Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,070
- 3,705
Hapo vipi?
Kuna jambo nimejifunza sana kwenye hii michuano ya club bingwa.
Kwanza uelewe hizi timu zinazocheza ni bora sana, hilo ni la kwanza kabisa.
Hivyo wanapokuja katika michuano hii hawachezi kwa lengo la kumiliki mpira na kushambulia ila wanacheza technically (mpira wa akili na wamaarifa za hali ya juu).
Yanga naona amekuja kama mshamba fulani katika michuano hii. Mfano wake mrahisi ni sawa sawa na mtu aliyetoka porini au kijiji akafika mjini akaanza kufanya mambo ambaya yanautambulisha ushamba wake. Yaani kuwaona watu wa mji ule hawajui hizo swaga zake, kumbe zilishapitwa na wakati.
Hivyo hizi timu bora na zenyeuzoefu na michuano hii zinatumia ushamba wa Yanga kucheza technically na kuondoka na point kilaini. Kwa hiyo ulemmchezo wa yanga ni mpira inayochezwa na timu inayoitwa siamini kushiriki mashindano haya.
Yanga inaweza kufungwa karibia mechi zote katika league hii, hata kesho kuna magoli yasiopungua 2 au matatu.
Angalia hata Ally Ahly alivyocheza na Yanga, hana pressure wala haraka.