Afrika tutapata maendeleo endapo tutawapa wazungu nafasi ya Urais na Mawaziri

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
2,070
3,705
Hapo vip!!

Huu ndio ukweli ulete hoja zako za kiafrika haiwezi kubadilisha huu ukweli.

Ukweli ni unadhihirishwa wazi na maendeleo ya Afrika tangu tuanze kupata uhuru..na kuna baadhi a nchi za wazungu walikuwa wapo chini kimaendeleo kuliko hizi nchi zetu za Afrika mfano sirilanka,maleysia n.k ila sasa waafrika wanaomba msaada kwao.

Ngozi nyeusi bado haiwezi kuleta maendeleo kwa haraka zaidi ya kukalia hizo nafasi kama kebichi tu.

Hapa utasikia wengine wakisema mara oo unajidharau kwenda huko..huo ndio ukweli. Mfano wa kweli, kuna muarabu mmoja alipewaga vichwa viwili vya scanya na muafrika ambaye alikuwa tajiri enzi hizo..yeye alikuwa na scanya kama 50.

Baada ya miaka 10 huyo muarabu akaja kuonana na huyu muafrika tajiri..akamuambia vip maendeleo ya biashara zako..muafrika akamuambia sasa hivi nina scanya 100, yule muarabu akasema pole kama kumuonea huruma hivi,mwarabu akamuambia sasa hivi yeye anascanya 500 magari madogo hawezi kuhesabu na anamakampuni kama 10.

Ila muarabu mwishowe akasema laiti Mungu angeonekana,waafrika nawashauri mumtafute mzee mwenye nywele nyeupe kichwani asiwe hata na nywele moja nyeusi,alafu ajiburuze kwa Mungu kwa kutumia makalio tena kwa unyenyekevu mkubwa akamuulize Mungu swali yakwamba Baba hivi sisi waafrika tumekukosea nini kwasababu sisi waafrika ni masikini sana na tunarasilimali za kutosha. NB hii ni story ya kweli.

Ndugu yangu,umasikini wanaoishi nao watanzani kwa asilimia 80 inachangiwa na aina viongozi na mifumo ya uongozi katika nchi. Hapa watakuja wakina kalume kenge watakuambia serikali haikuletee pesa wa kukuwekea mfukoni,au fanya kazi acha kulalamika haya ni hoja ya kisiasa ya kukwepa ualisi na ukweli.

Tanzania unaweza jituma kwenye biashara,kilimo,ufugaji,kusoma lakini mazingira sio rafiki kumsaport mtanzania anayejituma na kufanya kazi.

Mfano mdogo nibhu,Leo kijana wakitanzania anaweza kuanzisha biashara,akawa na plan kubwa katika biashara hiyo..kijana huyu akitaka mkopo wa millioni 5,10,20 na kundelea ataambiwa awe na nyumba,sasa huyu kijana katoka chuo juzi hiyo nyumba amejenga lini?

Huo ni mfano halisi..niishia hapo kwa kutoa huo mfano mrahisi.

Ila serikali bado haijawa sereous kuwasaidia watanzania kuondokana na umaskini..siasa ni nyingi sana kila mahali siasa na uchawi nadhani ni marafiki.
 
Sports zote ambazo wameshikilia wadhungu wameshashinda world cup ila kwenye soka ambapo wamekaa mijitu meusi kuqualify tuu imekuwa shida
Muafria analaana ya asili..alafu wanaongoza kwa kubishana na facts na ukweli Duniani
Sports zote ambazo wameshikilia wadhungu wameshashinda world cup ila kwenye soka ambapo wamekaa mijitu meusi kuqualify tuu imekuwa shida
 
Hapo vip!!

Huu ndio ukweli ulete hoja zako za kiafrika haiwezi kubadilisha huu ukweli.

Ukweli ni unadhihirishwa wazi na maendeleo ya Afrika tangu tuanze kupata uhuru..na kuna baadhi a nchi za wazungu walikuwa wapo chini kimaendeleo kuliko hizi nchi zetu za Afrika mfano sirilanka,maleysia n.k ila sasa waafrika wanaomba msaada kwao...
Hizo ni porojo we hujui hata maana ya maendeleo
 
Suluhisho ni Elimu tu.

WATANZANIA WAKIPATA ELIMU BASI KILAKITU KITAENDA SAWA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Suluhisho ni Elimu tu.

