Changamoto zifuatazo zipo Ofisi za uhamiaji Arusha

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
2,070
3,705
Hapo vipi,

Kwanza niseme ngozi nyeusi chini ya hii sayari ndio race inayongoza kufanya vibaya Duniani kwa sababu kadha wa kadha.

Nije kwenye mada husika, kiukweli Migration ya Arusha inatia aibu kubwa sana. Kwanza, wale watu wa mapokezi wana kauli chafu sana kwa watu wanaokuja kushughilikia maswala yao ya uhamiaji, especial pale getini. Kuna dada mmoja mwembamba mweusi kauli yake ni chafu sana na yenye madharau dhidi ya wananchi, nahisi pia kiwango kidogo cha elimu inachangia.

2. Majengo ya migration yamezeeka utafikiri unaingia sero au kwenye mahame fulani. Yaani unaanza kuwajaji watu wanaofanya kazi mle kulingana na majengo na ni kweli tabia zao hazitofautiani na majengo yao.

3. Kwanini ofisi za magereza zinachanganywa na migration, kwa haraka haraka utafikiri unaingia magereza.

Image unafika kushughulikia mambo yako ya migration alafu anakupokea askari magereza ,kwanini wewe ni mfungwa?ngozi nyeusi bhana

MWENYE KERO ZINGINE TUPIA HAPA TUSHARE EXPERIENCE YA CHANGAMOTO.
 
Wanapenda sana Rushwa hao immigration wa Arusha.

Kuna mmoja nilimpa laki mbili akakenua kwa furaha hadi koromeo likaonekana. Alinipa huduma zote huku ananitetemekea kwa adabu na utii.

Ukiwa na hela hao unawafanya utakavyo kama majibwa. HAWAJITAMBUI.

Laki mbili tu mtu chali, anakenuaa na kujichekesha mpaka unaona aibu. Moyoni unajiuliza "Hili jibwa la wapi?".
 
Back
Top Bottom