Hii ni ishara ya kwamba Simba SC ni timu teule Afrika kutoka kwa Mungu

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
2,070
3,705
Hili tukio la mtoto mdogo kuchagua Simba sc baada ya kuwekewa nembo ya Simba na yanga, kisha akachagua Simba sc ni ishara yakwamba Simba sc ndio timu teule kutoka kwa Mungu kuiwakilisha Tanzania, Afrika mashariki na kati,na Afrika kwa ujumla Duniani kote kama Timu bora ya nyakati zote.

Pia kitendo cha Chasambi kukataa mshahara wa millioni 6 Yanga na kukubali mshahara wa millioni 2 Simba, tafsiri yake au sababu ya msingi ni kwamba Chasambi ameangaalia ukubwa wa Simba sc na Yanga, akaona ni bora achezee timu kubwa na bora Tanzania,afrika mashariki na kati na timu inayojiandaa kucheza kombe la Dunia la vilabu kwa sh.milioni 2 ili apate exposure Duniani.

Ni ukweli usiofichika na usioweza kufichika ya kwamba Simba sc ndio mfalme na Baba wa football kwa ubora namba moja Tanzania,Afrika mashabiki na kati kwa kipindi kilichopita,kwa sasa na kwa nyakati zote.

Pia nilichokiona washabiki wengi wa Simba sc hawapendi malumbano sana ila wanaongea kwa vitendo kama timu yao ilivyo..mfano kupewa taji la washabiki bora Afrika.
 
View attachment 2855148
Huyo mtoto akipimwa vizuri atagundulika na kifafa cha akili
N:B: msiniulize nimejuaje tatizo hili huwakumba mashabiki wote wa hiyo timu
 
Hili tukio la mtoto mdogo kuchagua Simba sc baada ya kuwekewa nembo ya Simba na yanga, kisha akachagua Simba sc ni ishara yakwamba Simba sc ndio timu teule kutoka kwa Mungu kuiwakilisha Tanzania, Afrika mashariki na kati,na Afrika kwa ujumla Duniani kote kama Timu bora ya nyakati zote.

Pia kitendo cha Chasambi kukataa mshahara wa millioni 6 Yanga na kukubali mshahara wa millioni 2 Simba, tafsiri yake au sababu ya msingi ni kwamba Chasambi ameangaalia ukubwa wa Simba sc na Yanga, akaona ni bora achezee timu kubwa na bora Tanzania,afrika mashariki na kati na timu inayojiandaa kucheza kombe la Dunia la vilabu kwa sh.milioni 2 ili apate exposure Duniani.

Ni ukweli usiofichika na usioweza kufichika ya kwamba Simba sc ndio mfalme na Baba wa football kwa ubora namba moja Tanzania,Afrika mashabiki na kati kwa kipindi kilichopita,kwa sasa na kwa nyakati zote.

Pia nilichokiona washabiki wengi wa Simba sc hawapendi malumbano sana ila wanaongea kwa vitendo kama timu yao ilivyo..mfano kupewa taji la washabiki bora Afrika.
View attachment 2855148
Timu teule kwa Mungu haina hata kombe moja la CAF

Je timu zenye makombe kadhaa?
 
Timu teule inapigwa Kono la nyani

Acha kumuhusisha Mungu kwenye vitu vya kipumbavu
 
Mbona unamtaja Mungu kijinga sana hivi!
Halafu umeshindwa kuelewa kitu hapo, huyo mtoto sio kwamba kachagua Simba. Hapo akiwekewa tena anaweza kugusa chochote tu
 
Hili tukio la mtoto mdogo kuchagua Simba sc baada ya kuwekewa nembo ya Simba na yanga, kisha akachagua Simba sc ni ishara yakwamba Simba sc ndio timu teule kutoka kwa Mungu kuiwakilisha Tanzania, Afrika mashariki na kati,na Afrika kwa ujumla Duniani kote kama Timu bora ya nyakati zote.

Pia kitendo cha Chasambi kukataa mshahara wa millioni 6 Yanga na kukubali mshahara wa millioni 2 Simba, tafsiri yake au sababu ya msingi ni kwamba Chasambi ameangaalia ukubwa wa Simba sc na Yanga, akaona ni bora achezee timu kubwa na bora Tanzania,afrika mashariki na kati na timu inayojiandaa kucheza kombe la Dunia la vilabu kwa sh.milioni 2 ili apate exposure Duniani.

Ni ukweli usiofichika na usioweza kufichika ya kwamba Simba sc ndio mfalme na Baba wa football kwa ubora namba moja Tanzania,Afrika mashabiki na kati kwa kipindi kilichopita,kwa sasa na kwa nyakati zote.

Pia nilichokiona washabiki wengi wa Simba sc hawapendi malumbano sana ila wanaongea kwa vitendo kama timu yao ilivyo..mfano kupewa taji la washabiki bora Afrika.
View attachment 2855148
Ila Simba mko desperate sana sasa hivi. Mko kama mtu ambaye anataka kuzama kwenye maji ya kina kirefu, huwa anashikilia chochote, hata udenda, ili asizame.
 
Back
Top Bottom