Saa zingine ukiona unagombana na mpenzi wako ni sauti ya Mungu, tii na uondoke haraka

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
2,070
3,705
Hapo vipi?

Kuna miaka fulani hivi, limwanaume mmoja tahira bora angekuwa mti wa mapera..yaani yeye kuna demu sijui anampenda sijui ndio kulogwa.

Ipo hivi, kuna kuna siku huyo demu anampiga anamuambia toka kwangu sikutaki huyo jamaa kin'gang'anizi hatari, halafu jamaa anakopa mpaka pesa kwa ndugu zake ilikumfurahisha demu, mara anaazima gari la sister yake, demu jamaa akitoka anaingiza washkaji tofauti tofauti wasiokuwa na magari, wenye magari, baskeli na matoyo.

Jamaa akija siku moja anatoa na shati anakaa hapo nje anapiga kelele na kuongea kwa sauti kama vile mwanaume, sisi majirani enzi hizo tunamchora mtu.

Siku mmoja huyo demu wakiwa na mahusiano na huyo huyo msela, wakaanza kupigana usiku wa manane na jamaa mwingine, anamfukuza msela anamwambia ondoka kwangu, mpaka wanarushiana mawe nje.

Jirani mmoja akanitext akaniambia tutoke tuwaamue maana watapasua magari hapa nje, nikamwambia relax watalipa wacha wauwane.

Wakapigana yule jamaa akatoka nduki akang'oa, baada ya wiki huyu tena, sijajua huyo demu ni mtemu au ana madawa.

Siku moja huyo demu akaanza kunizoea from no where nikasema hapa nitamuonyesha sio kila mwanaume limbukeni, siku moja akanigongea saa nane usiku alikuwa amelewa ametoka kula bata, nimekausha kama sijasikia vile.

Kwa jinsi alivyokuwa anawafanyia washkaji sikutaka mazoea kabisa.
 
Mkuu Tajiri Tanzanite mzima wewe ndugu yangu ? Embu kunywa maji alafu njoo tena kutupa umbea wako ili tukuelewe vizuri

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Hapo vipi?

Kuna miaka fulani hivi, limwanaume mmoja tahira bora angekuwa mti wa mapera..yaani yeye kuna demu sijui anampenda sijui ndio kulogwa.

Ipo hivi, kuna kuna siku huyo demu anampiga anamuambia toka kwangu sikutaki huyo jamaa kin'gang'anizi hatari, halafu jamaa anakopa mpaka pesa kwa ndugu zake ilikumfurahisha demu, mara anaazima gari la sister yake, demu jamaa akitoka anaingiza washkaji tofauti tofauti wasiokuwa na magari, wenye magari, baskeli na matoyo.

Jamaa akija siku moja anatoa na shati anakaa hapo nje anapiga kelele na kuongea kwa sauti kama vile mwanaume, sisi majirani enzi hizo tunamchora mtu.

Siku mmoja huyo demu wakiwa na mahusiano na huyo huyo msela, wakaanza kupigana usiku wa manane na jamaa mwingine, anamfukuza msela anamwambia ondoka kwangu, mpaka wanarushiana mawe nje.

Jirani mmoja akanitext akaniambia tutoke tuwaamue maana watapasua magari hapa nje, nikamwambia relax watalipa wacha wauwane.

Wakapigana yule jamaa akatoka nduki akang'oa, baada ya wiki huyu tena, sijajua huyo demu ni mtemu au ana madawa.

Siku moja huyo demu akaanza kunizoea from no where nikasema hapa nitamuonyesha sio kila mwanaume limbukeni, siku moja akanigongea saa nane usiku alikuwa amelewa ametoka kula bata, nimekausha kama sijasikia vile.

Kwa jinsi alivyokuwa anawafanyia washkaji sikutaka mazoea kabisa.
Kwan umemaliza au unaendeleaje?
 
WE unaumwa nenda katibiwe, siyo kwa huu upupu
 
Back
Top Bottom