushabiki dhidi ya hiyo timu mbovu n.k
- Ubora wa yanga ni kwenye kombe la shirikisho na sio club bingwa..(looser ligi)na si vingenevyo.
- Yanga hawana uwezo wa kusajili wachezaji professional wa kuanzia bilioni na kuendelea kama wapinzani wao..wanalokota lokota walevi kama wakina Okra
- Yanga imeachiwa laana na baba yake SIMBA sc(mfalme wake Simba sc) kwasababu hana heshima na ajitambui na udogo na ubovu wake..ukitaka kufanikiwa appreciate maendeleo ya aliyekuzidi nipo utabarikiwa na kuendelea.