Simba SC nawashauri muanzishe vyombo vyenu vya habari

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
2,070
3,705
Hapo vipi?

Naomba nichukue fursa hii kuishauri Simba SC iazishe vyombo vyake vya habari kama television na redio...

Sababu
1. Kwanza Simba SC ni timu kubwa namba 1 na bora Tanzania, Afrika Mashariki na kati.

2. Siasa imeingia kwenye mpira hivyo kuna baadhi ya waandishi wa habari makanjanja, akili ndogo, na wenye njaa kali wanaonunuliwa Laptop ili kupotosha habari za Simba SC na kuipa airtime(kuitetea timu ndogo kwa kutumia vyombo vya habari)

3. Simba SC ni club kubwa Afrika na Duniani kuliko vilabu vyote Afrika mashariki na kati.

4.Simba SC ni club tajiri na inapesa sana hivyo inaweza kumiliki vyombo hivi.

5. Simba ndio mfalme wa soko Afrika mashariki na kati, TFF, CUF na FIFA wamedhibitisha pasipo shaka.

6. Simba SC inapigwa vita ya kisiasa Tanzania na mambo ya ya mpira ni mambo ya kitaalam, mpira haitaji siasa (asili ya ngozi nyeusi huwa inapinga vitu bora na vizuri, wanawachukia waliofanikiwa, ndio maana wafrika ni maskini Duniani)

NB: Nipo tayari kuitumikia Simba kwa nafasi ya Try Again bure kwasababu Try Again na Mangungu sio wazalendo wa Simba SC ila ni mamluki.

Nina uwezo wa Kufanya vizuri mara 1000 ya Try Again.
 
Timu Kubwa Ukanda huu Wa CECAFA wa Afrika,Mashariki na Kati ni Moja tu...!

Ni SIMBA.... CAF kasema sasa wewe ni nani Uwapinge CAF..?
Mtu anatoka BuZa huko kwa mama kibonge anakuja kubishana na CUF na FIFA😀😀😀😀mti wa mpera una akili kuliko mtu kama huyu anayebishana na CUF na FIFA
 
Baadae waanzishe kisimbuzi chao,
Baadae waanzishe Maji yao mana wanaweza kuhujumiwa

Baadae walime chakula chao,
Baadae wafungue viwanda vyao vya jersey,

Haya mambo yana watu wake, hata wakianzisha channel yao (ambayo ni Gharama sana kuendesha bora hizo hela wanunue wachezaji) bado waandishi wataisema sanaaa, Utd wana TV yao ila kila siku waandishi wanaiponda,

Uwe unatumia akili muda mwingine
 
Unajua ugumu wa kuendesha tv media.? Tena tv media yenye kuonyesha content moja muda wote, mana ht mechi hawatoruhusiwa kuionyesha live.
 
Mtu anatoka BuZa huko kwa mama kibonge anakuja kubishana na CUF na FIFAmti wa mpera una akili kuliko mtu kama huyu anayebishana na CUF na FIFA
HATA KAMA WE MBUMBUMBU NDO USHINDWE KUJUA CUF NI YA LIPUMBA AU SIO

"WANASIMBA NI MBUMBUMBU" Eden Rage
 
Hapo vipi?

Naomba nichukue fursa hii kuishauri Simba SC iazishe vyombo vyake vya habari kama television na redio...

Sababu
1. Kwanza Simba SC ni timu kubwa namba 1 na bora Tanzania, Afrika Mashariki na kati.

2. Siasa imeingia kwenye mpira hivyo kuna baadhi ya waandishi wa habari makanjanja, akili ndogo, na wenye njaa kali wanaonunuliwa Laptop ili kupotosha habari za Simba SC na kuipa airtime(kuitetea timu ndogo kwa kutumia vyombo vya habari)

3. Simba SC ni club kubwa Afrika na Duniani kuliko vilabu vyote Afrika mashariki na kati.

4.Simba SC ni club tajiri na inapesa sana hivyo inaweza kumiliki vyombo hivi.

5. Simba ndio mfalme wa soko Afrika mashariki na kati, TFF, CUF na FIFA wamedhibitisha pasipo shaka.

6. Simba SC inapigwa vita ya kisiasa Tanzania na mambo ya ya mpira ni mambo ya kitaalam, mpira haitaji siasa (asili ya ngozi nyeusi huwa inapinga vitu bora na vizuri, wanawachukia waliofanikiwa, ndio maana wafrika ni maskini Duniani)

NB: Nipo tayari kuitumikia Simba kwa nafasi ya Try Again bure kwasababu Try Again na Mangungu sio wazalendo wa Simba SC ila ni mamluki.

Nina uwezo wa Kufanya vizuri mara 1000 ya Try Again.
ungeweza kuandika tu point moja ukeleweka kulilko kurudia rudia
 
Back
Top Bottom