WATANZANIA WAKIPATA ELIMU BASI KILAKITU KITAENDA SAWA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Wapi wewe mtu mweusi hata awe professor huwezi fananisha na mzungu sisi tuna roho mbaya, wivu , uchoyo na ulafi hii ni watu wote weusi tupo hivyo cha msingi tuwaridishe wazungu tu hakuna namna tumeshindwa kujitawala, hao viongozi wetu familia zao zipo ulaya na hela zao wanaficha ulaya huku kwao umasikini umetawala
 
Wapi wewe mtu mweusi hata awe professor huwezi fananisha na mzungu sisi tuna roho mbaya, wivu , uchoyo na ulafi hii ni watu wote weusi tupo hivyo cha msingi tuwaridishe wazungu tu hakuna namna tumeshindwa kujitawala, hao viongozi wetu familia zao zipo ulaya na hela zao wanaficha ulaya huku kwao umasikini umetawala
Elimu ya uhakika na sio elimu za hovyo kama zitolewazo sasa.

ELIMU
ELIMU
ELIMU

ENDELEA KUBISHA, LAKINI ELIMU NDIO MKOMBOZI WA KIZAZI HIKI.
 
Hapo vip!!

Huu ndio ukweli ulete hoja zako za kiafrika haiwezi kubadilisha huu ukweli...
"Tuliwakataa, tuliwatenga na kuwaengua kabisa WATU WEUSI katika mchakato wa maendeleo ya nchi na ujenzi wake kwa sababu HAWANA AKILI NZURI, endapo kama tungewajumuisha, basi wangetuharibia mambo yetu mazuri yaliyopo Afrika ya Kusini leo hii."

Pieter W. Botha, aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kusini enzi za Ubaguzi wa rangi.
 
Elimu ya uhakika na sio elimu za hovyo kama zitolewazo sasa.

ELIMU
ELIMU
ELIMU

ENDELEA KUBISHA, LAKINI ELIMU NDIO MKOMBOZI WA KIZAZI HIKI.
Elimu gani mkuu ina maana watu weusi wote hawajaelimika sehemu za watu weusi hata marekani kuna matatizo tu ukimwi, wizi na hakuna usalama mtu mweusi ni tatizo duniani
 
Mfano Africa ya kusini wangewaacha makaburu mpaka leo nchi yao ingekuwa na maendeleo mara mia ya sasa.
Kwanza wangedhibiti wahamiaji wa hovyo.

Ma sisi pia bora hata tungetawaliwa ma muingereza nafuu ingekuwepo tofauti na ujinga unaoendelea sasa.
 
Elimu gani mkuu ina maana watu weusi wote hawajaelimika sehemu za watu weusi hata marekani kuna matatizo tu ukimwi, wizi na hakuna usalama mtu mweusi ni tatizo duniani
1) Elimu ya uzalendo
2) Elimu ya kuchukia Rushwa
3) Elimu ya kuwa tayari kuwaondoa wezi serikalini
4) Elimu ya kujiajiri
5) Elimu nzuri na yenye ubora mashuleni

Hizo ni baadhi ya Elimu ambazo zikitiliwa mkazo tokea shule za msingi basi Nchi itapiga hatua.
 
Ili uendelee kwanza lazima uwe mwaminifu haswa

Sisi uaminifu ni zero

Unampa boda kopo la mafuta anasema nakuletea sasa hivi, hiyo imetoka

Unamtuma kijana kitu anauchuna na chenji kama vile ya mama yake ukimuuliza anakuambia daa nilijisahau
Rushwa kila kona hili halitapungua hata siku moja mpaka ajali ni kwa ajili ya Rushwa
Nina mwaka wa 35 hata kuvunjiwa taa sijavunjiwa

Wizi ndio usiseme ni wengi waizi

10% za kazi na tenda kila kona

Hivi tunaweza kuwa hata na viwanda vikazalisha bila kuiba

Dogo anakuja kuomba kazi kabla ya interview anasema kuna ulaji hapa? Au mshahara tu.

Poleni sana mkitakata kuendelea hata mzungu hawezi kuwabadilisha bali wenyewe
 
Ile miaka zaidi ya 400 yautumwa ilichukua vitu vingi sana kwa wajukuu wa hili bara la Africa na sasa wajukuu ndio tunapitia malipo ya muingiliano wa kipindi kile cha utumwa.

Wale machoko wangetuacha tuendelee na ratiba zetu tungeshakuwa imara hadi miaka hii tungekuwa tumeshapiga hatua nakuwa WAKANDA CONTINENT.

Ila tusikate tamaa raia wangu hii vita bado mbichi sana na tukituliza vichwa tutatoboa me ninawakubali sana young blood wenzangu wa kitanzania na kiafrika. Tutatoboa MUNGU anatutazama maana sisi hatuna hatia na hii dhuluma tunayofanyiwa wala hatujachangia kuileta.


Haya mazee yaliyopo serikalini dawa yao inachemka.
 
Back
Top Bottom