Mwanaume mwenye akili afungi ndoa na mwenye akili zaidi haoi!

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
2,070
3,705
Hapo vip? Huu ni utafiti niliofanya muda mrefu.

Nimegundua wanaume wenye akili hawafungi ndoa na wanawake, mfano Ronado, Micky Tyson, Alon Musk huyu nitajiri wa kwanza Duniani,R.kelly,50 cent n.k

Na wenye akili zaidi hawahoi wala hawataki kufanya mapenzi, mfano; Galie Galie, Sir Issack Newton, Dr. Greygory Parelman, huyu ni mrusi genius wa hesabu, Archmedes huyu ni baba wa hesabu Duniani, Albert Einstein, n.k

Mtu ukishafunga ndoa maana yake ni kwamba;
1. Upo gerezani kwasababu ukifurukuta mnagawana kila kitu.
2. Mwanamke akiwa pasua kichwa mfano malaya, n.k, utaendelea kutumia gereza lako kwa stress na msongo wa mawazo.
3. Kwa maana nyingine unakuwa chini ya mtu na anawezekana akawa mjinga mjinga au mpumbavu.
 
Ndoa ni mpango wa Mungu mdogo wetu tafuta Hela za kutosha kugawana bila kufirisika ikitokea mmeachana Jeff bezos alivyoachana na mkewe alikomba mpunga wa kutosha kumfanya awe tajir number Moja mwanamke Duniani ila jeff bezos alibak palepale kua tajir number mbili Dunian Wala hakuyumba
So mdogo wetu kama unaogopa kugawana masufuria siku ikiachwa nakushaur tafuta Hela za kutosha kununua masufuria ya kusaza
 
Hii misemo tunasikia kwenye kichen part,kuwatia moyo wanandoa
 
kwamba;
1. Upo gerezani kwasababu ukifurukuta mnagawana kila kitu.
2. Mwanamke akiwa pasua kichwa mfano malaya, n.k, utaendelea kutumia gereza lako kwa stress na msongo wa mawazo.
3. Kwa maana nyingine unakuwa chini ya mtu na anawezekana akawa mjinga mji
Mkuu,
Kwanza kabisa pointi zote hizo ni sawa.
1. Kugawana mali, huwezi kwenda kumchukua mtoto wa watu anakukuta unalala na vyombo na ndoo za maji, ankuzalia watoto, anakutia moyo upambane, unapata emotional comfort, anakushauri ufanye nini. At the end mmechokana unataka msigawane mali huo ni ubinafsi hutaki kuona contibution yake kwenye maisha yako.
Otherwise akukute una kila kitu hapo sheria itatumika zaidi.

2. Mwanamke kuwa na tabia umalaya.
Hio sio pointi ya kujustify mtu asioe, unaendelea kunga’nga’nia ndani ya gerez hilo kwa hofu ya kugawana mali ambayo ni roho mbaya. Wakati alikusaidia. Ni maamuzi yako kuvunja hio ndoa au uendelee kuwa ndani ya gereza hilo. Muda mwingine ndoa azivunjwi haraka sababu ya watoto pia.
Mke kuwa malaya huenda ni wewe amekuchoka kwa sababu zako, humpi muda, humtunzi au humridhishi.

😂😂 nitakuja kutoa uzi wangu hapa nilikuwa naongea na mzee wangu namuambia nataka kuoa ila anipe sababu kwanini nioe kanisani na sio ndoa za mila kama zamani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom