Hii ndoto ina maana gani?

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
2,070
3,705
Hapo vip!!

Naomba mtu mwenye tafsiri kamili ya hii ndoto.

Jana nimeota nipo eneo fulani hivi, nikiangalia nimevaa shati jeupe na kuna watu nipo naona karibu japi siwajui ila miongoni mwa hao watu akawa kuna mmoja kama anajaribu kukwepa ndege anayeitwa popo anayezinguka juu akipaa akiwa anamnyea huyo mtu.

Gafla huyo ndege akaanza kunielekea mimi na akaanza kuninyea kichwani akiwa juu nikawa nawakimbilia hao watu kukwepa yule ndege asininyee ila haikusaidia nilipo zinduka usingizini nikawa nahisi kama ni tukio la kweli then nikaanza kusikia kichwa kinauma mpaka sasa bado kichwa kinaniuma uma. Usiku huo nimefanya maombi ila nahisi naitaji kuchukua hatua zaidi.

Sasa ndugu zangu mwenye uwelewa wa haya mambo naomba anifafanuliwe kuhusu hilo.
 
ulitembelewa na kundi la wachawi,ila huyo popo alikuwa akikumbiza kiaina kuwakimbia hao wa2,usjali uatapona
 
Hapo vip!!

Naomba mtu mwenye tafsiri kamili ya hii ndoto.

Jana nimeota nipo eneo fulani hivi, nikiangalia nimevaa shati jeupe na kuna watu nipo naona karibu japi siwajui ila miongoni mwa hao watu akawa kuna mmoja kama anajaribu kukwepa ndege anayeitwa popo anayezinguka juu akipaa akiwa anamnyea huyo mtu.

Gafla huyo ndege akaanza kunielekea mimi na akaanza kuninyea kichwani akiwa juu nikawa nawakimbilia hao watu kukwepa yule ndege asininyee ila haikusaidia nilipo zinduka usingizini nikawa nahisi kama ni tukio la kweli then nikaanza kusikia kichwa kinauma mpaka sasa bado kichwa kinaniuma uma. Usiku huo nimefanya maombi ila nahisi naitaji kuchukua hatua zaidi.

Sasa ndugu zangu mwenye uwelewa wa haya mambo naomba anifafanuliwe kuhusu hilo.
Endelea kuvunja hayo mafundo ya kichawi kwa damu ya Yesu, Yesu kakushindia tayari ila kazan a kuomba kwa Imani ili wachomoke mapepo wote waliokuingia kama silaha kwako!
 
Ndoto hutafsiriwa kutokana na matukio unayopitia maishani mwako.
Unapitia Nini?,magomvi?,kukosa maelewano?familia zako?marafiki?

Hayo ndo mambo ambayo ukiunganisha unapata tafsiri.sasa mwenzangu unamuomba mtu wa mtandaoni akutafsirie anakujua?
 
Sidhani mpaka umujue mtu ndio akutafsirie ndoto...inamfsiriwa na mtu hata kama hakufahamu
 
Hapo vip!!

Naomba mtu mwenye tafsiri kamili ya hii ndoto.

Jana nimeota nipo eneo fulani hivi, nikiangalia nimevaa shati jeupe na kuna watu nipo naona karibu japi siwajui ila miongoni mwa hao watu akawa kuna mmoja kama anajaribu kukwepa ndege anayeitwa popo anayezinguka juu akipaa akiwa anamnyea huyo mtu.

Gafla huyo ndege akaanza kunielekea mimi na akaanza kuninyea kichwani akiwa juu nikawa nawakimbilia hao watu kukwepa yule ndege asininyee ila haikusaidia nilipo zinduka usingizini nikawa nahisi kama ni tukio la kweli then nikaanza kusikia kichwa kinauma mpaka sasa bado kichwa kinaniuma uma. Usiku huo nimefanya maombi ila nahisi naitaji kuchukua hatua zaidi.

Sasa ndugu zangu mwenye uwelewa wa haya mambo naomba anifafanuliwe kuhusu hilo.
Kuna muungwana moja hapo kaisha kusanua. Kwenye hiyo ndoto kuna vitu viwili umejulishwa -:

1. Ushirikina - popo na hao watu ulowaona karibu na wewe ni majirani wanaochawiwa au wanakusudia kukuchawia wewe kutoka mbali au karibu. wanakutumia makombora ya mizimu na majini

2. Umauti - nguo nyeupe ni sanda pia wa kivaa nguo nyeupe ni malaika

Hivi vitu viwili tangu saasa yafaa kufanya maombi binafsi na ya pamoja ya nguvu sana. Usizembee hata kidogo.
Kemea hizo roho mbili mbaya zinazozengea na kuzonga maisha yako...
Kama hauna safari muhimu tulia tu nyumbani hasa kipindi hiki cha sikuu...
 
Aisee!sawa
 
Back
Top Bottom